LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Jukwa la chit chat linakufaa hapa nikama unaforce be careful hapa tumekaa malijari ooh
 
Hhahahahah nimecheka sana. Mnamchukulia sana poa russia, endeleeni kudanganyana wengi humu hamumjui russia vizuri na wengi wameanza mjulia kwenye vita na ukraine hamjui historia yake vzr huyu jamaa.
Sidhani kama unanifika hata 50% kwa kuijua Russia tena hasa jeshi lake. Humu tunaandika ila tungekaa face to face hata 40% hunifikii kamwe
 
kwenye ulingo wa media urusi anapigana na ulimwengu hasa mapro westerns
 
Ukraine ni taifa la kale zaidi kabla ya Russia.
Kyiv ilikuwa jiji kubwa muda mrefu sana wakati Moscow ikiwa kijiji tu.
Kuna wazee wakukaza shingo hawajui kuwa Ukraine n mkubwa kwa urussi na Ukraine ndo amezaaa urussi Ukraine hasa kyiv n jiji la kale Sana hiyo Moscow ya juz tu
 
Ona huyu naye..et operation ndogo , Raisi ametangaza ni full scale invasion alaf unasema operation ndogo , ?? Russia uwezo mdogo full stop ...case closed, now kaomba real combat imetokea ni mda wa kutuaminisha sasa
Hawa jamaa hawana hoja akili zao ni kama zile za wafuasi wa ZUMARIDI uwezo wao wa kufikiria ni.mdogo sana Putin kawapeleka chaka mno

Imebaki sasa wanatupigia ngonjera tu haman lolote la maana wanaloweza kulosema

Pale Russia hamna jeshi imagine jeshi linaishiwa mpaka (rational) , jeshi linasbaziwa mpaka rationa iliyooza na kuexpire zaidi ya miaka saba uko nyuma aisee Russia ni jeshi la ovyo mno jeshi linaishiwa mafuta jeshi halina nidhamu, jeshi liko disorganized mpaka wanatekwa ovyo ovyo kama kuku waliokatwa vichwa bhana Russia hawana jeshi ila ilikuwa ni mikwara Mbuzi sasa wameyakanyaga ile ile
 
Center of Moscow now, in support of the military

Source: RIA Novosti
Your browser is not able to display this video.
 
Marekani walipovamia Somalia, wanajeshi wao waliuawa na kutembezwa mitaani jijini Mogadishu, kwenye vita, hata uwe na nguvu kiasi gani casulties haziepukiki
yeah tuliona picha zile kupitia CNN BBC nk pia tuliona wabunge wamarekani wakihoji, kimsingi tulipata taarifa nyingi kutoka press za marekani yenyew, hakukuwa na sheria ya miaka 15 jela wala zuio la media kutangaza idadi ya vifo or whatever, kuhusu casualities hamna aliesema kuna nchi haijwahi kupata casualities vitani but inapokua ndg au kubwa au haiendani na uwezo wa adui husika ndio kunakuwa na mjadala km hivi, mi sijasema kuna nchi haijawah poteza askari vitan pia sijkuitaja marekan
 
Huna akili pathetic!!
 
Sema hii ya majivu umeishuparia
Sana mkuu
Wacha aishupalie si nyie ndo mlitwambia ivyo siku ya kwanza ya vita then leo ni siku ya ngapi tambie mpaka sasa mmetka miji mikubwa mingapi pale Ukrain mpeni jibu lake mwana atulie maana mlileta propaganda za kitoto sana mpeni jibu mwana aache kuwauliz hili swali yaani Pro Russia mmekosa hoja sasa ivi
 
Toa data zako za uhakika zibandike chumbani mwako pale ukutani ziwe zinakufariji mzee sisi tunaangalia habari zinazotolewa wazi izo zako za kufikirika kaaa nazo wewe ama zibandike chumbani mwako ziwe zinakufariji babu
 
Watakuja kukubishia kwa kuandika sentensi moja yenye emoji za kuchekacheka waishie hapo. Hawawezi toa facts kupinga unalosema, hawatozungumzia hizo rations, actually zile ni MRE {meals ready to eat}. Rations huwa wanapewa raia kwamba nchi iko vitani hivyo maghala yataishiwa, au fedha za kuagiza nje hamna, au supplies ni ngumu, n.k hivyo raia kula hivi na hivi.

Hawatosema suala la kuishiwa mafuta. Tumesema sana humu logistics ya Russia ilivyo mbovu kwenye vita hii. Yani wanajeshi frontline wanalazimika kutelekeza silaha kisa zimeishiwa mafuta, wakati huo kuna ambush zinawasubiri mbele na air cover hawana.

Mpaka sasa nasubiri mtu anirudishie imani kwamba Russia ana uwezo mkubwa kwa sababu hizi aziorodheshe, hawapo. Watakuja hapa waseme kwani kati ya Ukraine na Russia nani anapigwa kwao? Utadhani Ukraine nalo jeshi la maana humu duniani
 
Yale makombora yanaitwa JAVELIN , STINGER na NLAW haya ni hatari warusi hawapendi ata kuyasikia kabisa kabisa yanawanyima amni mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…