ndio maana putin kaweka sheria ya miaka 15 jela kusambaza taarifa kuhusu jeshi la urusi maana hizi picha za casualities zinasikitisha na kuiabisha nchi kwakweli, ndio maana wakalazimika kutoka na namba za wanajeshi wao waliouawa ukraine kitu amacho kimeshangaza maana putin alipitisha sheria huko nyuma kuwa takwimu za wartime casualities ni classified, hii vita huenda ikawa na matokeo yasiyotarajiwa kwa future ya urusi yenyew, kwann casualities ni kubwa ndani ya muda mfupi tena dhidi ya adui dhaifu!!!
Haaaaa wengi humu huwa wana ongelea mambo ya kitaalam kwa Utashi wao na mizaha mingi.Umeongea vizuri. Opinions zangu zimehishimiwe kama ambavyo tuliheshimu opinions za waliosema Urusi itaitwaa Ukraine ndani ya siku tatu, zikapita ikaja report wanadai ya siri ilisema serikali ya Urusi inataka hii operation iishe kabla ya tarehe 2 mwezi huu nayo imeisha.
Si vizuri tukaheshimu tu, tukubali au tupinge kwa hoja
Bwana Omary Unajitahidi sana katika hii vita ya nani zaidi katika huu Mgogoro.
ngoma inogileee...View attachment 2140787
View attachment 2140788View attachment 2140789
View attachment 2140790
View attachment 2140791
View attachment 2140792
View attachment 2140793
View attachment 2140794
View attachment 2140795
View attachment 2140796
View attachment 2140797
View attachment 2140798
Nyie mmekataza hata raia wenu wasitoe report ...komaeni na aljazeer wanaoonyesha urusi ikiua raia
Nimekumbuka kuwa marubani wa Marekani huwa na sare na nguo nyingine wakidondoshwa huwa wanavua magwanda wanabaki na emergency radio, vyakula na short gun. Itakuwa hawa Warusi washatoka crash site ndio wanakuwa kiraiaKuniambia Marubani wa Russia hawana Uniform or hawavai Uniform za jeshi kwangu ni tatizo tayari hilo......
Mie wote niliowaona wanavaa nguo za blue, sijui hao wasio na Uniform.
propaganda ni sehemu ya vita kumbuka urusi inapigana na ulimwengu ukiangalia hizo picha unaweza sema urusi haiteka hata kijiji lakin mbona warusi hapig picha wanajeshi wa ukraine walio uwawa mbona madhara ya vita yanatolewa na waukraine hapa wanataka attension ya raia wa urusi waandamane kumpoa putin. Ndo maana putin kacheza game la hio sheria huyu mwamba ni zaid ya geniusndio maana putin kaweka sheria ya miaka 15 jela kusambaza taarifa kuhusu jeshi la urusi maana hizi picha za casualities zinasikitisha na kuiabisha nchi kwakweli, ndio maana wakalazimika kutoka na namba za wanajeshi wao waliouawa ukraine kitu amacho kimeshangaza maana putin alipitisha sheria huko nyuma kuwa takwimu za wartime casualities ni classified, hii vita huenda ikawa na matokeo yasiyotarajiwa kwa future ya urusi yenyew, kwann casualities ni kubwa ndani ya muda mfupi tena dhidi ya adui dhaifu!!!
Haaaaa mkuu umesahau ya kwamba watu wengi humu jf huwa wanaongelea mambo ya kitaalamu kama wanaongelea mambo ya mademu?Umeongea vizuri. Opinions zangu zimehishimiwe kama ambavyo tuliheshimu opinions za waliosema Urusi itaitwaa Ukraine ndani ya siku tatu, zikapita ikaja report wanadai ya siri ilisema serikali ya Urusi inataka hii operation iishe kabla ya tarehe 2 mwezi huu nayo imeisha.
Si vizuri tukaheshimu tu, tukubali au tupinge kwa hoja
Naweza pokea hii...Nimekumbuka kuwa marubani wa Marekani huwa na sare na nguo nyingine wakidondoshwa huwa wanavua magwanda wanabaki na emergency radio, vyakula na short gun. Itakuwa hawa Warusi washatoka crash site ndio wanakuwa kiraia
Okey.Ukitaka kumpiga mbwa wako mpe jina baya, sasa Russia kaona isiwe tabu hao wanamgambo wa kiraia wanaojifanya wanajeshi wanaenda kufa kwa Mara moja tu
Kosa vp ikiwa katengwa na dunia na nani atamwekea vikwazo ikiwa ametengwani kosa kuiga jina la kampuni nyingine
Wewe mduanzi kuungana kwa NATO ni kuzuia athari za vita zisiwe kubwa Kwa nchi washirika.
Unapoingia vitani mwenyewe hata kama ukishinda Lakini lazima uathirike sana.
KUzuia Hilo ndio maana NATO wapo Hapo!
Ila mkuu bado hujajibu swali langu je unadhani kweli mpaka sasa Ukraine imesha zitungua ndege 88 za Urusi? Au ni propaganda.Ukraine sio mwanachama wa NATO usijiulize maswali ya wazi na majibu makubwa yapo. Ukisikia nchi imewekewa No Fly Zone maana yake aliyeweka hiyo anakuja kuhakikisha kama imetekelezwa. NATO hapo atatakiwa arushe ndege zake angani kushambulia ndege za Russia na ikibidi ashambulie airbases zinazotumika kurusha ndege hizo.
Achana na kumsikiliza Zelenskiy anayejiliza na mwenye deko sana, hili deko sijui kwa kuwa Myahudi anapenda kulazimisha mambo yaliyopo. Ukraine kila siku anapewa 'non-lethal weapons' kwa sababu hawataki ugomvi uamie kwingine