Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
#MemeWiki Sasa wanaongea "President advisers"...
Yeye Zelensky yupo wapi?
Naam bro, ni "Me" tena mdogo mno wa miaka 11...Daaah [emoji51][emoji34][emoji35][emoji22][emoji22]
Yaani haka katoto Me
Kwani wewe Mrusi? Anyway nimesema wameona the best alternative ni kuondoa the Nazis kabisa.Infiltration kwa kiwango ambacho Ukraine ilikuwa imekuwa taken over by the Nazis nadhani isingekuwa feasible.Na wao I am sure ndivyo walivyo ona.Kwamba CIA, MOSAD NK. Walim outsmart?
Wanazingirwa hivo hivo mkuu, hii ndio Russia, hata kama wewe uko nje unazingirwa na wa ndani, habari yoyote kutoka Kremlin haina makosa.Hiyo ramani ya Rybar hainoeshi popote Ukraine walipozingirwa. Hawakuanzisha bridgehead kwamba imezidiwa, wako kwenye war zone na contact line yao iko within Russian artillery range.
Vivo hivyo na kwa Russia contact line yao iko within Ukrainian artillery range.
Sioni nani yuko nyuma ya mto na kama hakuna mto yeyote anayezidiwa anafanya retreat.
Hakuna aliye kwenye pocket sasa wanazingirwaje
Dunia itachukua karne nyingine kuja kumpata mwamba Kama President Putin..
Ww jamaa mbona umekomaa na hoja ya drone hazina faida yeyote.Mkuu nakubali kabisa- Nimekuta hapa mara kadhaa michango kuhusu droni nikauliza mara kwa mara kuhusu facts jinsi gani droni hizi zinavyoathiri mwendo wa mapigano - mbali na kutisha watu raia. Sijaona jibu. Ila wengine wanaeleza "ni lazima" droni zitaathiri mengi... Nisipokosei wale wanaosema hivi wana imani kubwa, ila hakuna aliyeleta facts nilizotafuta: uharibifu wa muda kwatika vituo vya umeme, uharibifu katika nyumba za watu, kuua raia wachache unabadilisha nini katika mwendo wa mapigano???
Dah west washenzi sana
Utumbo kabisa ameandika akatupia na kajiramani ili wajinga wamwamin mtu unafaid nn kuandika uongoUlikuwa umetulia kwa muda wewe mvaa kobazi,Sasa naona umekuja na propaganda zako kwa nguvu zote [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
move yao katika kupandikiza ushetani kuanzia kwa watoto baada ya miaka 20 Tutarudi enzi za nabii luti.Daaah [emoji51][emoji34][emoji35][emoji22][emoji22]
Yaani haka katoto Me
tuendelee kumuombea Afya na ashinde hii vita naamini dunia itabadili muelekeo na tutawapata akina putin wengi baada ya hapo.Dunia itachukua karne nyingine kuja kumpata mwamba Kama President Putin..
He is really hero of our living time..
wanatupeleka kubaya mno siku hizi asilimia kubwa ya muvi na animation zao zinazotoka lazma ukute hayo mambo ya upinde nia waharibu rika la watoto ili iwe rahisi kwao kuukubali upinde hapo baadae.Dah west washenzi sana
Kwao hio ndio haki ya binaadamu eti [emoji34][emoji35][emoji34]
Bila kusahau msaada wa HIMAZBila kusahau msaada anaopewa russia kutoka iran
Kapime akili kwani wao ndo wameleta vita,mbona unatukana mashabiki badala ya kutukana wachezaji.Wapuuzi nyie nyote mnaoshadadia vita Russia or Ukraine kwani kwani kwenu huku Acha wamalizane kabisa . Toilet paper ya kufutia mikundu yenu inawashinda . Wadanganyika mlo mmoja shida . Mnakuja kujaza matope hapa . Mngekuwa na akili za kupigana HAYA MATOZO tungeshinda , tuacha huu makumaku wa Russia . Maanina kabisa .
Inasikitisha haswaaaa [emoji22][emoji22][emoji22]move yao katika kupandikiza ushetani kuanzia kwa watoto baada ya miaka 20 Tutarudi enzi za nabii luti.
Hahahaha kwahiyo wewe unajua zaidi kuliko NATO ambao wanafatilia nyendo za majeshi ya Urusi 24/7 Kwa surveillance planes zinazoruka black sea kila kukicha na satellite kibao!!!!? Kwani hata kule Kharkiv ilikuaje si mlikuja na visingizio eti mtego,mtego gani huo usioteguka[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanazingirwa hivo hivo mkuu, hii ndio Russia, hata kama wewe uko nje unazingirwa na wa ndani, habari yoyote kutoka Kremlin haina makosa.
Wameingiza kwenye mitaala mashuleni huko USA , Ni kila sekta.wanatupeleka kubaya mno siku hizi asilimia kubwa ya muvi na animation zao zinazotoka lazma ukute hayo mambo ya upinde nia waharibu rika la watoto ili iwe rahisi kwao kuukubali upinde hapo baadae.
😁😁 Babu hapo lazima diaper ichomoke.Putin having some fun!
View attachment 2393027
Putin tested the Russian SVD sniper rifle at a training ground in the Ryazan region, fired several shots.
[emoji188][emoji188][emoji188]
Hivi Demntia Joe anaweza hii mambo [emoji41]
GOD bless this Man.A point for debate! Naipenda sana hii duo inayo onekana kwenye hii video. Aliyesimama na aliyekaa jirani yake.
View attachment 2393122
[emoji779]️"Why don't we have a problem with the fact that the US and NATO terrorize people in Afghanistan, Iraq, Libya? Or do we have a problem with the fact that the US + EU help the Saudis, the UAE to terrorize Yemen? Why do we have no problem with the fact that Israel terrorizing the Palestinians?
MEPs from Ireland are traditionally the most captivated by the idea of justice.
Apparently the history of the island contributes to this ...