FSB mkujeni hukuuu,Kuna mtu anacheza na kiongozi wa taifa kubwa dunian [emoji2][emoji1787][emoji16]View attachment 2391236
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pengine hujawahi kupitia sheria za mitandao na madhara yakeMimi natoa maoni yangu bila hofu kuhusu haya mambo hata nikiwa kwenye kurasa zangu rasmi za Facebook zilizo verified...,hiki unachajaribu ni kutishia nyau...,watu walikosoa Mpaka yule dikiteta mwendakuzimu anayeitwa mwendazake sembuse hii ya Russia na Ukraine [emoji848]
Tena ningekuwa nawakosoa marekani naweza nikawa na hofu kidogo maana wale Wana Hela chafu za kumwaga..., Russia Kwa Sasa anapambana na Hali yake alafu anifikirie Mimi mtu wa huku namtumbo [emoji16][emoji16]
Wewe jamaa acha masihara bwana
Tena ngoja niwekee na hii picha ya nguchiro Ili hao FSB wanishuhulikie vizuri [emoji41][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa Sheria za mitandao kidogo naweza kukuelewa.., lakini Kwa suala la FSB na blabla nyingine ni kutishia nyau ..., FSB Wana mambo mengi ya kufanya..,usije ukajidanganya kwa kwamba hata wanamfikiria 1994 anayeshinda jamiiforums akiwapigia chapuo.., karibia kila taifa dunian Lina majukwaa kama haya ya jamiiforums..,wakianza kufuatilia issues ndogo kama hizi watadeal na nani na watamuacha nani..., kidogo marekani anaweza kuwa na pesa chafu za kufanya huu ufuatiliaji, lakini na wenyewe sio rais kivile...,hizi mishe zinaitaji pesa Mzee,Pengine hujawahi kupitia sheria za mitandao na madhara yake
Mkuu jinsi Warusi wanavyozitumia sasa ni za kutisha watu raia hasa. Unaweza kuzitumia dhidi ya magari, malori, vifaru vyepesi, mizinga. Jinsi wanvyorusha kwenye miji sioni faida kubwa ya kijeshi...Hayo mashambulizi ya drones yameongeza SENTIMITA NGAPI huko front line wakuu
,[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapa ndio utaelewa kwamba US inaendeshwa na watu wengine kabisa na wala sio Rais aliyepo madarakani.
Safi sana IránIran agreed to send missiles and more drones to Russia in defiance of the West, Reuters reported, citing Iranian officials.
Mkuu hii ilikuwa mwaka 1997. Yaliyofuata ni maombi ya nchi za Baltiki kujiunga na NATO. Zilipokelewa mwaka 20004. Nimekuta habari ifuatayo kuwa Putin hakupinga hatua hiyo mnamo mwaka 2001:
Hahaha Usikute wameamua vita iwe kwa mtindo huu, atakayeona kazidiwa tecknolojia anasurrenda kimyakimya.BIG MISTAKE.-
NATO plans to transfer to Kiev the means to combat drones in the coming days, we are talking about hundreds of active jamming stations, said NATO Secretary General Stoltenberg
Iran na russia wanazingoja kuimarisha mitambo yao
Tupo pamoja mkuu.hapo nimekuelewa kabisa..asante kunirekebisha. naomba nivute uuzi
Unahisi endapo akiamua kujitanua kuelekea Europe kwa njia yoyote ile, US atakubali? Unatarajia matokeo gani ikiwa hivo? Ni kitu gani hasa kilimfanya Biden haone hatari iliyopo mbele yao kama NATO ikijitanua kuelekea mashariki?Mkuu hii ilikuwa mwaka 1997. Yaliyofuata ni maombi ya nchi za Baltiki kujiunga na NATO. Zilipokelewa mwaka 20004. Nimekuta habari ifuatayo kuwa Putin hakupinga hatua hiyo mnamo mwaka 2001:
In 2001, during a radio interview with National Public Radio, when asked if he opposed the admission of the three Baltic Republics into NATO Russian President Vladimir Putin responded that the issue could not be summed up in “a yes or a no.” He later added that “we cannot forbid people to make certain choices if they want to increase the security of their nations in a particular way.” In another appearance, Putin declared that Baltic membership was “no tragedy” for Russia.
The Breakaways: A Retrospective on the Baltic Road to NATO
Fifteen years ago, NATO opened its doors to the Baltic states. In the United States this momentous historical decision is commonly framed either as one ofwarontherocks.com
Sawa aina shida sisi tupo kwetu URUSI, tunarusha makombola na drone kutokea moscow.Urusi katembezewa kipigo kikali huko front line kaamua kumalizia hasira zake kwa raia .,Kwa Sasa anajivunia kuharibu miundombinu tu..,huko front line hasongi mbele hata hatua Moja, [emoji12]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu jamaa anateseka sana kwa kweli.hapo unaposema ni kisehemu ndo nchi kubwa kwa eneo ulaya ukitoa URUSIHiki ndicho kisehemu kidogo kinachomtoa kamasi huyu aliyejiita super pawer..., tunaelekea mwezi wa 9 Sasa,bado urusi anahangaika na taifa hambalo hakifikii hata size ya mkoa View attachment 2391206
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app