Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

I'm a fighter,not a quitter!
Hiyo coward Naona umemlisha maneno!
Nways,huyu mama sijui kama atasurvive!
 
Ndugu, wachambuzi was kimataifa washa seme Putin hatakubali kushindwaa hivyo lazima atatumia
 
Kina vunjo na MK254 mnakwama wapi na nyie kupeleka mishumaa na taa za chemli?[emoji16]
 
Tanzania ilivamiwa na Uganda chini ya utawala wa Idi Amin mwaka 1978. Kagera ilikuwa annexed. Mimi kama mTZ it's natural ku side na Ukraine kwenye vita yake na Russia kwa sababu Ukraine inapitia the same thing TZ ilipitia na Uganda. Watz logical hawawezi kumshangilia Putin.
 
Jamaa keshakua omba omba,
Nna wasiwasi zelensky chimbuko lako Ni dodoma-tanzania. Fatilie vizazi vyake[emoji16]
 
Matamshi haya ya kamanda ni moja kati ya mbinu za kivita ili mtakayoyasikia na kuyaona yasiwashangaze watu. Wakati Urusi inaivamia Ukraine ilifahamu kabisa kuwa haitapigana na Ukraine peke yake; alikuwa na taarifa zote muhimu, hivyo alijiandaa. NATO mpaka kufikia sasa umeshindwa kumuondoa Urusi Cremia, Luhanski, na kwingineko sio tu kwa kupenda ila uwezo mdogo wa kufanya hivyo dhidi ya Putin.

Wanalia na Iran kutuma kamikaze na kuwaacha wanaotuma HIMARS, upuuzi mtupu. dunia imechanganyikiwa.
 
We ndiye uliyechanganyikiwa hujui maana ya super power
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…