Ushoga na ujamaa vinaendana?Huyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa
Hivi vitu havifanani kabisa...Ujamaa ni system ya utawala, ushoga sio system ya utawala ila ni kipengele tu kwenye sheria.Kati ya Ushoga na Ujamaa unachagua kipi?
Swali swadacta kabisaAkijibu niite nitangaze nia
Russia wameanza leo kuupinga ushoga??That is still not my point.
Kwanza mimi sio pro west wala pro east...mi ni pro African, soma ID yangu.
I dont care kuhusu ideology za west au za putin...nachoangalia hapa ni hii timing.
Kama Putin ameanza kupondea ushoga kipindi hiki cha hii vita.
Basi ujue vita haiishi leo wala kesho.
Ujue tumekaribia kuingia phase 2
Hapa putin anajaribu kurecruit more allies.
Na karata kubwa aliyo nayo ni kujifanya yeye ni Anti ushoga ili apate support kubwa zaidi ya middle east, Africa and China.
Nachosema mimi ni kuwa, hii ni dalili tumekaribia kuingia vita kubwa sana.
Fungeni mkanda, safari ndio inaanzA
We ni full publishedUjamaa ni system ya utawala na ushoga sio system ya utawala ila ni kipengele tu kwenye sheria.
Sasa mimi kama mimi ni anti ushoga na pia ni anti ujamaa.
Lakini najua Ujamaa ukiingia, tunabadili kila kitu, mtindo wa maisha wote unabadilika.
Tunasombwa kwenye vijiji vya ujamaa, hakuna kumiliki biashara, tunaanza kupanga foleni madukani
Hakuna kuchagua viongozi, raisi anakuwa mungu etc.
Inshort ujamaa unabadili katiba yote.
ila ushoga ni kipengele tu kwenye sheria moja ambayo haitaathiri maisha yangu ya kawaida.
By theway hapa bongo mbona ushoga ni kama umeshahalalishwa? Umeenda Zanzibar?umeenda club za Arusha?unamfahamu Juma lokole?
Kilichokosekana tu labda ni ndoa kutambulika, ila vingine vyote hapa bongo vipo na havijaniathiri kivyovyote.
Kutamatisha: Sio lazima tuchague upande, sisi ni watanzania na wala siasa za marekani na Urusi hazituhusu.
Sio lazima kuchagua kimoja hapo, tunaweza kuvikataa vyote.
Kataa ushoga, kataa ujamaa.
Kama kuna mazuri kwa USA tusifie na tuige, mabaya yake tupondee na tuyakate vivohivyo kwa Urusi.
Kubali ubepari na demokrasia ya USA ila kataa ushoga, kubali misimamo ya Urusi kuhusiana na ushoga ila kataa ujamaa na udikteta.
We are Africans, sisi sio wao na wala hatupaswi kuwaiga. we have our own culture.
mbona unaumia au na ww ni upinde?Huyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa
Vita ya west na Russia ilikuwa kisa ushoga?Russia wameanza leo kuupinga ushoga??
Au umeanza kuifuatilia baada ya vita!..
Kwani Adui mkubwa wa Western Civilization ni nani????
Unaujua UJAMAA VIZURI WEWE??Hivi vitu havifanani kabisa...Ujamaa ni system ya utawala, ushoga sio system ya utawala ila ni kipengele tu kwenye sheria.
Sasa mimi kama mimi ni anti ushoga na pia ni anti ujamaa.
Lakini najua Ujamaa ukiingia, tunabadili kila kitu, mtindo wa maisha wote unabadilika.
Tunasombwa kwenye vijiji vya ujamaa, hakuna kumiliki biashara, tunaanza kupanga foleni madukani
Hakuna kuchagua viongozi, raisi anakuwa mungu etc.
Inshort ujamaa unabadili katiba yote.
ila ushoga ni kipengele tu kwenye sheria moja ambayo haitaathiri maisha yangu ya kawaida.
By theway hapa bongo mbona ushoga ni kama umeshahalalishwa? Umeenda Zanzibar?umeenda club za Arusha?unamfahamu Juma lokole?
Kilichokosekana tu labda ni ndoa kutambulika, ila vingine vyote hapa bongo vipo na havijaniathiri kivyovyote.
Kutamatisha: Sio lazima tuchague upande, sisi ni watanzania na wala siasa za marekani na Urusi hazituhusu.
Sio lazima kuchagua kimoja hapo, tunaweza kuvikataa vyote.
Kataa ushoga, kataa ujamaa.
Kama kuna mazuri kwa USA tusifie na tuige, mabaya yake tupondee na tuyakatae vivohivyo kwa Urusi.
Kubali ubepari na demokrasia ya USA ila kataa ushoga, kubali misimamo ya Urusi kuhusiana na ushoga ila kataa ujamaa na udikteta.
We are Africans, sisi sio wao na wala hatupaswi kuwaiga. we have our own culture.
Vita ya west na Russia ilikuwa kisa ushoga?
Yani ushoga ni karata ndogo sana hapa ya kuwachota weak minds (sasaivi mass kubwa ya watu Africa &middle east ni weak minds).
Mambo ya ushoga hata marekani yalikuwa marufuku enzi za vita ya kwanza na pili. Hizi gay rights na LGBTQ ni mambo ya juzi juzi tu.
Vita kubwa kati ya russia na west iliyopo ni ideology ya ubepari Vs Ujamaa.
Vita kubwa kati ya middle east na west ni ubepari Vs udikteta (wa kidini)
Vita kubwa kati ya China na west ni ubepari Vs udikteta (wa kichama)
Vita kubwa kati ya north korea na west ni ubepari Vs udikteta (wa kiukoo)
Hutu tuvitu twingine kama ushoga ni chambo ya dagaa kwenye bahari ya nyangumi.
Hata hao jamaa kina russia china na middle east actually care less kuhusu ushoga kuliko mnavyoaminishwa.
Sijui kwann hata tunapoteza mda mwingi kuvidiscuss