Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

In your dreams!
 
ni kweli mkuu na nadhani hata kwa uchumi mtikisiko wa Vita hio utakua Ni mkubwa Sana kuliko tulio nao Sasa.
 
Wanaume wanazidi kuweka mzigo tu,huku super pawer wa mchongo akizidi kujichokea [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wanazidi kuweka mzigo tu,huku super pawer wa mchongo akizidi kujichokea [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Amechoka balaa kwa mara ya kwanza budget ya Russia ina deficity ,imebid waibust kutoka kwenye mfuko wa economic wealth fund ,na isitoshe makuruta wapya uniform na buti wameambiwa wajinunulie wenyewe ,siyo kwamba Russia anashindwa kununua ila utawala unaonyesha una matatizo makubwa sana.Putin hawez kumaliza mda wake salama
 
Huwezi ukaziita nchi zetu hizi za kiafrika.."asholes".Hii inaonyesha jinsi gani uko brain washed na mp..um..b.v pia...Na kwa akili hizo zako zifikiri kama unaweza kuwa na mawazo chanya kwa Taifa lako.Nyie ndo yaleyale mapandikizi ambayo yako tayari kuwa mawakala ..kupiga 10% na kuuza utu wenu na maliasili zenu kwa wanzungu.shame on you na huo ujinga wako.
Pia kama unafikiri nchi za kiafrika ni asholes...nenda kaishi huko kwa wazungu...uwaache asholes na nchi zao..hujapigiliwa msumari huku. Shame on you
 

Ukrainian Armed Forces are shooting down 85% of Iranian-made Shahed drones​

Ukrainska Pravda
Fri, October 21, 2022, 1:29 PMΒ·1 min read

YEVHEN KIZILOV β€” FRIDAY, 21 OCTOBER 2022, 13:29
Over the past two weeks, the Armed Forces of Ukraine have demonstrated much better skills in hitting Iranian-made Shahed kamikaze drones, shooting down 85% of these drones.
Source: Yurii Ihnat, spokesman for Air Force Command of the Ukrainian Armed Forces at a briefing on Friday
 
Daa!!!africa tunasafari ndefu sana kama na wewe ulieandika hii post ni mtanzania mwenzetu au ni muafrica mwenzetu basi kazi ipo.
Mataifa ya Dunia ya kwanza yanatumia mafuta na aina mbalimbali za nishart zinazozalisha carbon kuendelezaa uchumi wao na wanaendeleza program mbalimbali za kuchimba mafuta na kujenga miundombinu ya kusafirisha mafuta na nishart mbalimbali zinazochafua mazingira kwa kiasi kikubwa lakini hatuoni kelele.LEO mataifa ya Dunia ya tatu kama tanzania na uganda kujenga bomba la mafuta ndo tunasikia kelele za green movement.Ok hao wanaosema tusisafirishe mafuta je wametupa altenative zip za energy/ nishart pamoja na teknolojia yake??........
 
Bado unaishi kwenye ndoto,Wenge likikuisha majimbo manne Yako Russia!

Nacheka sana yaani...supapawa anajivunia kuambulia sijui nini hicho licha ya yeye kuingia hasara mithili ya mataifa matano ya Afrika na bado anaendelea kutembezwa kichapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…