Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

There was an incident in the Limansk direction. After several unsuccessful attempts to go on the attack, the mercenaries from among the Poles refused to tempt fate and go forward.
Representatives of the national battalions came to them for analysis - the conversation did not work out and the Poles disposed of Bandera lovers.
Now there is planned a massacre between foreigners and Nazis.
 
FIXED
Someone tag a pro-NATO
Ha ha nimependa ulivyo bandua hiyo minofu "between the lines" [emoji1][emoji1]...
20221026_123403.jpg

20221026_122704.jpg

20221026_124042.jpg
 
Protesters in Haiti wakiwa na bendera za Urusi. Hawa waandamanaji wanapinga "Intervention" ya US na jopo lake nchini mwao.

View attachment 2398199View attachment 2398200

Earlier, US na kundi wame'propose intervention in Hait kuendeleza "democracy" yao pendwa ya mtutu na wizi [emoji1787].

Same old "cheap shit" trick... Weka kibaraka wako in power then toa order kwa kibaraka kuomba hiki na kile.

Kwa wale wote wanao sota na huu mfumo uliopo ndio wenye mapenzi makubwa kwa Taifa la Urusi.
View attachment 2398203

We stand with Russia... [emoji635]
We stand with Haiti... [emoji1122]
We stand with all Oppressed Nations and Races whole over the world.
TheTruthIsWithUs [emoji2772]
[emoji1130][emoji298]️President of Iran Ibrahim Raisi said that the construction of a multipolar world cannot be stopped.

According to him, there are already many centers of power outside the Western world.

Tehran takes the development of relations with Moscow seriously and considers the Shanghai Cooperation Organization one of its centers of power.
 
Sijui uelewa wako wa masuala ya vita ni wa kiwango gani - sina uhakika hata kama ulisha wahi hata kupitia jeshini, sikusemi vibaya lakini reading between the lines hilo linaonekana wazi wazi.

Hivi inaingia akilini kwamba jiji lenye wakazi zaidi ya 4mln (million nne) linaweza kutekwa na kukaliwa na wanajeshi 1,200 wa Urusi? Come on. Wajuzi wa mambo ya kijeshi Dunia nzima including US military top brass wanasema wazi wazi, kwamba kikosi cha jeshi Urusi kilicho pelekwa huko Kyiv/Kiev lengo lake lilikuwa ni kuchota akili jeshi la Zelensky ili lihamishe idadi kubwa ya wanajeshi wake kutoka kusini mashariki mwa Ukraine ie majimbo ya Donbass na Luhansk kwa kuyaleta Kiev kuimarisha ulizi wa jiji la Kiev, hence wakajikuta wanadhoofisha ulinzi wa kusini mashariki mwa Ukraine bila ya kushituka kwamba huo ulikuwa ni mtego wa kuwapunguza makali baada ya kuwekewa DECOY jijini Kiev, jeshi la Zelensky na washauri wake wakaingia kichwa kichwa kwenyev mtego - naona makosa hayo wanataka kuyarudia tena kwenye jimbo la KHERSON na jiji lake.

Lengo kuu la Putin lilikuwa ni kuwakomboa Waukraine wenye asili ya Urusi wanao ishi kusini mashariki mwa Ukraine na ndio majimbo yanayo taka kujiunga na Urusi baada ya kuchoshwa mauuji, mateso na unyanyasaji na ubaguzi wa Utawala wa Zelensky kwenye majimbo hayo -raia zaidi ya 14,000 wamekwisha poteza maisha kutokana na kushambuliwa na majeshi katiri ya Zelensky, ndio maana wakazi wa kusini wamehamua wapige kura ya kutaka majimbo yao yawe sehemu ya Taifa la Urusi ili kujihakikishia usalama na amani ya kudumu - who can blame Putin kwa kutaka kuwalinda Warusi wenzake wanao teswa na kubaguliwa na regime ya Kiev - NANI??

Msiwe mna mlahumu lahumu Putin/Russia bila ya kufanya bila ya kutafuta historia ya kweli inayo eleza kiundani kiini cha mgogoro huu wa Ukraine, je, ni nani anachochea/instigate and funding kuendelea kutokuwepo maelewano na amani kati ya Ukraine na Urusi, ni third party gani inanufahika kutokana na mgogoro huo wa ndugu kugombana/kutokuelewana maana Ukraine na Urusi ni kama ndugu tu.
naona makosa hayo wanataka kuyarudia tena kwenye jimbo la KHERSON na jiji lake.

Leo hapa muda huu DW wanasema kwakuwanukuu viongozi wa UKRAINE kwamba huenda majeshi ya UKRAINE yakawa yanazungukwa na majeshi ya RUSSIA huko KHERSON

MAURIOPOL mpya ileeee.....
 
Putin did not congratulate Sunak on his election as Prime Minister of Britain, since this is an unfriendly country for Russia - Peskov.

On October 26, talks were held via video conference between the Minister of Defense of the Russian Federation, General of the Army Sergei Shoigu, and the Minister of Defense of the People's Republic of China, Colonel General Wei Fenghe.
The situation in Ukraine was discussed. Army General Sergei Shoigu conveyed to his Chinese counterpart concern about possible provocations by Ukraine with the use of a "dirty bomb".
 
naona makosa hayo wanataka kuyarudia tena kwenye jimbo la KHERSON na jiji lake.

Leo hapa muda huu DW wanasema kwakuwanukuu viongozi wa UKRAINE kwamba huenda majeshi ya UKRAINE yakawa yanazungukwa na majeshi ya RUSSIA huko KHERSON

MAURIOPOL mpya ileeee.....
Tubonyeze ngapi tafadhari kupata hiki kichekesho [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji28][emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wamlaumu aliwatuma kulipua daraja
Naona wao hawana muda wa kumlaumu.., maana ndo kwanza wanazidi kutembeza kichapo kikali kwa super pawer wa mchongo..., ukraine anazidi kusonga mbele maeneo yote


Zile mbwembe zote za referendum zimerudi mfukoni [emoji2][emoji1787][emoji16][emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kadriyov achukizwa na upole wa Putin,asema kama Ukraine ikiishambulia Chechenya,atafuta mji mzima ambao ulirusha Hilo kombora.

🇷🇺Today Kadyrov expressed displeasure on Kremlin's soft approach:
♦Kiev regime does not hesitate to kill CHILDREN&OLD PEOPLE, and destroy civilian infrastructure,and Russia’s answer to this is weak, if their shells are striking our regions then their cities should be WIPED OUT🔹 https://t.co/OihQAFaSt9
 
Protesters in Haiti wakiwa na bendera za Urusi. Hawa waandamanaji wanapinga "Intervention" ya US na jopo lake nchini mwao.

View attachment 2398199View attachment 2398200

Earlier, US na kundi wame'propose intervention in Hait kuendeleza "democracy" yao pendwa ya mtutu na wizi [emoji1787].

Same old "cheap shit" trick... Weka kibaraka wako in power then toa order kwa kibaraka kuomba hiki na kile.

Kwa wale wote wanao sota na huu mfumo uliopo ndio wenye mapenzi makubwa kwa Taifa la Urusi.
View attachment 2398203

We stand with Russia... [emoji635]
We stand with Haiti... [emoji1122]
We stand with all Oppressed Nations and Races whole over the world.
TheTruthIsWithUs [emoji2772]
Ngojea wale wapinga uvamizi tuwasikilize watasemaje wakina Yoda na wale wasioegemea upande wakina Tsh

Nawengineo woooote.
 
Netherlands has exempted 91 companies from anti-Russian sanctions.

Govt refused to make public the names of companies and sectors that were granted exemptions, saying this was confidential information.
PUT IN aliishasema haiwezekani kuitenga RUSSIA

DUNIA inaihitaji zaidi RUSSIA kuliko RUSSIA invyoihitajia DUNIA
 
Back
Top Bottom