Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwanamgambo wa Ukraine anajaribu kuishusha drone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Drones can't be detected with advanced systems. Can't lock on them since they are really small and don't give chance to lock.
Only way to drop them is to shoot them down with AA or small guns or close with aircrafts.
 
Amna kitu dozi mnayo ipata saivi ndio inawapa jamba jamba, tutahakikisha this time around halibakii jiwe juu ya jiwe Ukraine.
Ndipo mtajua Kremlin hakuna mchezo.

Tuliambiwa Kyev itafunikwa ndani ya siku tatu, kwamba Zele akapewa masaa 24, leo ni siku 200 bado mnatupigia makele humu.
 
Hiyo javelin moja bei yake sasa.. $200,000 kuendelea

Mzinga wa javelin au javelin yenywe maana inabebwa mabegani na inasababisha hasara balaa, inapiga cruise missile ambayo yenyewe inagharimu zaidi $1,000,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…