Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Endelea Kuota[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Putin juzijuzi hapa alitaka Nord stream 2 ianze kupump gas kwenda Germany, Ujerumani wakamtalia
Russian President Vladimir Putin on Wednesday offered to resume gas supplies to Europe through the intact part of the Nord Stream 2 gas pipeline.
“The ball is in the EU’s court. If they want to, then the taps can be turned on and that’s it,” he said in a speech at an energy forum in Moscow.
Germany, however, said it would not take Russian gas via the Nord Stream 2 pipeline that has become a flashpoint in the Ukraine crisis.
Asked if Berlin would rule out the use of Nord Stream 2, German government spokeswoman Christiane Hoffmann said, “Yes.”
https://www.google.com/amp/s/indian...-nord-stream-2-germany-declines-8205032/lite/
Anatafuta kisingizio baada ya kuona soon anaikosa Kherson. Maana Kwasasa wanapokea kichapo toka Pande zote,Leo Ukraine wameadvance huko Bakhmut wanakopigana na wale walevi na wala unga Wagner.Nuclear kutumika muda wowote kuanzia leo
Putin kasema, kaitasrifu China na dunia kuwa Ukraine ana mpango wa kutumia silaha za maangamizi kwenye ardhi ya Urusi
Tujiandae kwa mnyukano siku yoyote kuanzia leo
Hakuna lafiki yeyote wa Putin anayeunga mkono matendo yake., wote wako Naye kinafiki tuIndia nao wanamkataa putin
Prospect of nuclear weapons ‘goes against basic tenets of humanity’: India
India’s Defence Minister Rajnath Singh has told his Russian counterpart Sergei Shoigu that nuclear weapons should not be used by any side in the Ukraine war, according to an Indian government statement.
“The prospect of the usage of nuclear or radiological weapons goes against the basic tenets of humanity,” Singh told Shoigu while reiterating the need for a resolution to the conflict through dialogue and diplomacy.
Shoigu spoke to China and India’s defence ministers over allegations that Ukraine is creating “dirty bombs” to be used in the conflict.
Kwa hiyo unafikiri Ujerumani ni serious anacho kisema au hiyo ni danganya toto ie funika kombe mwana haramu apite, hiyo ni janja ya Ujerumani anataka kumvhota akili Biden ili hasikarike but in a long run Ujerumani haitakuwa na jinsi, circumstances zitafamfanya ali-revert back to cheap fuel from Russia bila ya kujali Wamerika watasema nini - Wajerumani hawawezi kukubali uchumi wao udolole na viwanda kufungwa, raia wakose ajila just to please them Gringos-Wajerumani wakiona vipi si ajabu wataanza kuandamana mpaka Chancellor wao kulazimika kuondoka madarakani unceremonously.
Kitu kingine - Warusi hawana shida na wala hawalazimishi mataifa kununua gesi yao na mafuta, wanawauzia wanao taka huko mashariki ya kati na mashariki ya mbali ikiwemo Japan - hawana shida, juzi juzi hapa Urusi ilitiliana sahihi na Uturiki kwa lengo la kuitumia Uturuki kama HUB ya sambaza Gesi kwa mataifa ya Ulaya, hii inadhilisha kwamba kumbe Warusi walikuwa na plan "B" ya kusambaza Gesi barani Ulaya kwa wateja ambao wako willing na watakuja kuwa wengi tu kadri siku zitakavyo enda buzz word hapa ni upatikanaji wa gesi ambayo ni cheap/affordable, basi, and not an inept political rhetoric za Uncle SAM za kuacha wenzake kwenye mataa.
Hahahaha unafurahisha Sana ...Yani Ujerumani wafanye maamuzi ili kumchota akili Biden asikasirike[emoji23][emoji23] Yani nchi kubwa kama Ujerumani ifanye maamuzi eti kumridhisha Biden,mbona walijenga Nord stream 2 Licha ya Marekani kupinga Sana hiyo project mpk ikahatarisha kabisa uhusiano wa Marekani na Ujerumani. Kwani wajerumani wameanza kuandamana Leo?! Au unadhani kule ni Russia kwamba ukiandamana kupinga matakwa ya Putin unabutuliwa risasi za makalio... Wajerumani wanaweza kuandamana na Chancellor akang'oka lakini Katu usije ukadhani kwa wakati huu Ujerumani itapata kiongozi Pro-Russia,zitaondoka Sura lakini itikadi itabaki ileile ni kama vile kilichotokea Uingereza kila anayekuja anakua afadhali ya mwenzake kwenye Sera inayoihusu Russia.
Hivi Kwa akili yako unadhani Europe wataiamini tena Russia kama Mshirika wao Mkuu kwenye suala la nishati?! Hilo unatakiwa usahau maana kwa sasa Europe wana plans nyingi za kufanya diversifications kwenye energy,mpaka sasa share ya Urusi biashara ya Gas kule Ulaya imeshuka sana na usitegemee itakuja kurudi kama ilivyokua kabla ya Vita hii kuanza hiyo Gas Hub yake huko Turkey atampa Erdogan atengenezeee Bayraktar drones.
german kabaki mbwa koko
German sio mbwa koko.german kabaki mbwa koko