NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
😂Aah subutu,hapa natambaa na mbinu za Zelenskyy Mkuu,unataka nitoe siri za kambi 😁
You also be a fool as i am f,,,,,,,cking!!What if I call you a fool!?
Acha hizi hoja mfirisi na ujinga usiokuwa na mantiki asee acha kutuletea mambo z aflela ulela acha mambo ya ajabuKwa hiyo kwa maoni yako plani yao ya kwanza ndio imewafanya kushindwa kumaliza vita mapema.
Una dhani iwapo Urusi ingetumia kikosi kingine chenye uzoefu mkubwa wangeimaliza vita mapema tofauti na sasa?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Hatujui tuabariahe babaHujui kuwa Chechnya ni sehemu ya Russia!?
Hebu nitolee uzwazwa wako hapa hii mada imekuzidi kimo maana naona unaongea pumba tu hata.Acha hizi hoja mfirisi na ujinga usiokuwa na mantiki asee acha kutuletea mambo z aflela ulela acha mambo ya ajabu
Mzee umehamia kwenye matusi haya bye bye mkuuu!!Hebu nitolee uzwazwa wako hapa hii mada imekuzidi kimo maana naona unaongea pumba tu hata.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
The United States gave the "green light" to NATO countries to supply fighter jets to Ukraine.
The US has given the green light to NATO countries if they decide to provide Ukraine with fighter jets. It comes a day after Zelenskiy asked members of Congress to provide combat aircraft during a Zoom video call on Saturday.View attachment 2141429
Ww kuniita mjinga hujanitukana?Mzee umehamia kwenye matusi haya bye bye mkuuu!!
Aaah mmeanza tena pro Putin!!wadau nahisi vita inaweza hutumika kama sehemu ya kudampo silaha zilizopitwa na wakati. Mfano russia nikama anaifanya ukraine dampo la silaha walizochoka kuzitunza
Ikibidi wampige ban hata kuvaa sare zao😅The International Judo Federation announced the removal of Vladimir Putin and Arkady Rotenberg from all positions held in the IJF.
Earlier, the President of Russia was temporarily removed from the post of Honorary President and Ambassador of the International Judo Federation.View attachment 2141447
Hawa badala ya kutatua mzozo wao wanachochea kuni.The United States would approve Poland's transfer of military aircraft to Ukraine, Secretary of State Anthony Blinken said.
“This will get the green light,” he said.View attachment 2141394
Zile njemba ni hatari sana, islamic jihhad of CHECHEN.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi vita ni vigumu hadi Russia wameleta magaidi wa Chechnya kuwapiga jeki..
Ahsante kwa shule hiiWasingemaliza mapema ila ingekuwepo tofauti kidogo. Kwanza tatizo la air cover haijalishi una battle hardened troops watapigwa tokea angani, supply problems watakuwa nazo vilevile ila watajitahidi kidogo sana kuzuia ambush.
Russia ilipeleka Airborne Assault Force yao (VDV) kuteka airbase ya Hostomel iliyoko Kyev ila hicho kikosi kikashindwa. Kulikuwa na battle kali sana ilikuwa majeshi haya mawili yanazidiwa kila upande kwa zamu. Sasa nikitafakari VDV ambao ni makomandoo na ni standby troops ila walifeli pale napata kuamini hata Urusi ingeleta vikosi vyenye uzoefu jeshini bado wangeteseka.
Marekani wana 82nd Airborne Division ambayo nimeisoma sana kwenye historia ya WW2, hii kwa sasa ina jukumu la kufanya military operation within masaa 18 tangu Marekani itangaze operations. Yani wanajeshi wanaweza kuwa club wanacheza mziki uko kwao, Marekani ikashtukizwa kuvamiwa labda tuseme kambi yake pale Djibouti ivamiwe na Wachina, wanajeshi wa 82nd wanakuwa Djibouti ndani ya masaa 18 washasafiri maelfu ya kilomita kwa kutumia strategic airlifters kama C-5 Galaxy. Wakati wanakufakufa ndio uko nyuma mipango inapangwa haraka, wanajeshi wa kawaida wanaitwa, makamanda wanapewa briefings na kujua namna ya kupambana. Hata Israel ina kikosi cha wanajeshi 10,000 hiki hata ivamiwe sasa hivi ndio kina uwezo wa kwenda kupigana blindly bila kujua nani kavamia na ana silaha gani. Sasa kikosi chenye high military readiness kwa Russia ndio hiyo VDV ambao walishindwa Hostomel. Spetnaz ni elite huwezi waleta kupigana frontline wale wanapewa mission sio operation ndefu hivi. Kwahiyo sishawishiki sana
"never interrupt your enemy when he is making a mistakes."Kama haya yameshaanza kufanyika basi mdogomdogo tayari intelijensia ya USA/NATO imeshafahamu Strength and Weakness ya Russia Kijeshi na huenda wameshajua mbona anapigika tu.