Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
Inasikitisha sana kiongoziWameingiza kwenye mitaala mashuleni huko USA , Ni kila sekta.
Na iwe hivyo mkuuTunakoelekea Urusi anaweza ongeza majimbo mengine ndani ya Federation.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Funny eh! Wote hao hawaendi front line? No matter how much watafanya. The all do it behind the deskPutin having some fun!
View attachment 2393027
Putin tested the Russian SVD sniper rifle at a training ground in the Ryazan region, fired several shots.
[emoji188][emoji188][emoji188]
Hivi Demntia Joe anaweza hii mambo [emoji41]
Halafu hapo hapo wanai classify China Kama "Developing Country". Eti China inapitwa na Italy kiuchumi [emoji3]View attachment 2393340
You can always count on China. China has contributed more to global economic growth than the G7 combined in 2013-2021.
Waitwe kwenye "sehemu maalumu" waelekezwe. Russia Wana utu, utu hauwezi kuambatana na mihemko, ama lugha za kuudhi.Pro Russia wenzangu wanao endeshwa na mihemko
Viva RussiaTunakoelekea Urusi anaweza ongeza majimbo mengine ndani ya Federation.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sina Nina ya kuhamisha mjadala lakini nakushauri uwe unatafuta chanzo cha tatizo ndipo utaweza kutatua tatizo hilo. Soma hiyo PostHapa Tanzania US, EU na UK ndio wanaongoza kutoa misaada na mikopo ya kila aina kuanzia ujenzi wa miondombinu mikubwa, dawa za Ukimwi, Malaria, vituo vya afya vya mama zenu kuzalia mpaka vyoo na kutahiri magovi na wengine hadi chanjo za kifua kikuu na polio mlipata kwa hisani yao ila jambo la ajabu ni mashabiki lia lia na wafuasi wa kutupwa wa dikteta Putin!
Ilikuwa inaitwa G8, Russia baada ya kuvamia na kuitwaa Crimea mwaka 2014 wakapiga kura ya kuitoa uanachama wakabaki wanachama 7 wakaiita G7Halafu hapo hapo wanai classify China Kama "Developing Country". Eti China inapitwa na Italy kiuchumi [emoji3]
Hiyo G7 ni chaka lingine la NATO members.
Kuna mboga mboga. Yaani mboga za majani ukizipanda zinakomaa kuanzia sikub 65. Tangu awe waziri mkuu hajafikia muda wa kukomaa hizo mbogamboga.Lettuce ni nn MKUU
Wazoee hao jamaa hawajielewi.Tukio unalosema lilitokea September 29,ndo maana Jana ilikua imesindikizwa na Typhoon fighter jets ili kuilinda na panya road yoyote Yule wa kirusi angani.
Nimecheka balaa ( m pia nilitaka kugugo ili kujiakikishia sio ninachokifahamu mboga)anaonekana ni mtu wa matani sanaa.Kuna mboga mboga. Yaani mboga za majani ukizipanda zinakomaa kuanzia sikub 65. Tangu awe waziri mkuu hajafikia muda wa kukomaa hizo mbogamboga.