wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Ulisema December haitaisha Putin akiwa hajafa,nitakukumbusha.Acha wapigane tu CCM wapate sababu. Nasikia sasa wanasema ukame umesababishwa na Ukraine 🇺🇦
tatizo wanakuwa wabishi kama wanajua sana kumbe wanatakiwa kujifunza!Hii exposure ya red indian kunyang'nywa ardhi inaonekana unayo. Well, Perfect. Hakuna ubaya katika hilo.
Kuna aina ya tone mtu anapoitumia unaelewa kabisa huyu anajua sana, hutakiwi kumchalange sababu anafahamu yote.
Kwa ufupi tu humu unadiscuss na watu ambao wengi wamezaliwa 1965 na kuendelea mpaka 2005 wapo humu na wanahoji. Hawawezi fahamu sana hayo mambo esp kama hajasoma historia.
Hawajashuhudia zile zama za kunyang'anyana ardhi achilia mbali zama za ukoloni. Ila wamemuona Urusi akichukua ardhi katika zama hizi za utandawazi hivyo kuwa muelewa tu unapojadiliana na watoto. Nenda na sisi taratibu.
Kama kule IDLIB BENGHAZI SITRE nkAl Jazeera wanaonyesha hapa Wananchi wa Kiev wakiwa na ndoo za maji na madumu huku wamepanga foleni ndefu za kuchota maji.
Wacha aendelee kupigishwa danadana.., na anapofanya mashambulizi kama haya anawapa morali wananchi huko Ukraine kupata sababu ya kuendelea kupigania nchi Yao.., lakini pia inafuta Ile taswira kwamba rais zelensiky amekataa kukaa meza ya mazungumzo Ili kufikia amani.. maana huwezi kukaa kwenye meza ya mazungumzo na mtu aliyepania kuharibu nchi yakoView attachment 2403108
Urusi imetumia Tsh trion 1 mpaka 1.4 kwa mashambulizi ya Leo asubuhi huko Ukraine.
Makombora 50 ya Kh-101 yaliyorushwa kwenye miundombinu ya umeme, ukreine imedai kudungua 44.
Pesa hizo ni zaidi ya nusu ya bajeti ya kila mwaka ya Novosibirsk - miji wa tatu Kwa ukubwa huko Urusi
Mimi niliacha kuchangia humu baada ya kuona tunabishana na vitoto vingi vya tisini havijasoma historia yeyote tangu serikali hii ibadilishe mitaala na kutuletea mitaala ya kusifu wa west na marekani angalau wangekua wamesoma hata kile kitabu Cha kibanga ampiga mkoloni au ndoto ya kimweri wangejifunza jambotatizo wanakuwa wabishi kama wanajua sana kumbe wanatakiwa kujifunza!
Ilikuaje wakaipoteza ALASKA !!!??Hata Ukraine ilipojitenga USSR ilikua na mipaka yake inayotambulika kimataifa pamoja na Umoja wa mataifa kama nchi huru,sasa inakuaje linchi lingine likubwa litake kujimegea hiyo ardhi kwa kisingizio cha Historia?! Kwanini wasiende ichukua Alaska maana kwa mujibu wa Historia ilikua sehemu Yao halali.
IRANHivi huu upupu wa kwamba Russia inapigana na nchi 30+ mnautoa wapi?! Russia inapigana na Ukraine Peke yake inayosaidiwa silaha na nchi washirika kama ambavyo Russia inasaidiwa na nchi washirika kama Iran, North Korea,Syria,nk.
Acha utoto wanamgambo wenzako wanavunjwa miguu huko we unaleta porojoKutesa kwa zamu,Leo ni zamu yenu kujimwayamwaya pro Russia..,siku mbili zilizopita,baada ya kipigo walichopokea wapiganaji wa Wagner..., pamoja na Sevastopol huko Crimea.., ilikuwa shangwe kwa pro Ukraine.., ivyo sio mbaya,mbio ni kupokezana,[emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Grain corridor kuna meli za urusi za kivita!
Zilikuwa zinafanyaje kuko sasa....
Ilikuaje wakaipoteza ALASKA !!!??
AU Unadhani RUSSIA alikua mdhaifu kama GERMAN kiasi chakuporwa ALASKA nayeye akakaa tu kimya
Narudia tena ALASKA ilikua sehemu halali ya RUSSIA ila kwamakubaliano yapande mbili ALASKA nisehemu halali ya US
Yaani RUSSIA akairejeshe ALASKA yeye kama nani wakati waliiuza wenyewe
Anaetakiwa kurejesha ardhi yake ni GERMAN kama anahuo ubavu kwa UKRAINE anajulikana kabisa kaponzwa na
NATO na sasa analipia jeuri yake
Angeheshimu MINSK nakua NAM yasingemkuta yote haya