Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Tuzungumze nini sasa anayechapika ni yule anayekimbia au anayekimbiza ?Wanajeshi wa Ukraine wanachapika hapo Kherson hatari asee, sioni Pro-NATO wakizungumzia hili
Tulia dawa ikuingie weweTuzungumze nini sasa anayechapika ni yule anayekimbia au anayekimbiza ?
Hakuna cha vita ya tatu Russia atachapika mwenyewe hakuna kenge atakaeingilia ni swala la mda tuuKichwa cha Zelensky matope kabisa, yeye na Biden ni watu hatari sana hapa Duniani kwa hivi sasa,Dunia hajawahi kupitia kwenye kipindi hatari kama kipindi cha utawala wa jamaa hawa wawili: Zelensky na Biden save utawala wa Hitler - safari hii itakuwa even worse kutokana na uwezekano mkubwa wa matumizi ya silaha za nuclear by miscalculation au deliberately.
As I said,narudia kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena, kwamba Zelensky na Biden ndio watakuwa chanzo cha WW3 and they don't seem to care at all, unaweza kufikiri wao na familia zao na marafiki zao wa karibu na close relative watakwenda kuishi kwenye sayari ya MARS huku wakiiacha Dunia iteketezwe na silaha za nuclear.
Kwa bahati mbaya jamaa hawa wawil akili na busara kama za marehemu maRais Kennedy na wa Urusi Krustchev - akili hizo hawana kabisa, wanacho jali wao ni "how to get even with Putin" basi - hawataki kushindwa katika vita hii inayo endelea huko Ukraine, wako radhi kufanya lolote let what comes may, ni wazi wako determined kulipua "dirty bomb" ili wapate kisingizio cha kuitisha kikao cha dhalula umoja wa mataifa (UNO) kulazimisha Dunia imu- condemn sana sana Putin wapendekeze atengwe na Dunia, walazimishe Urusi hisiwe tena member wa UN na kuiwekea even more punitive sanction chungu mzima - huu ni mpango anaosukwa na Uncle SAM baada ya kuona vita ya Ukraine haviendi kama walivyo tarajia, hii inawauma sana hasa baada ya kuona kwamba sanctions dhidi ya Rusia zimebuma - ndio maana wanakuja na plan "B" ya kuimaliza Russia kwa mbinu za kishetani, tusicho juwa ni kwamba we dont know Russia ita-act/react vipi ikiwa Zelensky na Biden watalipua a crude nuclear bomb sehemu ambapo wapo wanajeshi wa Urusi huko Ukraine.
Nyie ndio mtulie sindano iingieTulia dawa ikuingie wewe
Washashindwa sasa wanaanza kubweka bweka [emoji16][emoji23][emoji16]White House press secretary Karine Jean-Pierre threw in a new temnik: the US is concerned that Russia is now helping Tehran to cope with the protests that have gripped Iran after the death of Mahsa Ameni,
"We are concerned that Moscow may (sic!) advise Tehran on best practices [of dealing with protests]"
Nyie Pro-NATO kachukueni machuma yenu mkapime kwa wanunua machuma chakavu. Mambo ya Kherson hayo 🤣🤣🤣Nyie ndio mtulie sindano iingie
Nafuu zinazolipuliwa zingine zinakamatwa zikiwa nzima kabisa
Jamaa anashangaza kweli..huko kheson urusi ana eneo dogo sana kuweza ku-retreat,akiwashiwa moto wa nguvu itabidi ajisalimishe tu.., alafu mtu bila aibu analeta ngonjeraTuzungumze nini sasa anayechapika ni yule anayekimbia au anayekimbiza ?
ww chanzo chako ni kipi mzee baba maana naona ww ndio walewaleKama chanzo chako cha habari ni BBC na unakiri kuwa inajitahid kutoa taarifa vema, bhasi juw ya kwamba unasafari ndefu saana kuielewa hii vita.
| Specifications | |
|---|---|
| Production history | |
| Service history | |
| Type | Intercontinental Ballistic Missile |
| Place of origin | Russia |
| In service | July 2010–present[1] |
| Used by | Russian Strategic Missile Troops |
| Designer | Moscow Institute of Thermal Technology |
| Manufacturer | Votkinsk Machine Building Plant |
| Produced | 2010–present |
| Mass | 49,600 kg[2] |
| Length | 23 m |
| Diameter | 2 m |
| Warhead | At least 3-6 MIRVs with 300—500 kiloton warheads,or 6-9 150 kiloton warheads[3][4] |
| Engine | solid (third or fourth stage can be liquid) |
| Operational range | 11,000 km (6,800 mi)-12,000 km (7,500 mi)[5] |
| Maximum speed | over Mach 20 (24,500 km/h; 15,200 mph; 6,810 m/s) |
| Guidance system | Inertial with Glonass[6] |
| Accuracy | 150 m |
| Launch platform | Silo, road-mobile TEL MZKT-79221[6] |
MKUU hata usiende RT au RIA NOVOSTI nk nkww chanzo chako ni kipi mzee baba maana naona ww ndio walewale
Washashindwa sasa wanaanza kubweka bweka [emoji16][emoji23][emoji16]
Akuna maajabu hapo US hanaga huo ujinga yeye kasambaza kambi karibu na adui hatumii nguvu nyingi kombora la km300 linatosha.Mambo ni FIRE... ijue "A Yars intercontinental ballistic missile" anayotamba nayo Putin. ina uwezo wa kupiga range 11,000km hadi 12,000 km. Yaani Mwanza - Dar iende irudi ni mara 10 hivi.
View attachment 2399024
A Yars intercontinental ballistic missile is test-fired as part of Russia's nuclear drills from a launch site in Plesetsk, northwestern Russia [
Service history Production history Specifications Type Intercontinental Ballistic Missile Place of origin Russia In service July 2010–present[1] Used by Russian Strategic Missile Troops Designer Moscow Institute of Thermal Technology Manufacturer Votkinsk Machine Building Plant Produced 2010–present Mass 49,600 kg[2] Length 23 m Diameter 2 m Warhead At least 3-6 MIRVs with 300—500 kiloton warheads,or 6-9 150 kiloton warheads[3][4] Engine solid (third or fourth stage can be liquid) Operational
range11,000 km (6,800 mi)-12,000 km (7,500 mi)[5] Maximum speed over Mach 20 (24,500 km/h; 15,200 mph; 6,810 m/s) Guidance
systemInertial with Glonass[6] Accuracy 150 m Launch
platformSilo, road-mobile TEL MZKT-79221[6]
Jamaa anashangaza kweli..huko kheson urusi ana eneo dogo sana kuweza ku-retreat,akiwashiwa moto wa nguvu itabidi ajisalimishe tu.., alafu mtu bila aibu analeta ngonjera
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu unaongelea air force gan ya Russia ambayo imeshindwa kumiliki anga la ukraine , watu wengine mahaba yanawasumbua sana ,husomi habari , mapro russia wenzako hawajakuambia hilo?unachekesha sanaMark you, Russia possses one of the best and sophisticated Air force in World,ground breaking artillary,lightening fast missiles with devasteting effects, thermo baric MRL and what have you!!
Bottom line is: msiwe mnazungumza mambo kimzaa mzaa au kufikiria Urusi ni some Banana Republics, kumbukeni kwamba Putin haja amuha tu kukunjua makucha yake in full - siku akisema enough is enough basi atachukua hatua zaidi naku Annex Ukraine nzima nzima na kuirudisha kuwa himaya ya Urusi kama zamani atalazimika kuchukua hatua hiyo ili kuondoa mzizi wa fitina i.e solving USA instigated Ukraine endemic problems once and for all -who can blame PUTIN?? Na wala sioni kama NATO/US watakuwa na ubavu wa kuifanya lolote Urusi/Putin zaidi ya kuiitisha vikao vya dhalula katika umoja wa mataifa kama kawaida ya USA, wataendeleza vile vile makongamano yao lukuki na maazimio ya kumulahumu Putin 24X7, basi.