Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa watu wanachekesha sana

NATO urges Russia to extend "grain deal"-Jens Stoltenberg
Kwenye hii Ukraine Grain Deal bado Kuna changamoto.

Jana nilimsikiliza Russian Deputy Ambassador to UN Security Council Dmitriy Polyanskiy akiwa anafanya media takeout after UNSC meeting, alisema ishu mbili:

Swala la kwanza:

Kumbe walikubaliana kwamba, kuna baadhi ya Russians Agricultural products (like fertilizers, grains etc), hazitakuwepo kwenye sanctions kama sehemu ya hiyo "Ukraine Grain Deal".

Sasa kilichotokea ni kwamba, Sanctions zimeendelea kuwepo kwenye hizo Russian Agriculture goods.

Ndio maana Jana Ambassador Dmitriy Polyanskiy, akasema kwamba hii deal haitaendelea teba kwa sababu Westerns wameshindwa kutekeleza sehemu ya makubaliano yao.

Swala la pili:

Ni kuhusu hizo Grains za Ukraine zinaenda kuuzwa wapi. Walikubaliana kwamba zaidi ya 60% ziende kwenye developing/underdeveloped countries.

Lakini imekuwa kinyume kabisa. Westerns ndio wamechukua hizo Grains kwa kiwango kikubwa. Kwa hiyo madhumuni ya kuingia hayo makubaliano inakuwa hayana maana.

Tukumbuke kwamba hii deal hipo under UN Security Council.
 
Dementia Biden hapo angekuwa ameshasinzia kitambo Sana...
 
USA huwa anapenda kunusa nusa mambo ya ndani ya nchi nyingine na siamini kuwa wakati wote huwa anapigania democracy.
nahuu ndio ukweli MKUU

Hakuna sehem yeyote ambayo ipo na demokrasia kwahizo nchi alizozivamia kwamadai yakwamba anaenda kusambaza hio demo

Kikubwa kawaachia mabalaa mauaji na mauchafu mengine

US na vibaraka wake washenz sanaaa
 
naona wewe ni mgeni na wazungu wa Magharibi, mrusi kafika hapo alipo kwa ku trade na hao hao jamaa wa magharibi - eti Putin awatenganisha labda mturuki ambaye kiasili si mzungu, ana tabia za kichina china za kutoaminika
Naona wewe nimgeni wawazungu na wamagharibi

Western wamefika hapo kwakufanya trade na huyo huyo mrusi

Kama wanaweza kuishi bila RUSSIA simple tu wapige marufuku ununuzi wa gas makaa ya mawe na ngano inayotokea huko RUSSIA tungeamini kwamba wanaweza kuishi bila ya RUSSIA

Taarifa zinazema makampuni 91 yameondolewa kwenye vikwazo huko holland kama sijakosea hio nchi hizo kampuni kutokea RUSSIA kwanini wasiache zikafa

Taarifa zinasema BULGARIA wanaagiza kuni kutokea RUSSIA

WEST kama munaamini wanaweza ishi bila RUSSIA simple tu wakate biashara nae ili RUSSIA ifutike kama ilivyofutika USSR
 
nahuu ndio ukweli MKUU

Hakuna sehem yeyote ambayo ipo na demokrasia kwahizo nchi alizozivamia kwamadai yakwamba anaenda kusambaza hio demo

Kikubwa kawaachia mabalaa mauaji na mauchafu mengine

US na vibaraka wake washenz sanaaa
sasa mbona kila kukicha unatumia resources za washenzi ? acha tuone kama una jeuri - nchi yako maskini haina lolote bila misaada ya watu hawa - acha kutumia maneno ya shombo kijana.

Unajua bajeti ya nchi yako leo inategema hela za hao what you call them washenzi kwa 40% afu unakuja kubwabwaja hapa.
 
@FUSO pitia hapa uone umuhimu wa RUSSIA kwa NATO na EU hapo hatujaitaja sehem nyengine ya DUNIA
 
twende taratibu, mrusi si wa kukopa drones kwa Iran, haiwezekani kabisa... Yaani ni sawa na US kukopa silaha kwa Morocco ama South Africa... aibu.
 
Kutokutumia ama kutumia hakuondoi USHENZI kwaho WASHENZI

tena narudia WASHENZI misaada yao inahasara kwetu kuliko faida

Na hakuna alowashikia silaha ili watoe wakipenda wakiamua wakitaka waitoe kama wanaweza

Kupitia hio misaada ndio wamewafanya msijue kama wao WASHENZ wala msijue USHENZI wao nawala msiijue faida yaninyi kujitegemea

Western na shost zao US CANADA nk hawa ni WASHENZI
 
twende taratibu, mrusi si wa kukopa drones kwa Iran, haiwezekani kabisa... Yaani ni sawa na US kukopa silaha kwa Morocco ama South Africa... aibu.
Kama wao waliamua kukopa hawaoni aibu wewe ukiona aibu itakusaidia nn MKUU

Kama wameamua kukitia aibu na wanaona inafaa kwao basi acha wajitie tu sio mbaya
 
Nuclear kutumika muda wowote kuanzia leo

Putin kasema, kaitasrifu China na dunia kuwa Ukraine ana mpango wa kutumia silaha za maangamizi kwenye ardhi ya Urusi

Tujiandae kwa mnyukano siku yoyote kuanzia leo
Sidhanii kama itatumika
Ila acha tuone hem kitachoendelea hapo ingawaje kuna watu walitabiri kabla wakat huu mzozo unaanza kwamba zitatumika NYUK

Hem acha tuone khatma!!!
 
Hawa majamaa wana agenda zao wanazozijua wao ila wanatumia mgongo wa nchi masikini ili kujinufaisha wao
Nalog off Z
 
Sidhanii kama itatumika
Ila acha tuone hem kitachoendelea hapo ingawaje kuna watu walitabiri kabla wakat huu mzozo unaanza kwamba zitatumika NYUK

Hem acha tuone khatma!!!
Mkuu kama vipi itumike tu ili na wao (wazungu) waonje joto ya jiwe na wayaone madhara ya kuwa na mibomu hiyo mikubwamikubwa,kama alivyohenyeshwa Nipon na lile bomu lá Atomic au madhara yatatufikia mpaka sisi wagema ulimbo wa Afrika ?
Nalog off Z
 
Mkuu kama vipi itumike tu ili na wao (wazungu) waonje joto ya jiwe na wayaone madhara ya kuwa na mibomu hiyo mikubwamikubwa,kama alivyohenyeshwa Nipon na lile bomu lá Atomic au madhara yatatufikia mpaka sisi wagema ulimbo wa Afrika ?
Nalog off Z
Naunga mkono hoja

Ikibidi litumike tu hakuna namna kwanza wao hawatakua wakwanza wala hawatakua wamwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…