Rt quoted Britain’s Channel 4 broadcast"...State funded TV"
Kwa hiyo nayo ni miongoni mwa project za serikali ☹️ dah.
Kabla hawajafanya hivyo Kombe lenyewe limeshapoteza mvuto
Umeambiwa subir uoneKipi hicho?
Muda wote walikuwa wanaifanya nini huko vitani kama si wapiganaji?[emoji1128] [emoji1255][emoji298]The Indian Foreign Ministry recommends that Indians in Ukraine leave for neighboring countries as soon as possible, the Economic Times newspaper reports.
[emoji1255][emoji123][emoji123] thanks GermanView attachment 2397328
Prime Minister of Ukraine Shmyhal said that the effectiveness of the German IRIS-T air defense system in intercepting missiles is 90%. Given the real state of affairs, the location of the air defense system and the affected objects, this seems to be a clear exaggeration
Hiyo habari ni ya mwezi uliopita.., tatizo Hawa pro Russia wanaona Raha kuleta ma- news tu muda wote hata kama yamepitwa na wakati,Muda wote walikuwa wanaifanya nini huko vitani kama si wapiganaji?
Cha msingi kichapo kinatembezwa front line.., maeneo yanazidi kukombolewa kutoka mikononi mwa fashisti!View attachment 2397336
Be like Ukraine!
Save Energy!
ENVIRONMENTAL FRIENDLY!
GO GREEN!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii vita NATO na USA ndio wenye kuamua iishe au iendelee ,Zele ni kama mwanamke anaetongozwa na wanaume wawili kwa wakati mmoja kuna anaetumia Mabavu kumpata(Russia) na kuna anaembembeleza kwa vizawadi zawadi na kumfanya Akose msimamo (USA na Genge lake la NATO )[emoji3][emoji631] [emoji1255] [emoji635] - A group of 30 liberal lawmakers is calling on Biden to shift his strategy on the Ukraine war and pursue direct negotiations with Russia to reach a ceasefire - Washington Post
[emoji2772] Hii U-turn kulikoni tena?
Super pawer wa mchongo anazidi kutembezewa kichapo.., shauri yako..., epereshen ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo imegeuka vita ya muda mrefu [emoji848]Hii vita NATO na USA ndio wenye kuamua iishe au iendelee ,Zele ni kama mwanamke anaetongozwa na wanaume wawili kwa wakati mmoja kuna anaetumia Mabavu kumpata(Russia) na kuna anaembembeleza kwa vizawadi zawadi na kumfanya Akose msimamo (USA na Genge lake la NATO )[emoji3]
Wanaomshauri Zele wamwambie kujishusha nako sio udhaifu.