kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
Mzee wa Moscowwwwwww! Vijana acheni kukariri, hao West wana nguvu kwa nchi kama Tz na zingine za kipumbavu...Nashangaa watu wapo Kwa Mtogole wanadanganyana
Naomba na kauli hii msije kuikana vita ikipenya hata kwenye baridi hili , mlisema siku 3 kukamata Kiev Au Zelensky na wajeshi kujisalimisha Lakin ikapita mkaanza ooo hayo yalitamkwa na nani, Leo hii mmeanza ooo baridi hawakatizi. Wakikatiza watahamisha magoli tena haha
Britanicca,