Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo ramani ya Rybar hainoeshi popote Ukraine walipozingirwa. Hawakuanzisha bridgehead kwamba imezidiwa, wako kwenye war zone na contact line yao iko within Russian artillery range.

Vivo hivyo na kwa Russia contact line yao iko within Ukrainian artillery range.

Sioni nani yuko nyuma ya mto na kama hakuna mto yeyote anayezidiwa anafanya retreat.

Hakuna aliye kwenye pocket sasa wanazingirwaje
 
Hivi kwani badala ya kutukana ama kutukanana mtu akiamua kuchagua wa kuzungumza nao anapungukiwa nini?

Kwani ni lazima ku-reply kila post ya mtu kwenye hii thread? Mbona tunakua hivi lakini mmh?

Hasira za nini? Ugonvi wa nini?

Kwanini isiwe wale wana yao na sie tuna yetu kila mtu atizame upande wake?

Hata kama ni kueleweshana, tunaeleweshana nini ambacho kitam'badili mtu mtizamo wake na mahaba yake ikiwa miezi almost mi8 imepita na ameamua kua hivyo alivyo?

Binafs nakereka sana, na ningeomba niwasemee wengine wanaopita kimya kimya.

Una-scroll alot of text zimejaa matusi tupu, unaamua ku'ignore halafu unakuta uliyemtia block kuna jamaa pro' upande ulipo kam'qoute wanajibizana utumbo tu. What for? Kwani kumchunia mtu ambae hayupo tayar kwa hoja kuna uzito gani mmh?

Pro-Russia baadhi kwenye hii mambo mna'fail vibaya. Naamini siku ikipita bila ku'qoute or replying text ya Pro BOTS hampungukiwi kitu.

Tupeane break wadau.

Ipite walau siku basi tuishie kupeana taarifa yanayo jiri ila sio matusi mnayopeana ajab zaidi hamjuani zaidi ya maandishi yenu kweye jamvi.
 
Jamaa wanakufa ase
 
Nimeshangilia wapi au nimemshauri ampige ignore button huyo mtukanaji!
Au umeshalewa?
 
How it started
View attachment 2392900
Vs
How it ended
View attachment 2392902

Huh it worked [emoji23]
Yani kama unajipa Moyo kwamba Uingereza itapata waziri Mkuu Pro Russia kipindi hiki unajidanganya, nakumbuka wakati Boris anaondoka kuna watu walishangilia humu tukawaambia hata anaekuja atakua na Sera hizohizo dhidi ya Russia kaja huyu Bibi,hata anayekuja atakua yupo kinyume na Russia tena anaweza akawa mkali zaidi kuliko hata hawa waliopita
 
Ndio Maana nimeamua kutumia browser,Maana app hata ukimblock akija kua quoted tu then ujinga wote utaona Kama ulivyo.Nimeyablock ma BOTS zaidi ya 80 huko.Naenjoy kiukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…