LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sources ya taarifa yako alafu acha propaganda uchwara mzee hii inakusaidia nini na wakati for real Russia ama suffer kuliko Ukrain
Ivi unaandikia haya kwa kutumia kiungo gani kutafakari we unaona kabisa mwanaume Russia anazidi kuchukua miji afu unasema anae umia ni Russia jaribu kutumia ubongo kutafakari hivyo viungo vingine viache vitulie
 
russia anasema baada ya ataireplace west kwa kuongeza uhusiano na CSTO,, SCO na BRICS but jumuiya hizi zinapendelea kuwa ni za kibiashara zaidi na si za kisiasa ama anti-western camp pia zinamwona China ndio km senior partner sababu ya nguvu yake ya kiuchumi, wakati akikabiliana na security katika western flank anakabiliwa na challenge ya kupoteza ushawishi central asia
 
Urusi hana sare za angani wala oxygen masks!?? Daah mzee hapa sasa unapitiliza. Sasa si ni bora TPDF mzee kama ni hivyo. Uchambuzi umejaa kamba za kushato. Urusi hana training nzuri, hana mawasiliano mazuri, hana...
Daah umeichukulia Russia Armed forces kama mgambo wa janjaweed.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
kwa reply hizi,akili yako bado ndogo kuelewa haya mambo.uwe mpenzi msikilizaji ,haya Mambo waachie great thinker's!
Wewe ndo great thinker ama kivuli chako huna akili kutokana na pumba ulizoziandika kwenye ile comment yako!!
 
Russia kaishambulia na kuisambaratisha ngome ya kijeshi ya Ukrain iitwayo Starokostiantyniv military air base kwa kutumia makombora ya masafa marefu yenye ufanisi na shabaha zaidi ktk kushambulia tageti (long-range high-precision weapons)
Safi makombora mengi tunayafuta vumbi kwa ajili kupiga ngome zingine Russia anatoa kichapo cha mbwa mwizi
 
Rekebisha kiswahili chako cha Kikurya SIRAHA NDIO NINI ANDIKA SILAHA tatizo unajifanya mchambuzi wa vita wakati mtaani kwenu mnalazwa saa 2 na vibaka.
 
Israel ilishtukizwa na Egypt & Syria mwaka 1973 ikavamiwa, ikashinda vita na haikushambuliwa hata nyumbani kwenye miji. Pamoja na hayo walilazimika kumfanya Waziri Mkuu mwanamama Golda Meir (aliyezaliwa Kyv, ndio hawa kina Zelensky) ajiuzuru kwa kushindwa kupata inteligence reports mapema kuonesha Waarabu wanavamia. Hilo ni kosa dogo tu ila kwao kubwa.

Ila kwa Russia sijui kama watafanya mabadiliko ya uongozi wa kijeshi. Kwanza Sergei Shoigu mwenyewe alikuwa injinia enzi hizo akaja kuwa waziri wa masuala ya dharura kisha akawa jeshini mpaka kuwa Waziri wa Ulinzi. Yani kapanda kwa kuungaunga, competency ya military thinkers pale Kremlin itabidi wajipime
 
Yaani we upo Kingolwira unachambua nidhamu ya Jeshi Russia ambalo ni Jeshi kubwa duniani lenye historia kubwa.. hauwezi kufananisha na Jeshi lenu la Wakurya wanaofuga mabata
 
“This is how the Americans went in Iraq: yes, they demolished block after block - that’s all. We don't do that. We're trying to save the population."

Military journalist Alexei Borzenko in our stream about the uniqueness of Russia's special operation in Ukraine:

“It has already entered the historical annals, and it will be studied in all the military academies of the world. Imagine that buildings are not destroyed, some points that could be destroyed.

Subscribe to our channel.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…