Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Naweka utabiri hapa khakiv itakuja kuwa sehemu ya urusi siku zijazo
Naona kibarua cha kukomboa kherson kimeota nyasi ha ha ha ha
Israeli lazma ajibu mapigoNaona Iran kaamua kuingia vitani mazima
[emoji298]️
CNN: Iran to send 1,000 additional weapons to Russia for its war in Ukraine.
Iran is preparing to send around 1,000 additional weapons to Russia, including ballistic missiles and about 400 kamikaze drones, CNN reported, citing unnamed Western officials.
Kwenye hii picha kafanana na Czar Nicholas II, former emperor wa Russia. Kidogo niseme the return of Czar Niko wa pili 😊.View attachment 2404239
Only a complete and final victory of Russia in Ukraine is a guarantee against a global conflict, to which the west is pushing the world - Medvedev
[emoji23] Kuna watakao jiuliza hiyo picha ya nani... Ni yeye wadau sijachanganya picha ha ha!
Mkuu je ni kawaida yako kutoonyesha vyanzo vya habari zako?Share of Military budget of collective west in fight against Russia...
View attachment 2404233
[emoji95] Latvia na Estonia on top list [emoji23]
[emoji95] Total Military Aids up to date ni almost 86% ya budget ya Russia kwa mwaka 2022.
[emoji95] Yadaiwa pia kile west walichojichanga ni about 7.6 ya budget ya Ukraine. Kwa lugha nyingine ni kua Ukraine kakuzwa mara 7.6 ya alivyokua na matokeo ndio hayo tunayo yaona!
[emoji95] Kama wanasorodeka kiasi hiki dhidi ya nchi 1 "dhaifu" inayo tumia chips za refrigerator kutengeneza missiles zao kama wanavyo tuaminisha na ajabu nchi hiyo "dhaifu" inadai kua hiii ni just Special Military Operation hawapo vitani. How Real War will look like?
[emoji95] Eti "Destroy" Russia together my foot, so wanakiri ka umoja kao kanapambana kufa kupona na Russia au vepe!
Tuwakumbushe tu hawa wafatiliaji hatuachi kusoma between the lines! We know well mbivu na mbichi ziko wapi!
Maskini! Anatoa machozi kwa sababu amepata upinzani akijaribu kupora nchi nyingine? Haelewi dunia? Jamani mpeni bakuli aweze kukusanya machozi yake.Only a complete and final victory of Russia in Ukraine is a guarantee against a global conflict, to which the west is pushing the world - Medvedev
[emoji23] Kuna watakao jiuliza hiyo picha ya nani... Ni yeye wadau sijachanganya picha ha ha!
Bila mmarekani hiyo Russia unayoisifia isingekuwepo....Halafu mnajifanya vipofu wakati mchochezi wa hii vita anajulikana!
Hivi baada ya WW2,vita vingapi vimeanzishwa na Marekani bila sababu za msingi?Huko Iraq,US akiivamia kwasababu zipi?
US ndio mvuruga amani ya Dunia namba Moja duniani!
Ila anaenda kuunga mkono matendo mema ya wanaume kupumuliana migongoni.Jamaa kaamua kujivua uraia wa urusi Ili kupinga matendo ya kishetani ya fashisti Putin [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo mahakama ni kwa ajili ya kuwahukumu akina nan vile naomba tukumbusheZipo sheria za kivita mkuu that why ipo mahakama ya kusimamia makosa ya kivita
Daaah...[emoji298]BREAKING NEWS[emoji298]
US is not looking for a conflict with Russia, REALLY wants a negotiated solution to conflict in Ukraine - White House.
[emoji95][emoji3512] Who listens to these idiots, asubuhi wanazungumza hiki mchana kile. Look like all of them wana suffer from dementia... Wanasahau kabisa wanayo zungumza!
This guy is scarrier and dreadful than putin himselfView attachment 2404093
[emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️
Russia will not allow ANYONE to tear new regions away from it, and Russia will PROTECT people living in new regions - Deputy Chairman of Russian Security Council Medvedev.