Mkuu, historia yako ni dhaifu. Umoja wa Kisovyeti haikumegwa na magharibi, ni koloni za Urusi zilizotumia nafasi ya kuvunja utumwa wa miaka mingi na kuachana na Urusi.US baada ya kushinda cold war kwa soviet union kumeguka, bado hawakuridhika kwani waliendelea kuiona Russia ni tishio kwao kwa malengo yao ya kuitawala dunia,, ilitakiwa Russia nayo imeguke ili viwe vinchi vidogo vidogo, ambavyo haviwezi kuwa threat to west,
Ndo maana NATO ilidelea kuwepo na kujiimarisha huku wakiweka military bases arround Russia,, kama wanavyoweka bases arround china na iran,
US na marafiki, walitaka kupata launching pad ambayo itawawezesha kufanya subversive campaign dhidi ya Russia,, so ukraine ikaonekana ndo iko pazuri kwani wakiichukua, kitu cha kwanza watafanya ni kuifunga Russia main navy bases pale crimea, Sebastopol,
So CIA waka initiate color revolution ukraine,, 2014,mchongo mzima alisimamia mwanamma victoria Nuland,
So baada ya mapinduzi,Russia wakawa wamenusa hatari,,Navy base ya Crimea ndo warm water navy base pekee ya Russia,na ni very critical kwa usalama wa Russia,,so hawakua na jinsi wakaichukua crimea,,
Kjpindi hicho West wamepata kibaraka ukraine,wakaanza kuipa silaha ukraine na kutoa mafunzo ya kijeshi,kipindi hicho east ukraine yenye Russia speaking population wakaanzisha movements za kujitenga,so pakawepo civil war,,
Klichotokea february ni Russia baada ya kujaribu diplomacy yote kuzuia ukraine kujiunga NATO na viongozi wa nchi za magharibi wakawa wanampuuza Putin,, so Russia yuko east ukraine kusecure Russians population na pia ku creat buffer zone kwa usalama wa Russia
[emoji298]️ The only realistic proposal regarding possible negotiations with Russia should be an immediate end to Putin's war against Ukraine and the withdrawal of Russian troops abroad as of 1991, - the spokesman of the Ministry of Foreign Affairs of Ukraine Oleh Nikolenko.Lakini hizo condition mwishoni itabidi akubaliane,, sio kitu kigeni,, hata gorbachev ilibidi akubaliane na outrageous conditions ili pawepo amani na ndo asili ya uwepo wa ukraine kama nchi,, kama Russia walikubali kuzitema ukraine, kazakhstan, Turkmenistan, tajikstan, azerbanjain , etc.
Ukraine nayo itabibidi aziteme luhansk, donesca kwanza hizo sehemu zina Russias population, hivyo milele haziwezi kukubali kuwa under ukranians,
Kuhusu Kujiunga NATO,, ni wazi kuwa NATO iliundwa as a military organisation against moscow,, so Russia hawatakubali ukraine iliyopo backyard yake eti ijiunge na NATO
Mkuu siwez kukutukana hata siku moja hili jukwaa tunafundishana tuu wote ni binadamu kama kuna sehemu uliona nimetukana tusamehane nakuheshimu broo wala sina tatizo na pro russia hii vita itaisha na maisha yataendelea@mtarimbo usihangaike kua unanireply utanisamehe MKUU ila nilisha kuignore
Toka ulipoleta mada zakuanza kutukana nilikutia nyundo
Ukifikiri kwa upande mwingine Wanalia kinafiki tu hao kwa Russia. Wangekuwa wanamuhitaji kwa kiwango kikubwa wangemuogopa. Ungeona wote wanajipendekeza kutafuta suluhu badala ya kupeleka silaha.USA cry for Russia
EU cry for Russia
Ukraine cry for Russia
NATO cry for Russia
UN cry for Russia
But none of them has tried to stop Russia from making them crying everyday.
Then, Who is Russia?
Ndo tunarudi pale pale kwenye msemo wetu wa kihenga; "URUSI SIYO ZIMBABWE NI TAIFA AMBALO DUNIA INALIHITAJI KULIKO LINAVYO IHITAJI" [emoji1269]
Kama sijakosea nadhani Zele aliomba mazungumzo na akakubali sharti la kutokujiunga NATO ili Putin asishambulie, Putin akatoa masharti magumu ndo ikashindikana. Wenye kumbukumbu wataweka data sawa.You have got it wrong...Halafu wewe ni mpotoshaji mkubwa...Lakini awali ya yote ngoja nikupongeze kwa jambo moja. Inaelekea umeacha kuweka comment kama robot. Comment yako hii angalau umejadili jambo na kuachana na mambo ya 'dikteta, pimbi, fashisti, kupelekewa moto na kichapo. Kwa andiko hili lako kwa kweli umejitahidi kuachana na tabia hiyo ya kwanza. Lakini ulichokiweka hapa ni upotoshaji mkubwa kwa yaliyotokea mwanzo... Russia mwanzoni mwa vita ilikuwa tayari kwa mazungumzo na hata sasa ipo tayari. Na in fact hata mazungumzo yenyewe yalikuwa yanafanyika huko Belarus na Uturuki. Mazungumzo hayo yalifikia hatua nzuri isipokuwa Ukraine kwa maana ya Zelensky akaambiwa na Uk na USA aaxhane na mazungumzo hayo na kwamba nchi hizo kwa maana ya USA, UK na West zitafadhili gharama zote za vita kwa upande wa uKRAINE. mWANZONI KABISA WA VITA UTAKUMBUKA Borisi Jphn son alikwenda Ukraine kwa lwengo la kum kamkataza Zelensky aachane na mazungumzo ya amani na Russia. Zelensky alifanya hivyo na mpaka sasa msimamo wa Ukraine ni huo huo. Hawataki mazun gumzo na Russia . Ukraine wanasema mazungumzo ni kwenye uwanja wa vita. Wanaoamua mambo huko Ukraine ni West. Zelensky hana nguvu zozote zile za maamuzi. Wanaoumia zaidi ni wananchi wa Ukraine ambao wanakufa kwa maelfu wakiwemo askari.
Elimu nimempa japo Elimu hii hawez kuipata darasan! Sasa kazi kwakeAsome vyema hapa aelewe nanajua ataelewa ila atataka kuamini!!!??
Kabla sijakujibu naomba kujua umri wako kwanza isije nikawa nabishana na watoto wa miaka ya 90 nikapoteza muda wangu yani kiufupi wewe history imekukalia kushotoMkuu, historia yako ni dhaifu. Umoja wa Kisovyeti haikumegwa na magharibi, ni koloni za Urusi zilizotumia nafasi ya kuvunja utumwa wa miaka mingi na kuachana na Urusi.
Hakuna nchi ya kimagharibi iliyojaribu kudhoofisha Urusi zaidi. Kinyume chake nchi za magharibi ziliunga mkono mazungumzo kati ya Urusi na Ukraine ambako Ukraine ilikabidhi silaha zake za nyuklia kwa Urusi - kwa ahadi kuwa Urusi italinda daima mipaka ya Ukraine. Leo tunaona maana ya ahadi za Urusi tangu Putin alichukua madaraka. Kama wangetaka kudhoofisha Urusi, ni mantiki gani kuunga mkono Ukraine iachane na silaha za nyuklia na kuzikabidhi kwa Urusi?????
Hakuna nchi ya magharibi iliyopinga mapatano kwamba Urusi iliruhusiwa kuendelea na kituo cha wanamaji kwenye eneo la ukraine huko Krimea. Hata hapa tunaona thamani ya ahadi za Urusi, ilhali mgeni aliamua kuiba yake aliyopanga kwa muda na kujitangaza kuwa bwana.
Hua nashindwa kuelewa kiherehere cha marekani.. hv nan alimpa mandate ?
Ni kweli Urusi haiwezi kukubali na huenda wapo sahihi.Lakini hizo condition mwishoni itabidi akubaliane,, sio kitu kigeni,, hata gorbachev ilibidi akubaliane na outrageous conditions ili pawepo amani na ndo asili ya uwepo wa ukraine kama nchi,, kama Russia walikubali kuzitema ukraine, kazakhstan, Turkmenistan, tajikstan, azerbanjain , etc.
Ukraine nayo itabibidi aziteme luhansk, donesca kwanza hizo sehemu zina Russias population, hivyo milele haziwezi kukubali kuwa under ukranians,
Kuhusu Kujiunga NATO,, ni wazi kuwa NATO iliundwa as a military organisation against moscow,, so Russia hawatakubali ukraine iliyopo backyard yake eti ijiunge na NATO
Shida ya vyanzo vya kina RT BBC namfano wa hayaKwa nini kwenye hii mada watu mnaleta mabandiko toka kwenye vyanzo vingine bila ya kutoa sifa kwa vyanzo hivyo? Unaleta bandiko kama wewe ndiyo mwandishi wakati umelinukuu toka mahali kwingine. muwe mnasema mnatoa wapi mabandiko yenu ili tuone kama watowaji wa hayo mabandiko wana viwango vya kimaadili kuaminika.
Mwaka huu ni mwaka wa chaguzi marekani, sasa vita vyao na mitizamo yao kuhusu vita hii, usiifanye ni yako. Taja unaponukuu mabandiko ya watu. huo ndiyo uungwana.
Boss vyombo vikubwa haviepukiki. Kilichopo ni zakuambiwa unachanganya na zako.Shida ya vyanzo vya kina RT BBC namfano wa haya
Hawa wote sio wakuaminika ila tuwasikilize tu
Mana kuna muda hata saa mbovu hua yasema ukweli
Ni muhimu kujenga kuaminika kwa wewe mleta hoja. Naona watu wanatutwisha maandiko toka kwingine bila ya kutaja kwamba siyo yao. siyo sawa.Shida ya vyanzo vya kina RT BBC namfano wa haya
Hawa wote sio wakuaminika ila tuwasikilize tu
Mana kuna muda hata saa mbovu hua yasema ukweli