Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kabakwa tayari kwa ukraine hiki ni kibako cha round nyingine maana nchi ishamegwa tayari sehemu sijui napo atasema ni kwa mbinde sana au
Well binafsi sioni furaha kutumia aina hiyo ya lugha kwa watu wa ukraine ila ni kweli hii ni mara ya pili Urusi anaimega Ukraine ila safari hii wanajitahidi kujitetea.
 
Mafanikio ni makubwa katika drone 43 zilizorushwa 37 zimetunguliwa ni 6 tu zimepenya na kuleta maafa ni mafanikio makubwa sana slava Ukraine

 
Suala la kupunguza uzalishaji wa mafuta sio kama kukomoa hapana ila ni kwasababu zifuatazo. Hawa OPOC na OPEC + wana agreement ambazo wamekubaliana na ziko signed. Swali ni kwanini wanapunguza uzalishaji?? Lengo ni kumsaidia Mrussi? Au kumkomoa mmarekani??

Ipo hivi Russia ndo muuzaji mkubwa wa mafuta na Gas Ulaya nitabase na mafuta. Wote tunajua Russia anavikwazo kwenye suala la uuzaji wa mafuta, suala la kupata mafuta nje na Russia lilikua jepesi sana kwa Upande wa EU au kupata mbadala wa mafuta kwasababu walikua wanachukua uarabuni na nchi zingine.

Kilichotokea ni kwamba hizo nchi ziliongeza uzalishaji wa mafuta ili kufidia gap la Mrussi na mafuta yalianza kwenda Ulaya hapa Ndo kiburi cha EU kwenye mafuta kilikua waziwazi tofauti na gas walijikuta wanatumia pesa mingi sana. Hata huko kwetu Africa mafuta yalianza kushuka bei toka 3450- 2850 kwa sasa hizo nchi zilikua pressurized na Wests.

Nini kimetokea mpaka wameamua kupunguza production? Uzalishaji wa mafuta unafanywa kulingana na wateja ulionao au tuseme demand kwa ujumla ndomana unakuta Russia ni mzalishaji wa 2 wa mafuta, saudia anafata kuna Iran, kuwait, Venezuela na nchi kibao hawa wote wanatofautiana kwenye level ya production.

Walichofanya wameamua kurudi kwenye level zao za mwanzo za uzalishaji maana yake gap la Mrussi litaonekana maana yake sasa Ds>Ss hapa ndo beo zitaanza panda kwa kasi tutegemee huku kwetu mafuta kupanda zaidi. Ukiangalia hakuna sababu ya vikwazo kwa Russia zote ni siasa.

Kinachomchanganya US ni kuwa bei zitapanda sana za mafuta kwasabu yeye ndo mtumiaji mkubwa wa nishati hii hapa atalazimika kutoa reserve yake kwa kasi zaidi, au atalazimika kutoa vikwazo . Lengo kubwa hapa naona ni kuondolewa kwa vikwazo kwa Russia afu kingine kilichomboa Russia walivyoanza kuset Price-cap hapa ndo wamesababisha yote.

Wazalishaji wote wamekubaliana kushusha what’s next??? Maana atakaenda kuumia ni EU.
 
But s300 and s400 are shit and can do nothing to air threats
Baba hujaskia kumbe! Juzi S 400 imepiga shabaha ikiwa Russia karibuni km 250 nchini Ukraine dhidi ya Su 27 ( AFU) iliyojaribu kuleta kitisho dhidi ya ground forces za Urusi.
Nb.
Range hii ni ndefu kuliko yoyote ya modern anti aircraft/ missile system

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…