kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kifurushi kinachofuata kutakuwa na thamani isiyopungua 1 billion dollars..,bila shaka hizo NASAMS zitajumuhishwa[emoji1255][emoji1258]Ukraine will receive 8 NASAMS systems from the USA - Pentagon
USA simuoni akijaribu kuimaliza hii vita. Yeye anairefusha tu.Kifurushi kinachofuata kutakuwa na thamani isiyopungua 1 billion dollars..,bila shaka hizo NASAMS zitajumuhishwa[emoji1255][emoji1258]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mbona mkali,Mimi nimeuliza tu source ya hiyo taarifa ni nani?Hulazimishwi kuamini unaweza kuja na takwimu zako pia kuhusu hili!
Likishushwa bomu hapo,watakimbilia kuzuia scene kwanza,then wataita vyombo vya habari kuonesha namna shule ilivyopigwa!View attachment 2403847
Another video of placement of ukronazis at school
Nchi ipo gizani na uhalifu umeongezeka.alafu anakuja mtu kutoka kwa mtogole anasema kila kitu kipo sawa kama mwanzo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona ulitaka chanzo Cha habari kiwe RT labda ndo ungeamini iyo habari.., endeleeni kupoteza resources kwenye miundombinu huku mkiendelea kupoteza front line [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Let me answer you.the one pinch felt is europe.and US is the one get full benefits of proxy.Here we go ... Karibu tuongee ubongo..... Ndio maana nimeacha kureply na kucomment sana ..wengi tuna ama wanaenda na mihemko ... Karibu tujadili facts...
Lastly, as I Know Kiev ilikiri kupoteza 15% of the land.... Non came to say otherwise!?? Are we there!? So we stick to it..., Secondly whom one got the "pinch" of the sanctions!!? , Thirdly... Who benefits from this "trident" proxy war ...
NIMEKAAA PALEEE UKINIJIBU NTAJUA NAONGEA NA MTU WA UWEZO GANI KIAKILI... ASANTE. KARIBU
Lula kwenye hii vita atasimama upande wa Ukraine.Karibu tena lula
In Brazil, the president has changed.
Si ndio democrasia hiyo na uhuru tunahubiriwa na West.Watu watoe maoni yao, watu wachukue maamuzi yao bila kuingiliwa...mtu akitaka kujivua uraia ajivue tu.Ufaransa watu maandamano kila siku,Moldova....wakati wa Vietnam war Muhamed Ali aligoma kwenda vitani, aliprotest...na maandamano ya kupinga vita yalikuwepo.Wengi wanajitoa uraia wa Urusi ila hawataki kujitangaza sababu ya kuogopa umafia wa Putin... the guy can kill you popote utakapokimbilia.
Kifupi hii vita ishawagawanya warusi pande mbili.
Lula ni pro PUT INLula kwenye hii vita atasimama upande wa Ukraine.