Hawa pro Russia ni mambumbu wa ajabu sana yaani wanaongea ongea ujinga tu kama vile kitmoto aliyekatwa kichwa,
Kila siku mamia ya askari wa kirusi wanauwawa mamia wanakamatwa mateka mavifaru ya kirusi yanalipuliwa kila sikua , magari vita ya kirusi yanalipuliwa kila siku , helcopter shambulizi za kivita kila kukicha zinadunguliwa izo jet fighter ndo usiseme alafu anatoa mrusi mmoja wa mchamba wima uko ama samvu la chole anakwambia eti Russia ana siraha za hatari na hataki kuzitumia yaani as if anaongea na watoto wadogo
Mpaka muda huu leo jumapili vita ikisitishwa mshindi nia Ukrain hii ni kwa mwenendo wa vita na hasara iliyopatikana mpaka sasa kati ya hizi nchi mbili alafu kitu ambacho byie warusi uchwara hamkicahamu ni kwamba vita itakaposimamishwa Ukrain itageuka na kuwa jeshi imara na lenyw siraha za kisasa kutokana na ukweli kwamba Jeshi la Ukrain limeteka siraha nyingi za za kisasa na sophiscated kweli kweli
Yaani katika hii vita atakaye faidika kijeahi ni Ukrain na nyie warusi wa kongwa mkae mkijua kuwa siraha zenu zinazotekwa kila siku ndo zinatumika kuwachapa kweli kweli sasa ivi, na mjue kabisa kuwa mnaliimarisha kweli kweli jeshi la Ukrain,
kutokana na siraha zenu zinazotelekezwa na askri wenu dhaifu na wenye njaa kali kupitiliza yaani sijawahi kuona jeshi dhaifu kama la Russia
Yaani askari kamili mwenye mafunzo timilifu kabisa anapigwa ambush ama face to face battle akiwa na BM sophscated rocket launcher eti anakimbia na kutelekeza mtambo imagine ubora wa iyo siraha mzee
Sitaki porojo zenu tena mkija apa njoeni fact na nionyesheni mji ama kitu chocjote cha maana mnachokishikila mpaka sasa pale Ukrain, kifupi jeshi lenu nyie warusi wa Songwe ni dhaifu kupitilia wazee hamna jeshi ni mikwara na majigambo ya kike meeeeeengi alafu vitendo ziro