kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hawa viongozi wa Russia wasiishie tu kushika bunduki na kupiga nazo selfie.., waende front line kabisa [emoji16][emoji16]Medvedev on His TG Channels View attachment 2399135
November 8 - elections to the US Congress
How can Democrats/Republicans today pay for their victory or explain their loss on Capitol Hill?
For the current Biden team, as well as for their Republican opponents, the currency is, in fact, one - the lives of the citizens of the mythical country of Ukraine, which they do not need.
They are a bargaining chip in the big American game. They are easily placed on the altar of future triumph in political battles across the ocean.
And here all means are good. The lives of Ukrainians pay for the endless supply of American weapons, and for the "labor" of instructors and mercenaries. They are ready to pay off in the event of the use of a "dirty bomb".
Our people are also suffering. But the only difference is that our people will be avenged. All. And on the battlefield, and in other directions, far from the battlefield. And certainly not within the framework of failed lawsuits. In other ways.
But no one will remember the Ukrainians.
After all, the main thing for the American establishment is something else - who will control the House of Representatives and the Senate. Therefore, the war to the "victorious end". Or rather, just to the end. End of Ukraine.
And the winner, as usual:
The winner takes it all…
Huwa una lugha tamu sana Tena yenye staha.., nahis uliwahi kupitia mafunzo ya seminary.., sijui ilitokeaje ukawa lafiki wa fashisti aliyevamia taifa Jirani bila kurushiwa hata jiwe kwenye mipaka yakeWakati mwingine mnashangaza sana sana - yaani hamna hata habari kwamba Warusi wana stealth submarine kwenye east and west coasts za Merikani including Gulf of Mexico laden with formidable Bulava SMLM fanya utafiti wa capabilities za missiles hizo halafu urudi hapa utupatie feed back - bottom line is: US ku-install short range nuclear missiles near Russian borders is immaterial kwa kuwa USA land mass can be equally wiped out in femto seconds kutoka kwenye submarine zinazo hibernate kando kando ya pwani za USA, hapo hatujazungumza kuhusu stealth submarine drones laden with 200Megatonne thermonuclear payload each capable of generating 500+ meters Tsunami tidal wave yenye uwezo wa ku-destroy infrastructure za majiji yote ya USA yaliyopo pwani pwani ya USA mashariki na magharibi na kuzamisha raia wote wanao ishi kwenye miji husika pwani yote inakuwa contaminated/polluted na nuclear waste for thousand years kutokana na half life ya material zilizo tumika kuunda bom lenyewe, hapa hatuja gusia kuhusu thermonuclear missiles kushambulia St.Andrea's fault huko inayo run kupitia jimbo la California - kijiolojia Warusi wakishambulia St.Andreas fault kwa kutumia nuclear missiles sehemu kubwa ya aridhi ya pwani ya magharibi itazama na watu wengi kupoteza maisha, mwisho ina husu Urusi ikihamua kushambulia active volcanoes za Yellow stone National Park za huko Merikani, hivi mnajua kunaweza kutokea nini iwapo Urusi itahamua kushambulia Yellow stone Valcanoes kwa kutumia thermonuclear missiles zikatumbukizwa kwenye shingo za volcanoes - utakuwa balaa kwa Dunia nzima sio kwa Merikani tu - ndio maana narudia rudia mara nyingi kuwakumbusheni kwamba Merikani na Waingereza mazaba zabina waiichezee Urusi hata kidogo, wana contigency plans chungu nzima za kuzikomesha NATO specifically the USA wakichokozwa au kushambuliwa.
Sijui kwa nini baadhi ya watu hawachukulii onyo la mwana sayansi/Engineer Elon Musk seriously, kumbuka ni Mmerikani na mwana sayansi sio mnafiki wala hajipendekezi kwa Marais au Majenerali wa majeshi, anasema kweli tupu kwa lengo la kutadhalisha Dunia kuhusu hatari ya uwezekano wa silaha za Nuclear kutumika vitani kwa mara nyingine tena.
Elon Musk alisema bila ya kumungunya maneno kuhusu uwezo mkubwa wa jeshi/Taifa la Urusi linapo kuja suala la matumizi ya silaha za thermonuclear alisema Urusi ina uwezo wa kuichakaza Merikani na Ulaya kwa mpigo - akaonya kwa mara nyingine tena kwama wasiichezee Urusi, sasa swali ni: kwa nini mwana sayansi Elon Musk aone kuna umuhimu wa pekee kuwakumbusha wana siasa/Rais na wakuu wa majeshi ya NATO/USA kuhusu hatari za silaha za nuclear na kwamba wasichezee Warusi - mnafikiri Musk kaona nini?? Nilifikiri utawala wa Merikani wengesema Elon Musk ni msaliti lakini walikaa kimya vichaa wengine wakasema Elon Musk amezungumza as an individual!! Uzuri Musk yuko very smart upstairs alipo hisi labda comment zake kuhusu jeshi la Urusi zita wafanya viongozi wa jeshi la Merikani kujisikia vibaya ndio maana kwanya comments zake aliongezea neno "vice versa" ili jeshi la Merikani lisijisikie vibaya kwamba haliwezi ku-retaliet likishambuliwa na jeshi la Urusi, a very clever ploy by a brainy Musk.
Hovyo submirine zina maajabu gan ,sasa hivi yapo makombora yenye uwezo wa kusambaratisha manowari ikawa chuma chakavu ,ziko drones za underwater huwez ingia area ya marekan uache kuwa detectable.Wakati mwingine mnashangaza sana sana - yaani hamna hata habari kwamba Warusi wana stealth submarine kwenye east and west coasts za Merikani including Gulf of Mexico laden with formidable Bulava SMLM fanya utafiti wa capabilities za missiles hizo halafu urudi hapa utupatie feed back - bottom line is: US ku-install short range nuclear missiles near Russian borders is immaterial kwa kuwa USA land mass can be equally wiped out in femto seconds kutoka kwenye submarine zinazo hibernate kando kando ya pwani za USA, hapo hatujazungumza kuhusu stealth submarine drones laden with 200Megatonne thermonuclear payload each capable of generating 500+ meters Tsunami tidal wave yenye uwezo wa ku-destroy infrastructure za majiji yote ya USA yaliyopo pwani pwani ya USA mashariki na magharibi na kuzamisha raia wote wanao ishi kwenye miji husika pwani yote inakuwa contaminated/polluted na nuclear waste for thousand years kutokana na half life ya material zilizo tumika kuunda bom lenyewe, hapa hatuja gusia kuhusu thermonuclear missiles kushambulia St.Andrea's fault huko inayo run kupitia jimbo la California - kijiolojia Warusi wakishambulia St.Andreas fault kwa kutumia nuclear missiles sehemu kubwa ya aridhi ya pwani ya magharibi itazama na watu wengi kupoteza maisha, mwisho ina husu Urusi ikihamua kushambulia active volcanoes za Yellow stone National Park za huko Merikani, hivi mnajua kunaweza kutokea nini iwapo Urusi itahamua kushambulia Yellow stone Valcanoes kwa kutumia thermonuclear missiles zikatumbukizwa kwenye shingo za volcanoes - utakuwa balaa kwa Dunia nzima sio kwa Merikani tu - ndio maana narudia rudia mara nyingi kuwakumbusheni kwamba Merikani na Waingereza mazaba zabina waiichezee Urusi hata kidogo, wana contigency plans chungu nzima za kuzikomesha NATO specifically the USA wakichokozwa au kushambuliwa.
Sijui kwa nini baadhi ya watu hawachukulii onyo la mwana sayansi/Engineer Elon Musk seriously, kumbuka ni Mmerikani na mwana sayansi sio mnafiki wala hajipendekezi kwa Marais au Majenerali wa majeshi, anasema kweli tupu kwa lengo la kutadhalisha Dunia kuhusu hatari ya uwezekano wa silaha za Nuclear kutumika vitani kwa mara nyingine tena.
Elon Musk alisema bila ya kumungunya maneno kuhusu uwezo mkubwa wa jeshi/Taifa la Urusi linapo kuja suala la matumizi ya silaha za thermonuclear alisema Urusi ina uwezo wa kuichakaza Merikani na Ulaya kwa mpigo - akaonya kwa mara nyingine tena kwama wasiichezee Urusi, sasa swali ni: kwa nini mwana sayansi Elon Musk aone kuna umuhimu wa pekee kuwakumbusha wana siasa/Rais na wakuu wa majeshi ya NATO/USA kuhusu hatari za silaha za nuclear na kwamba wasichezee Warusi - mnafikiri Musk kaona nini?? Nilifikiri utawala wa Merikani wengesema Elon Musk ni msaliti lakini walikaa kimya vichaa wengine wakasema Elon Musk amezungumza as an individual!! Uzuri Musk yuko very smart upstairs alipo hisi labda comment zake kuhusu jeshi la Urusi zita wafanya viongozi wa jeshi la Merikani kujisikia vibaya ndio maana kwanya comments zake aliongezea neno "vice versa" ili jeshi la Merikani lisijisikie vibaya kwamba haliwezi ku-retaliet likishambuliwa na jeshi la Urusi, a very clever ploy by a brainy Musk.
Vita ni vita ndugu. Katika kupigana mbinu zote hutumika ikiwemo Kung'ata, kukaba, ngumi nk...Putin ana vita vya ki longi time sana, eti unaharibu miundo mbinu ili watu wahangaike na baridi, hapo ndipo Dunia inamshangaa huyu dingi kwa kukosa busara.
Kuharibu miundombinu ya Umeme, Maji na Piple za gesi yeye anaita ni mbinu za kivita.. aisee kweli nimeamini mrusi kachoka. Kuna muda alianza kuzuia usambazaji wa vyakula toka Ukraine ili Dunia imjue yeye ni nani ? mbinu za ki longi sana hizo dingi - badilika wewe si Taifa kubwa haya pambana na wanaume wenzako si uliyataka mwenyewe.
Hawa viongozi wa Russia wasiishie tu kushika bunduki na kupiga nazo selfie.., waende front line kabisa [emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Most people do not listen or read with the intent to understand; They listen or reading to the article with the intent to reply pekee... So ukiona hilo wala lisikupe taabu kupoteza mda wako kumpa attention!Soma kwa umakini sana anacho kisema Medvedev, sio masaa yote mnaleta mambo ya utani - contribute kitu ambacho members wenzako watajifunza.
Kitendo Cha asikari wa taifa linalojiita super pawer kudhalilishwa namna hii ni aibu kubwa sana sana,Hovyo submirine zina maajabu gan ,sasa hivi yapo makombora yenye uwezo wa kusambaratisha manowari ikawa chuma chakavu ,ziko drones za underwater huwez ingia area ya marekan uache kuwa detectable.
Alafu nikuambie kitu Marekani ana military base 750 katika nchi 80 duniani ,hakuna utawala wowote tangu Rumi umewahi kufanya hivyo .
Hizo submirine unazosema chamtoto marekani ana submirine nyingi ukanda wa asia .
Usije ukaichukulia poa US na nchi ya pili kwa military base ni UK ambao wanazo 250 .wakati super power mandonga anazo 12.
Mmeletewa Himas 16 zimewaruudisha nyuma kabisa .anga la ukraine limewashindwa mnabaki kujiita super power.
Russia hana ubavu hata punje kushindana na US kajipange kijana
usikute darasa ni iran anafunzwa kutumia nuclear na urutubishaju wake.russia lazima anaekeza sana hapo iran.Super power mandonga anafundishwa kutumia drone
View attachment 2399070
Wakati mwingine mnashangaza sana sana - yaani hamna hata habari kwamba Warusi wana stealth submarine kwenye east and west coasts za Merikani including Gulf of Mexico laden with formidable Bulava SMLM fanya utafiti wa capabilities za missiles hizo halafu urudi hapa utupatie feed back - bottom line is: US ku-install short range nuclear missiles near Russian borders is immaterial kwa kuwa USA land mass can be equally wiped out in femto seconds kutoka kwenye submarine zinazo hibernate kando kando ya pwani za USA, hapo hatujazungumza kuhusu stealth submarine drones laden with 200Megatonne thermonuclear payload each capable of generating 500+ meters Tsunami tidal wave yenye uwezo wa ku-destroy infrastructure za majiji yote ya USA yaliyopo pwani pwani ya USA mashariki na magharibi na kuzamisha raia wote wanao ishi kwenye miji husika pwani yote inakuwa contaminated/polluted na nuclear waste for thousand years kutokana na half life ya material zilizo tumika kuunda bom lenyewe, hapa hatuja gusia kuhusu thermonuclear missiles kushambulia St.Andrea's fault huko inayo run kupitia jimbo la California - kijiolojia Warusi wakishambulia St.Andreas fault kwa kutumia nuclear missiles sehemu kubwa ya aridhi ya pwani ya magharibi itazama na watu wengi kupoteza maisha, mwisho ina husu Urusi ikihamua kushambulia active volcanoes za Yellow stone National Park za huko Merikani, hivi mnajua kunaweza kutokea nini iwapo Urusi itahamua kushambulia Yellow stone Valcanoes kwa kutumia thermonuclear missiles zikatumbukizwa kwenye shingo za volcanoes - utakuwa balaa kwa Dunia nzima sio kwa Merikani tu - ndio maana narudia rudia mara nyingi kuwakumbusheni kwamba Merikani na Waingereza mazaba zabina waiichezee Urusi hata kidogo, wana contigency plans chungu nzima za kuzikomesha NATO specifically the USA wakichokozwa au kushambuliwa.
Sijui kwa nini baadhi ya watu hawachukulii onyo la mwana sayansi/Engineer Elon Musk seriously, kumbuka ni Mmerikani na mwana sayansi sio mnafiki wala hajipendekezi kwa Marais au Majenerali wa majeshi, anasema kweli tupu kwa lengo la kutadhalisha Dunia kuhusu hatari ya uwezekano wa silaha za Nuclear kutumika vitani kwa mara nyingine tena.
Elon Musk alisema bila ya kumungunya maneno kuhusu uwezo mkubwa wa jeshi/Taifa la Urusi linapo kuja suala la matumizi ya silaha za thermonuclear alisema Urusi ina uwezo wa kuichakaza Merikani na Ulaya kwa mpigo - akaonya kwa mara nyingine tena kwama wasiichezee Urusi, sasa swali ni: kwa nini mwana sayansi Elon Musk aone kuna umuhimu wa pekee kuwakumbusha wana siasa/Rais na wakuu wa majeshi ya NATO/USA kuhusu hatari za silaha za nuclear na kwamba wasichezee Warusi - mnafikiri Musk kaona nini?? Nilifikiri utawala wa Merikani wengesema Elon Musk ni msaliti lakini walikaa kimya vichaa wengine wakasema Elon Musk amezungumza as an individual!! Uzuri Musk yuko very smart upstairs alipo hisi labda comment zake kuhusu jeshi la Urusi zita wafanya viongozi wa jeshi la Merikani kujisikia vibaya ndio maana kwanya comments zake aliongezea neno "vice versa" ili jeshi la Merikani lisijisikie vibaya kwamba haliwezi ku-retaliet likishambuliwa na jeshi la Urusi, a very clever ploy by a brainy Musk.
Kaona mambo yanazidi kuwa magumu.., anatafuta namna ya kujinasua[emoji16]Ila Babu Putin kwa uongo hajambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
At this rate we can soon hear from Russian screens that it was USA and NATO that attacked Ukraine, not Russia.
Super pawer wa mchongo anazidi kudhaliliika aisee! Na hii yote imesababishwa na upumbavu wa fashisti anayejiita Putin.., akitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kuiteka Kiev ndani ya saa 72 [emoji848]Wanajeshi wa Supapawa wakiwa kizuizini baada ya kudakwa na majeshi shupavu ya bwana Zelenksy
Captured mobilized Russians
#Russian soldiers that were bombarded with drones and captured. [emoji41][emoji41]
#RussianWarCrimes #RussiaInvadedUkraine #RussianUkrainewar #RussiaUkraineWar #Russia #UkraineRussianWar #UkraineRussiaWar #UkraineWar #UkrainianArmy #Ukraine #Kherson #Donbass #odessa #Kyiv #NATO #USA
Hovyo submirine zina maajabu gan ,sasa hivi yapo makombora yenye uwezo wa kusambaratisha manowari ikawa chuma chakavu ,ziko drones za underwater huwez ingia area ya marekan uache kuwa detectable.
Alafu nikuambie kitu Marekani ana military base 750 katika nchi 80 duniani ,hakuna utawala wowote tangu Rumi umewahi kufanya hivyo .
Hizo submirine unazosema chamtoto marekani ana submirine nyingi ukanda wa asia .
Usije ukaichukulia poa US na nchi ya pili kwa military base ni UK ambao wanazo 250 .wakati super power mandonga anazo 12.
Mmeletewa Himas 16 zimewaruudisha nyuma kabisa .anga la ukraine limewashindwa mnabaki kujiita super power.
Russia hana ubavu hata punje kushindana na US kajipange kijana
Cha msingi fashisti anayejiita Putin anachapika..,huko ulaya hata wakitumia mafta ya taa na mishumaa sisi hatujari..,ndio maana tulilazimika kubutua hata mabomba ya ges Ili mradi dikiteta achapike kwa ghalama yoyote ile [emoji3525][emoji16]Biashara ya kuni imeshamiri ulayaView attachment 2399247
Biashara ya kuni imeshamiri ulayaView attachment 2399247
Biashara ya kuni imeshamiri ulayaView attachment 2399247
Biashara ya kuni imeshamiri ulayaView attachment 2399247
Aisee, mambo si mambo[emoji298]️ CNN: CIA director makes unannounced visit to Ukraine.
C.I.A. Director William J. Burns met with President Volodymyr Zelensky and other officials earlier this month, CNN reported on Oct. 26, citing two unnamed sources.
“While there, he reinforced the U.S. commitment to provide support to Ukraine in its fight against Russian aggression, including continued intelligence sharing,” CNN quoted one of the U.S. officials.
Zezeta ni wale wanaomtetea mchokozi bila haya,kosa la marekani ni lipi kumtetea mchokozwa? Ni mateja tu ndio wenye mentality hii!Pumbafu kabisa jamaa hawa, wanakubali kurudishwa kwenye stone age, viongozi wao wa Ulaya wana behave kama mazezeta vile - wanakubali kuingizwa mkenge na utawala wa Kimerikani kutokana na chuki binafsi za Biden dhidi ya Putin, now entire Continetal Europe is paying the price the hard way, how I wish they knew.
Nakazia [emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]Zezeta ni wale wanaomtetea mchokozi bila haya,kosa la marekani ni lipi kumtetea mchokozwa? Ni mateja tu ndio wenye mentality hii!