mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Vunjo kila siku analipoti helicopter za warusi zinatunguliwa.cha ajabu helicopter iyo iyo inabadilishwa tarehe ila eneo ni ilo ilo na helicopter iyo iyo mpaka unashangaa iyo sehemu ina kani ya mvutano (kwamba helicopter hata ikipita mbali inavutwa) au iyo Helicopter ni (ghost) baada ya muda inafufuka kisha inatunguliwa tena hapo hapo.Kwa hiyo hii sio video ya kueditiwa au video game kwa kuwa umeleta wewe,sio?
Akileta pro NATO basi hi mnaota video game [emoji16]
Mna vituko aisee [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Putin analialia tu baada ya mambo kumuweza kombo.., amebaki kubwabwaja.., operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo imegeuka vita ya muda mrefu [emoji848]hii ndio maana ya inteligensia ilio hai
View attachment 2399677
Utafikiri Putin anakusikiaaa...aseee...yaani wakati wa vita unataka kuchagua namna ya kupigwa?Putin ana vita vya ki longi time sana, eti unaharibu miundo mbinu ili watu wahangaike na baridi, hapo ndipo Dunia inamshangaa huyu dingi kwa kukosa busara.
Kuharibu miundombinu ya Umeme, Maji na Piple za gesi yeye anaita ni mbinu za kivita.. aisee kweli nimeamini mrusi kachoka. Kuna muda alianza kuzuia usambazaji wa vyakula toka Ukraine ili Dunia imjue yeye ni nani ? mbinu za ki longi sana hizo dingi - badilika wewe si Taifa kubwa haya pambana na wanaume wenzako si uliyataka mwenyewe.
Ni kweli Urusi kaachwa mbali lkn hao unaowaabudu wanamuogopa na hata Wewe unaringa hapo ulipo kwa ulinzi wa silaha za urusi zilizojaa kwenye nchi yako unakula,kunywa na kunya bila shida na 9 desemba unawahi siti ya mbele kuangalia silaha za Urusi na ndege zake huku ukikenua na kumwambia mwanao asome aje aendeshe Mig 21 inayokuungurumisha mpaka mapafu.
Kwani hii ni vita au ni operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji28][emoji1787][emoji16]Utafikiri Putin anakusikiaaa...aseee...yaani wakati wa vita unataka kuchagua namna ya kupigwa?
Historia itasomwa mpaka na wajukuu zetu kuwa mataifa zaidi ya 50 yaliungana zidi ya taifa moja na mwisho wa siku walichimba.Nikitazama hii picha na kulinganisha na muda hambao urusi anaendelea kupiga danadana uko Ukraine,Huwa najiuliza sana wale mnaomwita urusi super pawer Huwa mnatumia vigezo gani[emoji848]View attachment 2399679
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Cha msingi fashisti Putin Hana Tena Ile options ya kutumia ges kama silaha ya vita.., mengine yote yatajulikana mbele ya safari..kutetea uhuru Kuna ghalama yake [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]tutaelewana tu
View attachment 2399685
Mwanaume wa shoka wakati ameshindwa kutimiza lengo lake kama alivyotegemea..,na wengi wenu humu jukwaani mliamini hivyo.., kwamba anaenda kuiteka Kiev ndani ya saa 72 [emoji12]Historia itasomwa mpaka na wajukuu zetu kuwa mataifa zaidi ya 50 yaliungana zidi ya taifa moja na mwisho wa siku walichimba.
Hakika huyu ni mwanaume wa shoka.
And the end of America hakuna mshindi kwenye vita vya nuclear.North Korea's nuclear strike will mean "the end of the Kim regime"-Pentagon
Umekaa kitandani unatunga ubeti kama huu bila aibu unautupia mtandaoni utafikir uko front lineHali ni kwamba ukraine majeshi yake wanapukutika sana kule kherson,, huko Russia wameunda defence lines, hivyo kila siku wanajeshi wa ukraine hujaribu kushambulia kuukomboa mji huo lakini mara zote hupigwa na kurudi nyuma huku wengi wakipoteza maisha na vifaa kuharibiwa, hawakomi kila siku wanarudia na wanafail