Wachambuzi wamesema Ukraine wachukue tahadhari,inaweza kuwa mtego!Mpaka kuona urusi kakili Hali mbaya ujue kabananishwa kweli kweli [emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Putin na genge lake ni waseng£ , ni Sawa mmezipiga ngumi na mtu ,umebondwa unakimbilia kuchoma nyumba yake ,ndicho anachofanya hapo Ukraine kwenye battle field analiwa kiboga hasira zake anarudidha Kwa miundombinu huo sio uanaume hizo ni Tabia za kikeMa ni na zenu si mmewapa misaada ya silaha sasa Putin kawaweka gizani pelekeni na misaada ya mishumaa
Kwa kichapo hiki ndo maana super pawer wa mchongo anahamishia hasira zake kwa miundombinu ya kijamii aisee [emoji848]Hawana namna zaidi ya ku surrender
Kipigo Cha kheson inaonekana sio Cha Karne hii [emoji2] hata yule kamanda wao wanayemwaminia kasema mkong'oto anaotembzewa huko front sio mchezo [emoji2957]Warusi WA mchambawima na masanzakona mpo ?[emoji1787][emoji1664][emoji1664][emoji1787] Kifiro kinaendelea huko Kherson na Donbas wanaume WA Ukraine wanabadilisha ndomu Tu
Wanaanguka na kukauka kama nzi ,aiseeTazama hii video hapa unaambiwa wamekaangwa mobilization zaidi ya 500 baada ya hili bomu kutua na majeruhi wa kutosha
Wanaanguka na kukauka kama nzi ,aiseeTazama hii video hapa unaambiwa wamekaangwa mobilization zaidi ya 500 baada ya hili bomu kutua na majeruhi wa kutosha
Super pawer kaamua kukimbilia miundombinu tu [emoji2]Tazama hii video hapa unaambiwa wamekaangwa mobilization zaidi ya 500 baada ya hili bomu kutua na majeruhi wa kutosha
Na bado wataendelea kuchinjwa mpaka akili ziwakae vizuriKipigo Cha kheson inaonekana sio Cha Karne hii [emoji2] hata yule kamanda wao wanayemwaminia kasema mkong'oto anaotembzewa huko front sio mchezo [emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wazee wa referendum mpooooooooooooo [emoji12][emoji12][emoji2957][emoji2957][emoji2957]Tazama huyu mwanajeshi wa Russia ameshika hiyo silaha ya Harpoon akijaribu kuzuia hiyo drone hajafanikiwa ikabidi akimbie na bomu wakafondoshewa.Msipige kelele na vitu msivyojua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu jiheshimu,jukwaa hili sio choo chako Cha kujisaidia!Putin na genge lake ni waseng£ , ni Sawa mmezipiga ngumi na mtu ,umebondwa unakimbilia kuchoma nyumba yake ,ndicho anachofanya hapo Ukraine kwenye battle field analiwa kiboga hasira zake anarudidha Kwa miundombinu huo sio uanaume hizo ni Tabia za kike
Hakuna cha mtego hapo , acheni kujifariji , ukweli ni kwamba Mrusi anabondwa vibaya mno kwenye frontlineWachambuzi wamesema Ukraine wachukue tahadhari,inaweza kuwa mtego!
Wanaishi kwenye mashimo kama digidigi au nguruwe Pori ,Wazee wa referendum mpooooooooooooo [emoji12][emoji12][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mimi Niko nasikiliza French 24 Sasa hivi,nimeandika nilichosikia!Hakuna cha mtego hapo , acheni kujifariji , ukweli ni kwamba Mrusi anabondwa vibaya mno kwenye frontline
Tulia Mrusi wa tandahimbaHebu jiheshimu,jukwaa hili sio choo chako Cha kujisaidia!
Kama huwezi kujadiliana kistaarabu,usichangie!Mnatuharibia jukwaa,watu unakuta tuna upako wetu,Mnatuharibia Kwa kutusomesha upuuzi wenu!Shame!
Wazee wa referendum mpooooooooooooo [emoji12][emoji2957][emoji2957][emoji2957]Drone zinawapa kichapo cha mbwa koko kwenye mahandaki yenu hakuna pa kujificha
Ni hatari [emoji2]Wanaishi kwenye mashimo kama digidigi au nguruwe Pori ,
Supa poor
Huwezi kujadiliana bila matusi,ustaarabu wa wapi?Tulia Mrusi wa tandahimba
Sasa si tulishakubaliana kwamba western media ni za propaganda ,inakuwaje unatuletea propaganda toka French media source ? ,kila siku mnasema western media houses BBC ,DW,French news nk ni propaganda tools za Marekani , Ila warusi wa kibaigwa mmelogwa sijui na Nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi Niko nasikiliza French 24 Sasa hivi,nimeandika nilichosikia!
[emoji1255][emoji120][emoji123]Na bado wataendelea kuchinjwa mpaka akili ziwakae vizuri
Ngoja Urusi afanye kama anaretreat kherson,mtakuta mmezikwa kaburi Moja watu 1000!Wazee wa referendum mpooooooooooooo [emoji12][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app