Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Urusi imebakiza vitongoji vichache kuchota kupyansk yote Jana waliteka mji wa gorobiviekVipi Mkuu Kupiansk imesharudi Russia?![emoji23]
Hahahaha Sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Urusi imebakiza vitongoji vichache kuchota kupyansk yote Jana waliteka mji wa gorobiviek
Naona unatangaza biashara yako kuuza mtaro WA majitaka na bendera zako hizo za rainbow , unatafuta basha WA kukufukua mtaro sio ?Sawa punguza matusi [emoji304][emoji2524]β[emoji304][emoji1300][emoji129]
Hiyo coment uliyojibu Ina alama hii r [emoji304][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304] na nyinginezo.., unaona ni sahihi,?Nimeshangilia wapi au nimemshauri ampige ignore button huyo mtukanaji!
Au umeshalewa?
KILA wakijaribu ku break diffensive line wanatuachia VICHWA 200 au zaidi na tuvifaru tano au sita na tugari vita tutatu. Mtego mwingine ni kinu cha nuke KILA wakitaka kukiteka vinabaki VICHWA 100 au 150 boti kadha zinazamishwa na hawaachi huo ujingaUrusi imebakiza vitongoji vichache kuchota kupyansk yote Jana waliteka mji wa gorobiviek
Binafsi huwa natumia browser kwenye PC tu, Mda mwingi kwenye App nikiwa na sim mkononi sasa dah tafran tupu π.Ndio Maana nimeamua kutumia browser,Maana app hata ukimblock akija kua quoted tu then ujinga wote utaona Kama ulivyo.Nimeyablock ma BOTS zaidi ya 80 huko.Naenjoy kiukweli.
Mwezi mmoja hapana mkuu, wale wanafanya money laundering ya aina ake. Wanazivuna pesa kutoka kwa walipa kodi katika njia kama hizo. 1 month not enough kujaza matumbo yao.US walivyokua muflis sasa
Halaf atakuja mtu hapa aisifie US kama katumia mwezi mmoja
HAITI kanchi kenyewe kamefulia kale kako shaghla baghala
Hata uongozi wao wandani tu mtihni
Ila acha tuone
Mkuu kwenye hii league nimekuacha point nyingi π, mimi nimewafungia kama 100+ hivi. Soon nitahamia kwa Pro Russia wenzangu wanao endeshwa na mihemko.Ndio Maana nimeamua kutumia browser,Maana app hata ukimblock akija kua quoted tu then ujinga wote utaona Kama ulivyo.Nimeyablock ma BOTS zaidi ya 80 huko.Naenjoy kiukweli.
Ulitegemea Putin afanye nini Ninaweza in his situation?
Angepandikizaje watu Ukraine mkuu,remember that is a sovereign nation,sio rahisi kihivyo.Na pia unaona ange eliminate vipi hao watu in a smart way.Again remember Ukraine is an independent nation na CIA,MOSAD na MI6 nao wamo humo.Mimi naamini Putin alishafanya attempts zote hizo ulizo suggest,ila ameona kwamba the most feasible alternative is to get rid of the regime once and for all.
Wengi naona hawalielewi hili unamuignore tu unapitaHivi kwani badala ya kutukana ama kutukanana mtu akiamua kuchagua wa kuzungumza nao anapungukiwa nini?
Kwani ni lazima ku-reply kila post ya mtu kwenye hii thread? Mbona tunakua hivi lakini mmh?
Hasira za nini? Ugonvi wa nini?
Kwanini isiwe wale wana yao na sie tuna yetu kila mtu atizame upande wake?
Hata kama ni kueleweshana, tunaeleweshana nini ambacho kitam'badili mtu mtizamo wake na mahaba yake ikiwa miezi almost mi8 imepita na ameamua kua hivyo alivyo?
Binafs nakereka sana, na ningeomba niwasemee wengine wanaopita kimya kimya.
Una-scroll alot of text zimejaa matusi tupu, unaamua ku'ignore halafu unakuta uliyemtia block kuna jamaa pro' upande ulipo kam'qoute wanajibizana utumbo tu. What for? Kwani kumchunia mtu ambae hayupo tayar kwa hoja kuna uzito gani mmh?
Pro-Russia baadhi kwenye hii mambo mna'fail vibaya. Naamini siku ikipita bila ku'qoute or replying text ya Pro BOTS hampungukiwi kitu.
Tupeane break wadau.
Ipite walau siku basi tuishie kupeana taarifa yanayo jiri ila sio matusi mnayopeana ajab zaidi hamjuani zaidi ya maandishi yenu kweye jamvi.
Nilidhani ninatisha Kumbe ninafanya Mzaha Kwny block aisee ππ,aione mkuu Qibsyl ili ayashughulikie vzr ma BOTS.Mkuu kwenye hii league nimekuacha point nyingi π, mimi nimewafungia kama 100+ hivi. Soon nitahamia kwa Pro Russia wenzangu wanao endeshwa na mihemko.
View attachment 2392948
Hiyo list nzima imetoka kwenye huu uzi asalaleee