Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Majinga ....ikiruhusiwa tu kutoka haindi Ethiopia inaenda kwao ULAYA. Mrusi weka kigingi kazia hapohapo.SEEKING SYMPATHY
View attachment 2402290
Minister of Infrastructure of Ukraine Oleksandr Kubrakov on the suspension of grain exports from seaports. According to him, dry cargo ship IKARIA ANGEL with 40,000 tons of wheat was supposed to leave Chernomorsk today. The grain is allegedly intended for the people of Ethiopia. According to the Marine Traffic resource, the cargo ship was heading to Istanbul
Sure umenena vyemaUkisoma maelezo ya Putin kwa mwenye kujiuliza na kusikia jinsi anavyopambwa na vyombo vya habari vya West lazima ataweka uwiano na kutaka kumjua zaidi Putin.
Vijana wa zelensiky hawarudi nyuma. ,Ni kama wanazidi kuwa wa moto zaidi.., ngoja tuone super pawer atakuja na gia gani Tena baada ya Ile ya kushambulia miundombinu ya Nishati,[emoji298]️A Russian attack helicopter (type to be determined) was shot down by an anti-aircraft missile unit of the "East" air command in Kharkiv region at around 4:00 p.m. (GMT+2) today, – the Air Force of the Armed Forces of Ukraine reports.
[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
Putin nimepata kumuelewa sasa.Ni mtu anayejitambua sana na ana hoja maridhawa. Ule mkataba ilikuwa awachie nafaka za Ukraine zitoke lakini na mbolea na nafaka zake pia zinunuliwe.Wamagharibi hawajui kula na kipofu. Wamechukua nafaka za Ukraine lakini bidhaa za Urusi wanakataa kuchukua na zaidi ya hapo halafu wanamzomea Urusi kuwa eti vikwazo sasa vimembana sana. Nani atakayekubali milele ujinga huo.
Hatuwez lisha dunia aiseeDawa ya hawa mbuzi ni sisi kuanza kuwasaidia kuwatumia ngano koz Wana tudanganya sana
Waulize Ulaya kwanini wasijilimie mpaka wanavizia ngano ya Urusi kwa mgongo wa mataifa ya Afrika
Haya mashoga ni mapumbavu sana! Yanasingizia nchi masikini alafu Urusi ikiachia ngano yanapeleka kwao wakati wanajiita matajiri kumbe...
Sasa acha Putin awashughulikie
Wakimalizana hapa nadhani kuheshimiana kutakuwepo.Ukraine imenyanyaswa Sana na jirani yake huyu na imekuwa ikimegwa kila kukicha....
.hii Vita ilikuwa ya kuimeza hii nchi kama sio Ukraine kuamua kupambana.
Hakuna shambulio la kigaidi hapo,hizo Meli ni legitimate targets sababu hua zinarusha cruise missiles kwenda Ukraine,Ukraine ina sababu zote ya kuzilipua ili kujilinda.
kama ungekuwa mfuatiliaji mzuri wa nini kinachoendelea huko,yapata mwezi mmoja sasa PUTIN alishasema kuwa huo mpango utakuja kusitishwa kwani chakula kingi hakiendi AFRICA,bali ni kwenye nchi za EU.hivyo inawezeka ikawa kweli limetokea au ni kitu kimetengenzwa ili kupata uhalali wa hilo.kwani kwa kinachoendelea sasa lazima URUSI atumie kama silaha.
Ili Russia awe ameshinda, nn kinatakiwa kitokee? Mfano Russia akiachia majimbo yote kama msingi wa kuonyesha nia ya kumaliza vita kisha akasema ushindi wangu ni kuhakikisha Ukraine haijoin NATO kama mwanzo ilivyokuwa halafu Ukraine ikaamua isijiunge NATO, Russia atakuwa kapoteza au kashinda?And they have stated clearly that they can't 'allow' Russia to win because that itakuwa ni maafa makubwa kwa NATO na West kwa ujumla.
Na itakua fundisho Kwa mataifa mengine makubwa (Marekani ikiwemo) kuvamia vamia vinchi vidogo.Wakimalizana hapa nadhani kuheshimiana kutakuwepo.