Mkuu, Iran inatumia drones zenye GPS, rejea kusoma vizuri hiyo GPS nimeitaja wakati nazungumzia nini.
Russia wako nyuma kwenye drone technology ndio. Taja drones 3 the best za Russia nikutajie drones tatu tatu kutoka Israel, US, China, Turkey zinazozidi hizo za Russia. Kwani Iran angeleta drones kama Russia anaweza
Acha uongoMkuu fuatilia taarifa za intelligence za Ukrain, hizo drones zikifika Russia zinakuwa replaced na Glonass ya Urusi, ndo kinachowapa tabu maana precision imeongezeka bila kuwa interference na radar za GPS.
Kwahiyo wale askari wa Urusi waliokuwa wameizunguka Kyiv walikuwa wameenda kutalii! Basi sawa.Kyiv,Kyiv - nani kawambieni Putin alikuwa na mpango wa kuikalia/teka jiji la Kyiv au kuteka Ukraine nzima-Putin hajawahi kusema hivyo, watu wanatunga stori zao hasa wakisha soma propaganda za magharibi wanazichukulia kama ni Gospel truth!!
Putin alitangazia Dunia kwamba lengo lake la special operation ni ku-demilitarise jeshi la Ukraine, kuangamiza vikosi vya kijambazi vya ki-neo NAZI (Azov) na kuwalinda wa Ukraine wa kusini mashariki mwa Ukraine wenye asili ya Urusi wanao uuwawa kila siku na utawala wa kikatiri wa Zelensky ambao hauwataki/chukia Waukraine wenye asili ya Urusi mpaka sasa Zelensky alisha wauuwa ethnic Russian in Ukraine zaidi ya 14,000 so far ndio maana mikoa hiyo inataka kujiunga na Taifa la Urusi ili kijihakikishia amani ya kudumu, can you blame Putin kwa kutaka kuwalinda Warusi wenzake??
Licha ya Zelensky kuwauuwa raia 14,000 wenye asili ya Urusi hatujawahi kusikia Serikali ya Merukani au za Ulaya wakilaani/shutumu mauuaji hayo, wako kimya kabisa kazi yao masaa yote ni kumsakama na kujaribu kumtisha tisha Putin na viongozi wenzake kwamba wataburuzwa kwenye mahakama ya kimataifa washitakiwe for war crimes - hawazungumzii chochote kuhusu Bill Clinton, Madellin Albright (for Yugoslavia war crimes) - Bush Sr,Bush Jr (for war crimes in Iraq),wapo kimya kabisa, wanajichukulia kwamba wao wapo above the LAW, mtu unashangazwa na baadhi ya waswahili wanao support watu wa ajabu kama hao, wanarudia rudia propaganda wanazo zisikia/ona kwenye western media inept propaganda specifically CNN,BBC,FoxNews, SkyNews etc.
Mpiga punyeto anataka kushuhudia mpambano wa russia ukipiganwa kama vile pambano la donnie yen na scott adkin kwenye movie ya IP MAN 4.Kitakachotokea hapa si US wala RUSSIA watataka wamalizane atakae kufa afe wakubaki abaki mambo mengnr yaendeleee
Suala lenu la ambush na attack cjui invasion hilo nimewaachia wenyenu mie mtazamaji tuuu
Sasa Mkuu uliona wapi mtu anaambiwa nenda sehemu fulani haya ni majukwaa huru usiandike hivyo inaonekana ni jinsi gani hutaki changamoto...Mkuu wewe unaetumia ubongo wako vzr unafanya nini Kwny hii thread?
Mbona Kuna thread kibao tu za mambo serious kama ya Katiba mpya,bwawa la umeme la mwl Nyerere etc unaweza kua huko Mkuu.
Hahahaha baada ya base Yao kutandikwa na HIMARS Leo Mzee wa Tiktok ndo anakumbuka kuna Jihad[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu bwana siku hizi hana tofauti na JotiMOTO SASA UNAANZA KUWAKA TARATIBU. MUDA SI MREFU DUNIA ITACHAFUKA
[emoji599][emoji599][emoji599]Ramzan Kadyrov declared a Great Jihad in Ukraine. He also stated that Christians and Muslims in Ukraine are fighting against Satanists. And that Odessa, Kharkov and Kyiv will surely be freed from us from satanic power. And pushed to fight harder. He will wait for Muslim volunteers from different countries to participate in the jihad against the Satanists[emoji298][emoji298][emoji298]
Mbona unaleta habari nusunusu[emoji23],ngoja nikuwekee nzima hapa ya huyu bwana Tiktok akibwabwaja baada ya wanajeshi wake kuwahishwa Akhera[emoji599][emoji599][emoji599]Wallah, this is Jihad!
And our Chechen commanders have decided not to defend themselves, but only to attack. Destroy these shaitans, wherever they are and no matter how well they hide.
So expect good news. They will.
And love your country! Love not only in words.
I also contacted the representatives of the KRA, who are in the NWO. Information Confirm[emoji298][emoji298][emoji298]
we jamaa muongo sana;Mkuu, Iran inatumia drones zenye GPS, rejea kusoma vizuri hiyo GPS nimeitaja wakati nazungumzia nini.
Russia wako nyuma kwenye drone technology ndio. Taja drones 3 the best za Russia nikutajie drones tatu tatu kutoka Israel, US, China, Turkey zinazozidi hizo za Russia. Kwani Iran angeleta drones kama Russia anaweza
Akili yako imejazwa propaganda za kirusi ambazo zimejaa ujinga. February 24,2022 wakati anavamia Ukraine lengo lilikuwa kuupindua utawala uliopo aweke Maliki anaotaka yeye bahati mbaya sana alipiga mahesabu yake vibaya .Askari wake waliweza kuingia Mjini Kiev walipata mkong'onto wa kutosha kutoka majeshi ya Ukraine askari wa Russia wengi walikufa ndipo Putin kaamuru kuyaondoa majeshi yake kutoka Kiev baada ya kipigo hicho ndipo Kanzaga kupeleka majeshi yake huko mashariki na kusini mwa Ukraine kwenye mini ya Kharkiv,Luhansky,Donesky,Zaporizhzhia na Kherson Mwezi September Ukraine ilianzisha Operation Counter-Offensive iliweza kuyashinda majeshi ya kivamizi kutoka Russia kwenye miji mbalimbali ya Ukraine na sasa mashambulizi nayo ya Ukraine yamelengwa kwenye Miji ya Luhansky,Donesky,Zaporizhzhia na Kherson ambako sasa hivi Russia anapata taabu sana na Askari wake wengi kuuwawa na majeshi ya Ukraine.Ni uongo wa kijinga na kipumbavu mtu kudai eti Putin hakuna na haja kuuteka Mjini mkuu Kiev Huo ni uzuzu sema tu alipozidiwa na Askari wake wengi kuuliwa alibadirisha Gia angani na kuelekea mashariki na Kusini mwa Ukraine ambako mpaka sasa anapigwa vibaya sana muda Wowote Kherson itakombolewa.
Putin alitangaza pia kuwa eti anataka demilitarise Jeshi la Ukraine hayabagui sasa miezi 8 imepita bado anahangaika na kuua raia,Kuharibu majengo yao na Kuharibu miundo-mbinu ya kiraia kitu ambacho ni War-Crime.Amekimbia huko Mstari w Miele anaenda Kwa raia wasio na silaha huu ni woga kabisa.Huko Kherson wanajeshi wake wanapiga vibaya sana ameshindwa kuwasaidia Kwa lolote.