D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Hali ni mbaya kwa ukraine huku urusi akiangaika kuondoa raia wake huko.., mambo ya kuondoa raia tulikuwa tukiyasikia upande wa Ukraine pale Hali ilipokuwa mbaya..,hata kama kusoma hatujui lakini picha tunaweza kuona..., kamanda mwenyewe mnayemuita almagedon alikiri mwenyewe kwa kinywa chake kuwa Hali ni mbaya huko..,Leo hii wewe unakuja hapa kupindua meza.., tumuamini nani Sasa?Hali ni kwamba ukraine majeshi yake wanapukutika sana kule kherson,, huko Russia wameunda defence lines, hivyo kila siku wanajeshi wa ukraine hujaribu kushambulia kuukomboa mji huo lakini mara zote hupigwa na kurudi nyuma huku wengi wakipoteza maisha na vifaa kuharibiwa, hawakomi kila siku wanarudia na wanafail
Huko bakhumut kundi la Wagner linapewa kichapo Mpaka wanaajili vijana walioathirika na HIV na kuwapeleka front line.., naona unaripot kimahaba zaidi kuliko uhalisia [emoji848]Uelekeo wa bakhumut, jeshi la Wagner wanazidi kusonga mbele kuelekea city centre, slowly but surely,,
Khankiv baada ya kukombolewa na Ukraine mdogo mdogo Russia wanaanza kusonga tena mbele, means ukraine wakilegea huo mji utachukuliwa tena na Russia
Muamini huyu hapaHali ni mbaya kwa ukraine huku urusi akiangaika kuondoa raia wake huko.., mambo ya kuondoa raia tulikuwa tukiyasikia upande wa Ukraine pale Hali ilipokuwa mbaya..,hata kama kusoma hatujui lakini picha tunaweza kuona..., kamanda mwenyewe mnayemuita almagedon alikiri mwenyewe kwa kinywa chake kuwa Hali ni mbaya huko..,Leo hii wewe unakuja hapa kupindua meza.., tumuamini nani Sasa?
Wewe au kamanda almagedon?[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huko ukraine Kuna fursa nyingi mkuu..,ukiacha hiyo fursa ya mishumaa pia Kuna fursa ya kuuza vyuma chakavu inalipa sana[emoji16][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fulsa ipo Ukraine jamani.mshumaa wa mia 5 huku, kule unauza hadi dollar 10
Hizi video akiwaletea VUNJO si mnasema video game?..,Leo hii unataka niamini kwa kuwa umeleta wewe?[emoji16][emoji1787][emoji28]Muamini huyu hapa