Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Mafanikio pekee waliyobaki nayo Russia ni kuleta uharibifu kwenye miundombinu ya kijamii..hiyo ndio ajenda wanayoruka nayo,Ndio mafanikio mliyonayo tuu kwenye hii vita
Ni kwamba hizi Kamikaze drones zina Jamming mechanism, ndio inafanya hizo anti drones kushindwa kuzipiga.Noma sana hizi drone, air defence zao zimekuwa receiver wa kamikaze zinajipigia tuu
Wewe dogo kizazi cha BRN shule za kata failure pimbi wewe Una guts za kudoubt elimu yangu wewe low IQ scumbag ? Unaongelea suala la uchunguzi Kwani walipopata hayo maafa si WA Ukraine ? ,Unauliza funds ,Una akili wewe ? , Yaani nchi kama Ukraine haina funds na technical know how ya kufanya indebth forensic investigation ? Au unafikiri Ukraine ni kama failed states kama Tz sio ?
Na isitoshe International criminal court wameshatuma investigators wao na uchunguzi imefanyika kwenye hizo incidences zote imebsinika Russian thugs walifanya mass execution of unarmed civilians hapo Bucha na Lyman
Sikiliza we dogo, Mimi huwa sina muda WA kujadiliana na mataahira kama wewe kama huwezi kujibu hoja nakupa onyo , unapoona comments zangu kaa mbali ,usisogeze pua zako , umesikia ? .
Kama Una akili utapitia hapa, unafikiri tunaposema Putin ni war criminal mnadhani tunaoongea out of no where , mxieew
What is a war crime and could Putin be prosecuted over Ukraine?
The ICC wants President Vladimir Putin arrested for war crimes, but South Africa may not cooperate.www.bbc.com
War Crimes by Russia’s Forces in Ukraine - United States Department of State
Based on information currently available, the U.S. government assesses that members of Russia’s forces have committed war crimes in Ukraine. We will continue to share information with allies and partners, and pursue accountability.www.state.gov
wanabaki wanazitazama tu papa kitu na boksi muajemi nomaNi kwamba hizi Kamikaze drones zina Jamming mechanism, ndio inafanya hizo anti drones kushindwa kuzipiga.
Hapo labda watumie Laser
Mkong'oto unaotembezwa huko kheson umewachanganya warusi wa buza..,Warusi WA mchambawima na madongo kuinuka mupoooooo , nankipondo kiendelee , Kherson referendum my ass ,
Kherson will fall back into Ukraine forces in its entirety by the end of this week .
The next mission ni Crimea ,mtsisoma namba this time around , na kuna mashine zinaingia mzigoni soon
Rusheni tena hayo mavyuma chakavu yenu ya enzi za USSR . Battle front ni kipondo Tu kinatembezwa
Imagine hizo expensive air defense zinaharibiwa kwa just single $20k Kamikaze drone.wanabaki wanazitazama tu papa kitu na boksi muajemi noma
Watu wanazidi kusonga mbele huko front line mmekazana na kamikaze drone.., endeleeni kujifariji na hizo kamikaze..,sisi kazi yetu ni kutembeza mkong'oto [emoji12][emoji2957]wanabaki wanazitazama tu papa kitu na boksi muajemi noma
Jamaa kawaletea kavideo ka kujifariji mmeruka bako kweli..., mkiletewa video nyingine.., mnasema video game..,pro Russia akili zenu mnazijua wenyewe [emoji16][emoji1787][emoji2]Imagine hizo expensive air defense zinaharibiwa kwa just single $20k Kamikaze drone.
Ndio maana Biden anakuwa mkali kuendelea kutoa misaada.
Fashisti Putin anazid kuwekewa kufuli kila mahali.., kweli hii ni operation maalum ya kijeshi [emoji16]Kila Mtu abaki kwake[emoji23][emoji23][emoji23]
Finland is expected to build a fence along its 830-mile land border with Russia to keep out illegal immigrants should Moscow try to flood the country with asylum seekers
Yajayo yanafurahisha [emoji23]
Yaani uvamie territory ya nchi nyingine halafu ujifanye kuimpose martial law , hiyo martial law akawapelekee misukule wake ChremlinUtaratibu wa kisheria imekamilika,Sasa martial law inakuja ndani ya hayo maeneo!Mtajua hamjui!
Ndivyo mlivotaka na hiyo ndio staili yenu ya majadiliano, kwa hiyo jamaa inabidi awapeleke hivyo hivyo tu hakuna namna [emoji848]Hivi mwenye akili kweli anaweza akatumia neno use.g. kwenye mijadala?!! I don't think so...
We ni mwehu , Martial law unaweka kwenye eneo lisilo la nchi yako ? , Uzuri kipondo kinaendeleaNdugu unajua maana ya martial law???
Mkuu,Jamaa kawaletea kavideo ka kujifariji mmeruka bako kweli..., mkiletewa video nyingine.., mnasema video game..,pro Russia akili zenu mnazijua wenyewe [emoji16][emoji1787][emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo martial law ni kiinimacho tu Ili kuficha aibu ya kichapo anachotembezewa..,ni kama Yale Yale ya referendum, hakuna mabadiliko yoyote [emoji16]Yaani uvamie territory ya nchi nyingine halafu ujifanye kuimpose martial law , hiyo martial law akawapelekee misukule wake Chremlin
sawa kp kipanya44 .Watu wanazidi kusonga mbele huko front line mmekazana na kamikaze drone.., endeleeni kujifariji na hizo kamikaze..,sisi kazi yetu ni kutembeza mkong'oto [emoji12][emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app