Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Multipolar
Yaani leo hii EU na US wakuachwa wapambane na majanga yao kweli
Ama kweli hii SMO inaendelea vyema kila mahala
RUSSIA kamatia hapo hapo
Multipolar
Kwenye hii Ukraine Grain Deal bado Kuna changamoto.Hawa watu wanachekesha sana
NATO urges Russia to extend "grain deal"-Jens Stoltenberg
Dementia Biden hapo angekuwa ameshasinzia kitambo Sana...Baada ya mambo kuwa Magumu Putin akiweka sawa kikosi chake cha nyukilia.... hapa akiwacheki kideoni wakifanya mazoezi....
Putin anataka kuchokoza moto !!
View attachment 2398445
Russian President Vladimir Putin observes exercises by Russia's strategic nuclear forces via a video link in Moscow [Sputnik/Alexei Babushkin/Kremlin/Reuters]
nahuu ndio ukweli MKUUUSA huwa anapenda kunusa nusa mambo ya ndani ya nchi nyingine na siamini kuwa wakati wote huwa anapigania democracy.
Putin amguse Babu aone moto wake, ajifanye kama anajikuna arushe nyukilia moja tu !! 😀Dementia Biden hapo angekuwa ameshasinzia kitambo Sana...
Naona wewe nimgeni wawazungu na wamagharibinaona wewe ni mgeni na wazungu wa Magharibi, mrusi kafika hapo alipo kwa ku trade na hao hao jamaa wa magharibi - eti Putin awatenganisha labda mturuki ambaye kiasili si mzungu, ana tabia za kichina china za kutoaminika
@FUSO RUSSIA ndio inawabeba EU na NATO yakeHawa watu wanachekesha sana
NATO urges Russia to extend "grain deal"-Jens Stoltenberg
sasa mbona kila kukicha unatumia resources za washenzi ? acha tuone kama una jeuri - nchi yako maskini haina lolote bila misaada ya watu hawa - acha kutumia maneno ya shombo kijana.nahuu ndio ukweli MKUU
Hakuna sehem yeyote ambayo ipo na demokrasia kwahizo nchi alizozivamia kwamadai yakwamba anaenda kusambaza hio demo
Kikubwa kawaachia mabalaa mauaji na mauchafu mengine
US na vibaraka wake washenz sanaaa
@FUSO pitia hapa uone umuhimu wa RUSSIA kwa NATO na EU hapo hatujaitaja sehem nyengine ya DUNIAKwenye hii Ukraine Grain Deal bado Kuna changamoto.
Jana nilimsikiliza Russian Deputy Ambassador to UN Security Council Dmitriy Polyanskiy akiwa anafanya media takeout after UNSC meeting, alisema ishu mbili:
Swala la kwanza:
Kumbe walikubaliana kwamba, kuna baadhi ya Russians Agricultural products (like fertilizers, grains etc), hazitakuwepo kwenye sanctions kama sehemu ya hiyo "Ukraine Grain Deal".
Sasa kilichotokea ni kwamba, Sanctions zimeendelea kuwepo kwenye hizo Russian Agriculture goods.
Ndio maana Jana Ambassador Dmitriy Polyanskiy, akasema kwamba hii deal haitaendelea teba kwa sababu Westerns wameshindwa kutekeleza sehemu ya makubaliano yao.
Swala la pili:
Ni kuhusu hizo Grains za Ukraine zinaenda kuuzwa wapi. Walikubaliana kwamba zaidi ya 60% ziende kwenye developing/underdeveloped countries.
Lakini imekuwa kinyume kabisa. Westerns ndio wamechukua hizo Grains kwa kiwango kikubwa. Kwa hiyo madhumuni ya kuingia hayo makubaliano inakuwa hayana maana.
Tukumbuke kwamba hii deal hipo under UN Security Council.
twende taratibu, mrusi si wa kukopa drones kwa Iran, haiwezekani kabisa... Yaani ni sawa na US kukopa silaha kwa Morocco ama South Africa... aibu.Naona wewe nimgeni wawazungu na wamagharibi
Western wamefika hapo kwakufanya trade na huyo huyo mrusi
Kama wanaweza kuishi bila RUSSIA simple tu wapige marufuku ununuzi wa gas makaa ya mawe na ngano inayotokea huko RUSSIA tungeamini kwamba wanaweza kuishi bila ya RUSSIA
Taarifa zinazema makampuni 91 yameondolewa kwenye vikwazo huko holland kama sijakosea hio nchi hizo kampuni kutokea RUSSIA kwanini wasiache zikafa
Taarifa zinasema BULGARIA wanaagiza kuni kutokea RUSSIA
WEST kama munaamini wanaweza ishi bila RUSSIA simple tu wakate biashara nae ili RUSSIA ifutike kama ilivyofutika USSR
Kutokutumia ama kutumia hakuondoi USHENZI kwaho WASHENZIsasa mbona kila kukicha unatumia resources za washenzi ? acha tuone kama una jeuri - nchi yako maskini haina lolote bila misaada ya watu hawa - acha kutumia maneno ya shombo kijana.
Unajua bajeti ya nchi yako leo inategema hela za hao what you call them washenzi kwa 40% afu unakuja kubwabwaja hapa.
Kama wao waliamua kukopa hawaoni aibu wewe ukiona aibu itakusaidia nn MKUUtwende taratibu, mrusi si wa kukopa drones kwa Iran, haiwezekani kabisa... Yaani ni sawa na US kukopa silaha kwa Morocco ama South Africa... aibu.
Sidhanii kama itatumikaNuclear kutumika muda wowote kuanzia leo
Putin kasema, kaitasrifu China na dunia kuwa Ukraine ana mpango wa kutumia silaha za maangamizi kwenye ardhi ya Urusi
Tujiandae kwa mnyukano siku yoyote kuanzia leo
Hawa majamaa wana agenda zao wanazozijua wao ila wanatumia mgongo wa nchi masikini ili kujinufaisha waoKwenye hii Ukraine Grain Deal bado Kuna changamoto.
Jana nilimsikiliza Russian Deputy Ambassador to UN Security Council Dmitriy Polyanskiy akiwa anafanya media takeout after UNSC meeting, alisema ishu mbili:
Swala la kwanza:
Kumbe walikubaliana kwamba, kuna baadhi ya Russians Agricultural products (like fertilizers, grains etc), hazitakuwepo kwenye sanctions kama sehemu ya hiyo "Ukraine Grain Deal".
Sasa kilichotokea ni kwamba, Sanctions zimeendelea kuwepo kwenye hizo Russian Agriculture goods.
Ndio maana Jana Ambassador Dmitriy Polyanskiy, akasema kwamba hii deal haitaendelea teba kwa sababu Westerns wameshindwa kutekeleza sehemu ya makubaliano yao.
Swala la pili:
Ni kuhusu hizo Grains za Ukraine zinaenda kuuzwa wapi. Walikubaliana kwamba zaidi ya 60% ziende kwenye developing/underdeveloped countries.
Lakini imekuwa kinyume kabisa. Westerns ndio wamechukua hizo Grains kwa kiwango kikubwa. Kwa hiyo madhumuni ya kuingia hayo makubaliano inakuwa hayana maana.
Tukumbuke kwamba hii deal hipo under UN Security Council.
Mkuu kama vipi itumike tu ili na wao (wazungu) waonje joto ya jiwe na wayaone madhara ya kuwa na mibomu hiyo mikubwamikubwa,kama alivyohenyeshwa Nipon na lile bomu lá Atomic au madhara yatatufikia mpaka sisi wagema ulimbo wa Afrika ?Sidhanii kama itatumika
Ila acha tuone hem kitachoendelea hapo ingawaje kuna watu walitabiri kabla wakat huu mzozo unaanza kwamba zitatumika NYUK
Hem acha tuone khatma!!!
Naunga mkono hojaMkuu kama vipi itumike tu ili na wao (wazungu) waonje joto ya jiwe na wayaone madhara ya kuwa na mibomu hiyo mikubwamikubwa,kama alivyohenyeshwa Nipon na lile bomu lá Atomic au madhara yatatufikia mpaka sisi wagema ulimbo wa Afrika ?
Nalog off Z
Uke usemi was adui muomber njaa unaufahamu?Kwa nini wanajeshi wa Russia wanapiga mashamba ya Alizeti mabomu? Na chekechea? Mpuuzi sana Putin. View attachment 2397237