Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu ni ukweli usiopingika yaani kama hiyo Euro ndo balaa ilikuwa zaidi ya USD lakini sasa hivi iko hoi bin Taabani.
 
Asie kubali ukweli huu,arudi darasa la kwanza.
Urusi inazikabili nchi zote za west kijeshi na kiuchumi.
Urusi sio Iraq.
Urusi sio Zimbabwe.
 
Hii ni kauli nzito Sana.

Ni kwamba NATO wameshadhamilia kuipigana hii Vita mpaka to their last blood.

Ishu inakuja hapa, ni kwa namna gani Russia wataimaliza hii Vita.
Mkuu kama ukiitafakari kauli hiyo vizuri ya Chief of Staff wa USA utaona kwamba amekwisha kubali kuwa Ukraine tayari imekwisha Fall.
Sasa wafanyeje,kwa hiyo kilichobaki ni kuongeza juhudi TU kupeleka silaha na fedha kwa mategemeo kwamba labda Ukraine wanaweza kufurukuta.

Upande wa Urusi.
Mkuu,Putin na Medvedev Kila siku wanatamba kwa kusema kua "kama west wanaamini kuwa wanaweza kuishinda Urusi kijeshi wajaribu".
Hii ni kauli nzito sana pia.
Urusi itashinda vita hii kwa Ukraine kuharibiwa kabisa na kubakia magofu TU,ikiwa hawata shituka kama wanatumika.
Kadri Ukraine wanavyozidi kua viburi ndivyo dozi itakavyoongezeka.
Urusi bado Wana silaha na wanajeshi ambao hawajaingia vitani kabisa,Tena ni Bora kabisa.
Hawa wanawasubiri NATO.
Kama huamini NATO wajaribu kuingia TU,ndipo tutajua kama Urusi wameishiwa silaha na wanajeshi ama vipi.
 

Msivurugwe ndugu zanguni,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuweni watulivu tafadhar, tutafika tu
 
[emoji635][emoji3575][emoji573][emoji636]The British Ministry of Defense alleges that a Russian fighter fired a missile at a British military aircraft over the Black Sea on September 29 "by mistake."( RC-135W is a spy plane Ben,and what was doing there?)

Russia said that it was a "technical malfunction"
 

Sijapata habari ya kutosha hapa naombeni maelezo kwa mliofatilia hio ishu nilikua shambani ndugu zangu.
 
Hizo Ni story zao tu, Democrats+Republicans wote adui Yao Ni Mrusi tu,aingie yoyote yule Kati Yao mwendo Ni ule ule tu.

UK wamebadili ma PM wangapi na mtizamo wao khs Russia ukoje?Hata huyu PM aliyechaguliwa Italy alikua Kwny kampeni zake anajifanya Italy Kwanza na hataki Sana story za EU/NATO Baada ya kushinda amekua mpole Yuko anaunga juhudi mkono,hata yule mama aliyeshindana na Macron angeshinda Bado mtizamo wa France khs Russia Ungekua Ni Huu huu.

Yaani Hawa machoko walishaamua common enemy wao Ni Russia sababu anawazuia huo upumbavu wao 'Rules based international order'.

Men in Dark Suits ndio wanaotawala hizo nchi Kama alivyosema Putin,haya mavyama Yao yenyewe yapo tu kubadilishana na madaraka kwa story za democracy ya Nyoko.
 
Huwezi kuanalys vitu?huoni wanaendelea kuharibu uchumi wao Kwa kuisaidia Ukraine?Sasa wanaokuja wanasema hawawezi kuendelea kuharibu uchumi wao Kwa kuendelea kuisapoti Ukraine.
 
"Urusi itashinda vita hii kwa Ukraine kuharibiwa kabisa na kubakia magofu TU,ikiwa hawata shituka kama wanatumika.
Kadri Ukraine wanavyozidi kua viburi ndivyo dozi itakavyoongezeka."

Natamani Zelensky ausome ujumbe huu na aufanyie kazi.
Lakini vipi akikubali kushindwa maana yake nini?
Je, Urusi ataichukua Ukrain yote au atajiongezea maeneo kutoka ardhi ya WaUkrain?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…