kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Pro Russia mnadhani makombora ya urusi yamatengenezwa mbinguni hivyo hayawezi kudunguliwa..,hii habari ya Ukraine kudungua makombora 44 ya urusi imeripotiwa karibu na kila chombo Cha habari.., lakini bado mnakaza moshipa ya shingo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajifariji
Hivi mwanangu unajua maana ya rocket!? Kwa maelezo yako hapa inaonekana hujui unachokiongea.Mkuu uwe unasoma habari na kuelewa habar yenyewe inasomeka hivi Ukraine’s air command said it shot down 44 out of 50 enemy rockets. Ukraine hawajasema makombora bali ni rockets ,kumbuka Russia jana alishambulia kwa rockets na missile ambazo zilirushwa kwa ndege
The cruise missiles were fired from Russian Tu-90 and T-60 aircraft flying north of the Caspian Sea and the Rostov region. They hit targets in the Kyiv, Zaporizhzhia and Kharkiv oblasts, as well as in the areas of Mikolaiv, Lviv, Zhytomyr, Kirovohrad and Chernivtsi.
Hivyo kulikua na mshambulizi ya aina mbili cruise missiles na rockets ,ukraine walifanikiwa kudungua rockets 44 kati ya 50 ila kuhusu cruise missiles hakuna taarifa yoyote iliyopatikana had sasa ingawa inasemekana makombora 6 yalidondoshwa .
When it comes to defining a rocket, it is a spacecraft or aircraft which uses a rocket engine to obtain thrust. Rockets have simple as well as ancient roots. Rockets carry inside them propellants which help shape the rocket engine exhaust before use. The third of law of Newton of action and reaction drives rocket engines, which expel the rocket engine exhaust at a high speed in the opposing way to push rockets further.Hivi mwanangu unajua maana ya rocket!? Kwa maelezo yako hapa inaonekana hujui unachokiongea.
Go back to school
Sass kinachowafanya walie nini kombora 6 tu kama zitakuwa zimepenya? Tumieni vichwa zenu kufikir matako kukaa tu ndo kazi yakeMakombora yaliyorushwa Leo ni zaidi ya makombora 50 huku 44 yakitunguliwa[emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]View attachment 2402998
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Aliyeshambilia Crimea sio Ukraine ni nato na ndicho imepelekea russia kwenda un balaza la usalama ili kama vita itangazwe rasmiWao wakishambulia sawa ila wakishambuliwa kelele nyingi
Russia requests UN Security Council meet over Crimea attack
Russia asked the UN Security Council to meet on Monday to discuss an attack on its Black Sea Fleet which it has accused Ukraine of carrying out.
Moscow said 16 air and maritime drones attacked civilian and Black Sea Fleet vessels in the Bay of Sevastopol in Crimea on Saturday.
Ukraine has neither denied nor confirmed that it carried out the attack and has instead suggested that Russia may have orchestrated it itself so that it could suspend participation in the Black Sea Grain Initiative
KAMATA MWIZIIIIIII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]R.I.P wanajeshi wa Ukraine waliokuwepo kwenye helicopter.kiukweli aliyewatungua ni mtu m-bad sana
Russia anaituhumu Ukraine kushambulia black sea fleet wewe unatuambia NATO ndo wameshambulia,kwahiyo wewe unajua kushinda wenyewe warusi?!Aliyeshambilia Crimea sio Ukraine ni nato na ndicho imepelekea russia kwenda un balaza la usalama ili kama vita itangazwe rasmi
Kile kipigo walichopokea wapiganaji wa Wagner group kinawauma sana pro Russia, wanatafta mahali pa kulipiza panakosa mpaka wanafikia atua wanaokoteza video..., Russia akilipiza kisasi anaishia tu kulipua miundombinu, hivyo wanaona Russia haikidhi haja zao [emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji2]KAMATA MWIZIIIIIII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hiyo video warusi mmeiba kwa Ukraine halafu mkageza habari kama kawaida yenu,hiyo Helicopter ni ya Urusi ambayo imebutuliwa na MANPADS za Ukraine kikosi cha 54th mechanized brigade huko Bakhmut, Donetsk Oblast.
Geogolocation hii hapa kuthibitisha mahali ilipitunguliwa
Heli gets hit from the west, travelling north: 48.79408, 38.27866
RIP warusi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi-8 ya Ukraine hii hapa ambayo ilipata hitilafu ikaanguka,crew nzima wamesalimikaR.I.P wanajeshi wa Ukraine waliokuwepo kwenye helicopter.kiukweli aliyewatungua ni mtu m-bad sana
Hii kitaalamu tunaita punyeto vitaniKAMATA MWIZIIIIIII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hiyo video warusi mmeiba kwa Ukraine halafu mkageza habari kama kawaida yenu,hiyo Helicopter ni ya Urusi ambayo imebutuliwa na MANPADS za Ukraine kikosi cha 54th mechanized brigade huko Bakhmut, Donetsk Oblast.
Geogolocation hii hapa kuthibitisha mahali ilipitunguliwa
Heli gets hit from the west, travelling north: 48.79408, 38.27866
RIP warusi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]R.I.P wanajeshi wa Ukraine waliokuwepo kwenye helicopter.kiukweli aliyewatungua ni mtu m-bad sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kitaalamu tunaita punyeto vitani
Russia wanajaribu kupiga martial musterbation [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Marehemu Ruge alisema ogopa Mungu na Teknolojia,warusi hawajui kama hata wewe hapo wa ikwiriri unaweza chukua video mtandaoni ukachukua cordinate (kama video ilishutiwa wakati location ikiwa on) ukaingiza coordinates zako kwa Geolocation na kukupa mahali tukio lilipotokea. Wanadhani bado tupo Karne ya Saba[emoji23]Hii kitaalamu tunaita punyeto vitani
Russia wanajaribu kupiga martial musterbation [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani kwa kuangalia tu hapo kweli kuna mtu hata mmoja ametoka mzima.kweli nyie ni wazee wa propagandaMi-8 ya Ukraine hii hapa ambayo ilipata hitilafu ikaanguka,crew nzima wamesalimika
#Ukraine: A Ukrainian Mi-8 helicopter crashed in the vicinity of Kostiantynivka, #Donetsk Oblast. Three crewmen reportedly survived and were recovered. The reason for the crash is currently unknown.