Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
1.Hayo mataifa ulioyataja hapo hayajawahi kujiunga na NATOMkuu, nchi zote mbili za Finland na Uswidi ziliamua kujiunga na NATO. Tuko pamoja, je? Zilipata matishio kutoka Urusi tangu miaka zisifanye, inaweza kumaanisha vita.
Baada ya uona mashambulio ya Urusi katika Ukraine, ziliamua kuomba kupokelewa katika NATO.
Mimi nasema: Waliona Urusi ni tayari kutumia ubavu dhidi ya majirani, Waliona heri kuingia katika hali ya kuongeza usalama, waliona pia udhaifu wa jeshi la Urusi katika Ukraine na kwamba sasa hakuna hatari ya kushambuliwa kwa nguvu.
Hivyo walipuuza matishio ya Urudi na kuomba uanachama wa NATO.
Je WEWE unaonaje??
(menginevyo nahisi unajaribu kukamua hali kuwa bado hawakupokelewa katika NATO kutokana na masharti ya Uturuki. Sawa. Hata hivyo walifanya azimioambalo zamani waliogopa. Tuko pamoja, je?)
Urusi yeye anakutandika halafu anakuacha sensa ujifanyie mwenyewe!Bado tu mnacheza video games?[emoji38][emoji38][emoji38]!
Hawiezekani eti tracks mbili zinashbuliwa halafu nyingine zinaendelea kwenda mdogo mdogo kama zinasindikiza harusi mpaka zinalipuliwa!
Tungeona basi askari wakikimbia na kutelekeza tracks au hata basi tungeaona jiihada za kukimbizwa tracks kutoka ambush area!
Hizi propaganda haziwasaidii Frontline!Urusi yeye anakutandika halafu anakuacha sensa ujifanyie mwenyewe!
Waache wajiabishe maadam malengo yao yanafikiwa hakuna shidaYaaani kuna mibaba, mijitu mizima haina haya kabisa, kama hili lidubwana liPutin, iv inafeeliaje mtu ni kiongozi wa taifa ambalo ni superpower kwenda kuomba upatiwe drone na Uajemi!. Hivi haoni anavyoaibisha wa russia wenzake ( plus wa Russia uchwarwa).
Inawezekana hapa ni Njombe, Mufindi, Lushoto au MaketeTimber is increasingly being stolen from German forests, Tagesshau reports.
The reason for such crimes is high energy prices and a shortage of firewood.
[emoji3502]"They come with a chainsaw, cut logs, load, leave — and away," complain the forest department of Munster.
They steal in all available ways: by hand, on bicycles and cars.
"There are even professionals who have stolen whole trucks of timber," reports the forestry of North Rhine—Westphalia.
And they fight thefts in the same strange way — they hide beacons in logs (!).
"If the log moves, the transmitter triggers an alarm and the thief can be tracked."
Theft of timber and dead wood is a criminal offense, they say in the forestry of North Rhine—Westphalia.
The result may be a large fine or even imprisonment.
Subscribe to @SputnikView attachment 2390775
TUPENI SENTIMITA zenu huko front. Daily mnapoteza servicemen 300
We ni mwehuTUPENI SENTIMITA zenu huko front. Daily mnapoteza servicemen 300
Leo hii Jumanne....Mkakati ni kuharibu miundombinu yote ya umeme, maji na maduka ya jenereta...Yaani wakati wa winter itakuwa hatari. Naona Russia huenda pia akabomoa hata maduka yanayouza majacket ya baridi. Itabidi warudi kukoka moto kwa kutumia kuni wakati wa baridi...duh..(NB: .Hilo la maduka ya jenereta na majacket ya baridi ni mtazamo wangu binafsi)Huu Moto n lini
Kila mtu atumie alichonacho
Mnaacha kupigana uwanjani mnakimbilia raia,kumbe drone nying zinatokea kherson
Iranian instructors detected in Kherson Oblast - Ukrainian partisans
Ukrainska Pravda
Mon, October 17, 2022, 9:02 PM·1 min read
YEVHEN KIZILOV — MONDAY, 17 OCTOBER 2022, 21:02
According to the information obtained by Ukrainian partisans, a total of up to 20 instructors from Iran have been detected on the territory of temporarily occupied Kherson Oblast.
Source: Ukraine’s Center for National Resistance under the Special Operations Forces of the Armed Forces of Ukraine on Telegram
Cheap propaganda....Russia has truly lost soldiers but not 65,000. By the way how many soldiers has Ukraine lost so far in this war???!!!Putin has lost more troops in Ukraine than US did in whole of Vietnam war – report
Arpan Rai
Mon, October 17, 2022, 1:17 PM·3 min read
In this article:
Vladimir Putin
President of Russia
Russia has lost around 65,000 soldiers since its invasion of Ukraine, officials in Kyiv say, a death toll which would rank well above the fatalities suffered by the US in the Vietnam War.
The general staff of the Ukrainian armed forces gave the figure in its latest war update on social media. As of 17 October, it listed “about 65,320 (+320) persons eliminated” as among the “total combat losses of the enemy” since the war began almost eight months ago on 24 February.
If confirmed, it would mean Russia has lost close to 2,000 soldiers a week during the conflict. The 65,320 estimate was up about 10,000 on the previous figure provided by the Ukrainian military on 21 September.
ADVERTISEMENT
By way of comparison, according to the Defence Casualty Analysis System (DCAS) Extract Files, around 58,220 US military casualties were recorded in the Vietnam War.
The Vietnam Veterans Memorial Fund states that 58,281 Americans died in the prolonged proxy war between the US and Indochina forces in Vietnam.
SAFI SANALeo hii Jumanne....Mkakati ni kuharibu miundombinu yote ya umeme, maji na maduka ya jenereta...Yaani wakati wa winter itakuwa hatari. Naona Russia huenda pia akabomoa hata maduka yanayouza majacket ya baridi. Itabidi warudi kukoka moto kwa kutumia kuni wakati wa baridi...duh..(NB: .Hilo la maduka ya jenereta na majacket ya baridi ni mtazamo wangu binafsi)
Pole kijanaIran hana lolote kazi kuwapigia chabo wanawake tu. Bure kabisa.
HeheeeeMsikieni huyu kenge anavyojidanganya
[emoji631]Blinken's revelations: the world cannot be allowed to remain without US leadership.
The world does not organize itself, for some reason the US Secretary of State is sure.
"If we do not participate in the organization, if we do not occupy a leadership role, it means one of two things - it is occupied by someone else, perhaps China, not in a way that fully coincides with our interests and values; or, even worse, no one occupies, then there will be a vacuum, which can be filled by bad things before good ones are filled," the foreign minister said, speaking at Stanford University.
The world is still waiting for the friendship of American gum. Otherwise, according to Blinken's logic, it is not given.
Subscribe to @SputnikView attachment 2390779
Fake news hizo, Ni nadra sana kwa Russia kutoa report Kama hizo, hebu tupe report kutoka Russia.Putin has lost more troops in Ukraine than US did in whole of Vietnam war – report
Arpan Rai
Mon, October 17, 2022, 1:17 PM·3 min read
In this article:
Vladimir Putin
President of Russia
Russia has lost around 65,000 soldiers since its invasion of Ukraine, officials in Kyiv say, a death toll which would rank well above the fatalities suffered by the US in the Vietnam War.
The general staff of the Ukrainian armed forces gave the figure in its latest war update on social media. As of 17 October, it listed “about 65,320 (+320) persons eliminated” as among the “total combat losses of the enemy” since the war began almost eight months ago on 24 February.
If confirmed, it would mean Russia has lost close to 2,000 soldiers a week during the conflict. The 65,320 estimate was up about 10,000 on the previous figure provided by the Ukrainian military on 21 September.
ADVERTISEMENT
By way of comparison, according to the Defence Casualty Analysis System (DCAS) Extract Files, around 58,220 US military casualties were recorded in the Vietnam War.
The Vietnam Veterans Memorial Fund states that 58,281 Americans died in the prolonged proxy war between the US and Indochina forces in Vietnam.
Warusi wamemfanya Nini Elon musk anawatetea Sana warusi siku za karibuni.Msikieni huyu kenge anavyojidanganya
[emoji631]Blinken's revelations: the world cannot be allowed to remain without US leadership.
The world does not organize itself, for some reason the US Secretary of State is sure.
"If we do not participate in the organization, if we do not occupy a leadership role, it means one of two things - it is occupied by someone else, perhaps China, not in a way that fully coincides with our interests and values; or, even worse, no one occupies, then there will be a vacuum, which can be filled by bad things before good ones are filled," the foreign minister said, speaking at Stanford University.
The world is still waiting for the friendship of American gum. Otherwise, according to Blinken's logic, it is not given.
Subscribe to @SputnikView attachment 2390779
Au sio. Sio fake Ni kweli alisema[emoji23][emoji23][emoji23]
When Neil Armstrong stepped on the moon his first words were "Slava Ukraine"
[emoji188][emoji188][emoji188]
Haters will say its fake news.