Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Unusual move?? [emoji23][emoji23][emoji23] haya sawa wazee wa announcements.

Lilitoweka dude flani hivi kwenye mazingira ya kutatanisha kutoka kwenye yard yake juzikati apa [emoji23][emoji23][emoji23] mlitandaza hofu kias cha kuufanya ulimwengu mzima upanic.

Hakuna sehemu ipo monitored kwa upekee kwa sasa kama Arabian Sea maana ndio sehemu pekee mlobakiza kufanyia uhuni wenu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vijana wa mobilization kule Russia wanalazimika kujinunulia wenyewe sare na bunduki aina ya magobole ya kwenda nayo front line [emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kutoka mwaka 2014, Ukraine imekuwa ikipewa Training,vifaa na pesa na hao NATO sasa.
 
Summary for the morning of October 21

[emoji837] The Russian Armed Forces in the Svatovo direction reflect the attacks of the enemy, who is trying to force the Zhdrebec river under the fire of our artillery

Wagner PMCs are fighting on the southeastern outskirts of Bakhmut

[emoji838] The Armed Forces of Ukraine in the Nikolaev area are concentrating forces in frontline settlements.

In the Zaporozhye direction, the arrival of new enemy units is also noted, some are being withdrawn to the first echelon of defense.

In the Belarusian direction, the AFU is strengthening the grouping of troops.

In the LPR, Chervonyi Prapor, Lisichansk and Bryanka are under fire from HIMARS. Five people were killed and nine employees of the Ministry of Emergency Situations of the LPR and emergency services were injured In the locality of Bryanka, one civilian was killed and one was injured.

Shelling does not stop in the DPR. A woman was wounded.

Another war crime of Ukraine was the shelling of a ferry in the Kherson region, along which civilians were being taken out. The enemy knew that this was a gathering of the civilian population, the evacuation was covered in the media.

The summary was compiled by: Two majors
 
Mabarozi wa nchi za ulaya wanaanza kukimbia Ukraine wengine wanaachia ngazi hawataki kuona wananchi wa kawaida wanakufa mbele ya macho yao. Zelesiki keshakimbia nchi wanachofanya TV za nchi za magharibi ni kuaminisha umma kwamba zelesiki bado yuko Ukraine kwa kuchukuwa mazingira ya Ukraine na kuweka nyuma ya camera zelesiki mbele wananchi waone Kama bado yuko Ukraine.
Angalia barozi wa France ka resign na kuondoka Ukraine.
 

Attachments

  • IMG-20221021-WA0001.jpg
    66.4 KB · Views: 24
[emoji779]️Germany Must Lift Russia & Stop Supplying Weapons to Kiev - AfD leader

“With your one-sided focus on the United States, you are leading the German economy to death,” Alternative for Germany leader Tino Chrupalla told Chancellor Olaf Scholz, speaking in the Bundestag.

Subscribe to RT
 
Ficha upumbavu wako..,Ina maana umeona matusi ya donvill tu..,ya pro Russia wenzio huyaoni.., sijawahi kuona unafiki wa Hali ya juu kias hiki,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu, hawawezi kuvumilia kuona miili ya askari wa urusi ikitapakaa namna hii,[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…