Mbona hata wakristo wengi wanaiunga mkono Russia.wasapoti ushoga Tu ndo mnaisapoti NATO.
Russia anasubmarine kama hizo nyingi Tu sasa utamtishaje na anaipelekaga mpaka karibu na USA.The United States has just announced that the ballistic missile submarine USS West Virginia (of the Ohio strategic nuclear submarine class) is present in the Arabian Sea, an unusual move that appears to be intended to send a warning signal to Russia-Iran.
You may read the entire article by clicking on the link below
Naona unajaribu kubishana na statement ya kamanda wako..,si vibaya kujifariji [emoji2957]Acha Kuota Ukraine wanauawa Sana huko Kherson
Hakuna mtu ata kimbia matusi. Matusi yenyewe hamjui. Hayo mnayoyaita matusi sisi huku mtaani kwetu ni compliments. Yaani mtu akitaka kukusifia ndio anakupa maneno hayo imagine akitaka kukutukana sasa!Nyie madogo waseng£ mnajifanya mnajua kukashifu nimeshawaaambia mtakimbia humu ,Kwa matusi hapa mmefika ,nitawanyoosha
Link iko wapi?clicking
Kama haijakuuma ungepta kimya tu.., lakini Kwa kumjibu hivyo inaonyesha imeingia na imekuumizaHakuna mtu ata kimbia matusi. Matusi yenyewe hamjui. Hayo mnayoyaita matusi sisi huku mtaani kwetu ni compliments. Yaani mtu akitaka kukusifia ndio anakupa maneno hayo imagine akitaka kukutukana sasa!
Kwa hiyo unajitahidi kutukana kwa nguvu ili tukimbie!? Hahaha
Pole sana double kick haijawahi kumuacha mtu salamaWapuuzi nyie nyote mnaoshadadia vita Russia or Ukraine kwani kwani kwenu huku Acha wamalizane kabisa . Toilet paper ya kufutia mikundu yenu inawashinda . Wadanganyika mlo mmoja shida . Mnakuja kujaza matope hapa . Mngekuwa na akili za kupigana HAYA MATOZO tungeshinda , tuacha huu makumaku wa Russia . Maanina kabisa .
Hapana,Mimi sijaweka alama hiyo,kwanza hata sijui inawekwaje!Ndio maana nakushangaa!Hiyo coment uliyojibu Ina alama hii r [emoji304][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304] na nyinginezo.., unaona ni sahihi,?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
🙏Hivi kwani badala ya kutukana ama kutukanana mtu akiamua kuchagua wa kuzungumza nao anapungukiwa nini?
Kwani ni lazima ku-reply kila post ya mtu kwenye hii thread? Mbona tunakua hivi lakini mmh?
Hasira za nini? Ugonvi wa nini?
Kwanini isiwe wale wana yao na sie tuna yetu kila mtu atizame upande wake?
Hata kama ni kueleweshana, tunaeleweshana nini ambacho kitam'badili mtu mtizamo wake na mahaba yake ikiwa miezi almost mi8 imepita na ameamua kua hivyo alivyo?
Binafs nakereka sana, na ningeomba niwasemee wengine wanaopita kimya kimya.
Una-scroll alot of text zimejaa matusi tupu, unaamua ku'ignore halafu unakuta uliyemtia block kuna jamaa pro' upande ulipo kam'qoute wanajibizana utumbo tu. What for? Kwani kumchunia mtu ambae hayupo tayar kwa hoja kuna uzito gani mmh?
Pro-Russia baadhi kwenye hii mambo mna'fail vibaya. Naamini siku ikipita bila ku'qoute or replying text ya Pro BOTS hampungukiwi kitu.
Tupeane break wadau.
Ipite walau siku basi tuishie kupeana taarifa yanayo jiri ila sio matusi mnayopeana ajab zaidi hamjuani zaidi ya maandishi yenu kweye jamvi.
huyu 94 una ujinga mwingi sana na ujuaji acha na mie nikamuwasheMkuu kwenye hii league nimekuacha point nyingi 😂, mimi nimewafungia kama 100+ hivi. Soon nitahamia kwa Pro Russia wenzangu wanao endeshwa na mihemko.
View attachment 2392948
Hiyo list nzima imetoka kwenye huu uzi asalaleee
Wapuuzi nyie nyote mnaoshadadia vita Russia or Ukraine kwani kwani kwenu huku Acha wamalizane kabisa . Toilet paper ya kufutia mikundu yenu inawashinda . Wadanganyika mlo mmoja shida . Mnakuja kujaza matope hapa . Mngekuwa na akili za kupigana HAYA MATOZO tungeshinda , tuacha huu makumaku wa Russia . Maanina kabisa .
Naona hata kuelewa ni ngumu..,kapumzishe akili kwanza mkuu..,[emoji106][emoji106]Hapana,Mimi sijaweka alama hiyo,kwanza hata sijui inawekwaje!Ndio maana nakushangaa!
Hizo nchi ulizotaja hapo zinaizidi Russia kiuchumi. Kwanini unachanganya economic superpowers na nchi yenye GDP level za Spain?Mmejipanga kukanusha kuhusu successes za Russia....kwenu habari ni kile mnachoita kupelekewa Moto Russia...time will tell...Russia atashinda Vita hivi kibabe. Atashinda kiuchmi, kijamii, kidiplomasia na kijeshi....serikali za Europe moja baada ya nyingine zinadondoshwa...Mdada Liz Truss ndiyo hivyo Tena...She has been in power in less than 50 days....In France second French revolution inanukia...
Hizi propaganda mta jikuta mmekufa wote frontHaya sasa
Russia 'considering major withdrawal' after Moscow commander's rare admission of army struggles
James Hockaday
Thu, October 20, 2022, 3:18 PM·4 min read
In this article:
Vladimir Putin
President of Russia
Ukrainian servicemen fire a howitzer cannon at Russian troops as they make gains in Kharkiv region. (Reuters)
Russian forces in Ukraine could be planning a "major withdrawal" from Kherson after the recently appointed commander of the invasion admitted troops faced a "difficult situation" in the region.
An operational commander sharing such a negative outlook of the so-called "special military operation" is "highly unusual", according to an update on Thursday by the UK's Ministry of Defence (MoD).
The gurdian news
Kuna pro Russia bado wanakomaa humu .., tukiwaambia kwamba super pawer wa mchongo ana Hali mbaya huko kheson hawaelewi,Haya sasa
Russia 'considering major withdrawal' after Moscow commander's rare admission of army struggles
James Hockaday
Thu, October 20, 2022, 3:18 PM·4 min read
In this article:
Vladimir Putin
President of Russia
Ukrainian servicemen fire a howitzer cannon at Russian troops as they make gains in Kharkiv region. (Reuters)
Russian forces in Ukraine could be planning a "major withdrawal" from Kherson after the recently appointed commander of the invasion admitted troops faced a "difficult situation" in the region.
An operational commander sharing such a negative outlook of the so-called "special military operation" is "highly unusual", according to an update on Thursday by the UK's Ministry of Defence (MoD).
The gurdian news
Jipe moyoHizi propaganda mta jikuta mmekufa wote front
Ukweli unauma lakini hakuna namna [emoji848][emoji2][emoji1787]Hizi propaganda mta jikuta mmekufa wote front