Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Asome vyema hapa aelewe nanajua ataelewa ila atataka kuamini!!!??
 
Crimea imetandikwa vibaya mandonga analia lia drone za kujitos mhanga siyo iran anazo pekee hata ukraine wameshapewa

Shocking video shows 'massive' attack by drone boats targeting Russia's Black Sea Fleet​

Kenneth Niemeyer
Sat, October 29, 2022,

VIDEO: 'I feel ashamed': Russians speak out against the war

That seemed to be the only quick way to get out of st.

Russian Black Sea Fleet ships are anchored in one of the bays of Sevastopol, Crimea, March 31, 2014.Associated Press
  • Video shows drone boats attacking Russian ships on the coast of Crimea on Saturday.
  • The Russian Defense Ministry said after the attack that it paused its grain deal with Ukraine.
  • The Defense Ministry called the attack a "terrorist act."
Russia on Saturday blamed Ukraine for a "massive drone attack" on naval ships and civilian vessels in Crimea, calling it a "terrorist act."
A video of the attack, posted by an account called Ukraine Weapons Tracker, appears to show the moment drone boats with explosives targeted Russia's Black Sea Fleet ships at a port in Sevastopol, Crimea's largest city.
 
Unapaswa kumuelewa sana Zelensky . Hakuwa tayari kwa mazungumzo. Zele alikua tu kivuli cha NATO na NATO waliaandaa hii vita muda mrefu . Zele hakuwa anatoa kauli thabiti bali hizo za kidiplomasia nilisema hapo mwanzo . Ndio maana Russia alimwambia waandikishiane wanachokubaliana. Ni vema sana kuelewa lugha za kidiplomasia , Sio KILA kinachosemwa kinamaanishwa bali usipuuze KILA kinachosemwa wapaswa kutafuta tafsiri na sababu ya Upande wa pili kusema KILA anachosema.
 
Na wanalia kweli kweli yaani safari hii put in asiwape nafasi mpaka wafe njaa
 
Ila wewe ndio tukuamini

Nyie watu nyie khaa

Suala la kutokuiamini US halijaanzia hapo UKRAINE limeanzia mbali sana

Kwaharaka haraka tukianza na uvamizi wa IRAQ kwasababu ya WMD halaf hizo silaha ziko wapi!!?

Kwahio kesi ya IRAQ na US niwazi kabisa kwamba US sio wakuaminika hata aseme nini

Maana anaweza akadanganya tena zaidi ya ishu ya IRAQ

Tukirejelea mbali mtu kama US aliosababisha maafa kule JAPAN ya NAGASAKI na HIROSHIMA anaaminikaje huyu akikwambia usitengeneze NYUKLIA eti unahatarisha usalama wa DUNIA

Kuna taifa hatari na linalohatarisha usalama wa DUNIA kama US linapokuja suala la NYUKLI hapa DUNIANI

Us haaminiki na hafai kuamini kwawapenda haki wote

Taifa la kwanza DUNIANI linalotakiwa kua bila ya silaha za NYUKLIA na nyengine ni hilo la US

Kasome vita ya IRAN na IRAQ huyo huyo US aliwapa silaha za sumu IRAQ wazitumie dhidi ya IRAN

Us taifa laajabu sana nahamna lakutuambia wala lakumtetea akawa wakuaminika
 
@mtarimbo usihangaike kua unanireply utanisamehe MKUU ila nilisha kuignore
Toka ulipoleta mada zakuanza kutukana nilikutia nyundo
 
SIO ZIMBAMBWE
US Secretary of State Blinken commented on Russia's decision to end the "grain deal": “The United States regrets the suspension of Russia's participation in the UN-brokered Black Sea Grain Initiative operations. We encourage all parties to continue this life-saving, life-saving initiative. The Black Sea Grain Initiative has moved more than 9 million tons of food and significantly reduced prices for low- and middle-income countries. It has been successful and must continue.
 
Ni huzuni kwa kweli

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza nikukumbushe tu Yale mazungumzo yalihusisha wajumbe kutoka pande mbili,yaani urusi na Ukraine..alafu naona unataka kupinga ukweli kwamba zelensiky hakumuomba Putin asitishe kumshambulia na Ukraine haitajiunga NATO?? Wenzako akina sikilimimimasikini.., walikuwa Wanaleta habari Kwa mbwembe humu wakikejeri kitendo Cha rais zelensiky kukiri wazi hatojiunga NATO na kumuomba Putin aache kumshambulia..,alafu kitu kingine unachojaribu kupotosha kwa makusudi kabisa ni kwamba Yale mazungumzo yalikwama Kwa sababu urusi alitoa masharit yasiyotekelezeka..,masharit yenyewe ni kama ifuatavyo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

1, Ukraine ayatambue majimbo ya
Ya donestk na luhansik kama
Jamhuri zenye uhuru kamili

2, katiba ya Ukraine ibadilishwe
Na Ukraine asijiunge NATO
Milele
3, kumbuka Yale majimbo ya
Donestk na luhansik baada ya
Kujitenga yangeendelea kuwa
Tegemezi kwa serikali kuu

Kwa akili yako unadhani zelensiky angekubali huo upuuzi? Alafu unapata faida gani unapoamua kupotosha kwa makusudi kwamba UK na US walimshawishi rais zelensiky aachane na Yale mazungumzo?


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
US baada ya kushinda cold war kwa soviet union kumeguka, bado hawakuridhika kwani waliendelea kuiona Russia ni tishio kwao kwa malengo yao ya kuitawala dunia,, ilitakiwa Russia nayo imeguke ili viwe vinchi vidogo vidogo, ambavyo haviwezi kuwa threat to west,
Ndo maana NATO ilidelea kuwepo na kujiimarisha huku wakiweka military bases arround Russia,, kama wanavyoweka bases arround china na iran,
US na marafiki, walitaka kupata launching pad ambayo itawawezesha kufanya subversive campaign dhidi ya Russia,, so ukraine ikaonekana ndo iko pazuri kwani wakiichukua, kitu cha kwanza watafanya ni kuifunga Russia main navy bases pale crimea, Sebastopol,
So CIA waka initiate color revolution ukraine,, 2014,mchongo mzima alisimamia mwanamma victoria Nuland,
So baada ya mapinduzi,Russia wakawa wamenusa hatari,,Navy base ya Crimea ndo warm water navy base pekee ya Russia,na ni very critical kwa usalama wa Russia,,so hawakua na jinsi wakaichukua crimea,,
Kjpindi hicho West wamepata kibaraka ukraine,wakaanza kuipa silaha ukraine na kutoa mafunzo ya kijeshi,kipindi hicho east ukraine yenye Russia speaking population wakaanzisha movements za kujitenga,so pakawepo civil war,,
Klichotokea february ni Russia baada ya kujaribu diplomacy yote kuzuia ukraine kujiunga NATO na viongozi wa nchi za magharibi wakawa wanampuuza Putin,, so Russia yuko east ukraine kusecure Russians population na pia ku creat buffer zone kwa usalama wa Russia
 
Mkuu ukiamini kweli unachoandikwa hujajielimisha ipasavyo. Wapi ushuhuda wako Ukraine iliambiwa na yeyote iendelee au isiendelee na mazungumzo???

Kuchechua propaganda haisaidii kitu. Wakati wa mazungumzo kwenye mwezi wa Machi, Urusi ilileta madai yaliyomaanisha Ukraine kusalimisha amri. Ukraine ilikuwa tayari kuahidi hawatatafuta uanachama wa NATO. Urusi ilitaka mengi zaidi.
 
Nakukumbusha tu kwamba katika Yale mazungumzo Moja ya sharti la urusi ilikuwa ni kutaka Yale majimbo ya Donetsk na luhansik yawe nchi huru zinazojitegemea ..ni kiongozi gani katika dunia hii anaweza kukubali huu upuuzi,?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nakukumbusha tu kwamba katika Yale mazungumzo Moja ya sharti la urusi ilikuwa ni kutaka Yale majimbo ya Donetsk na luhansik yawe nchi huru zinazojitegemea ..ni kiongozi gani katika dunia hii anaweza kukubali huu upuuzi,?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Lakini hizo condition mwishoni itabidi akubaliane,, sio kitu kigeni,, hata gorbachev ilibidi akubaliane na outrageous conditions ili pawepo amani na ndo asili ya uwepo wa ukraine kama nchi,, kama Russia walikubali kuzitema ukraine, kazakhstan, Turkmenistan, tajikstan, azerbanjain , etc.
Ukraine nayo itabibidi aziteme luhansk, donesca kwanza hizo sehemu zina Russias population, hivyo milele haziwezi kukubali kuwa under ukranians,
Kuhusu Kujiunga NATO,, ni wazi kuwa NATO iliundwa as a military organisation against moscow,, so Russia hawatakubali ukraine iliyopo backyard yake eti ijiunge na NATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…