Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,433
- 4,043
PUTIN KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA... anyway tumpe mda putinPUTIN amesema hivi vita vinavyoendelea nchini Ukraine haviwezi tena kutokana na misaada anayopewa Ukraine kutoka kwa nchi 120 elewa USA ina nchi 51 pamoja na Alaska ambayo Mpuuzi Russia alimuuzia . Hii ni pamoja na NATO .
Tunaomba source ya habri hiiPUTIN amesema hivi vita vinavyoendelea nchini Ukraine haviwezi tena kutokana na misaada anayopewa Ukraine kutoka kwa nchi 120 elewa USA ina nchi 51 pamoja na Alaska ambayo Mpuuzi Russia alimuuzia . Hii ni pamoja na NATO .
😄😄 Missing in action.About 7,000 of our soldiers are missing" - Anya Malar, Deputy Minister of Defense of Ukraine
View attachment 2405477
Source Ni : Trust me broTunaomba source ya habri hii
Kwa hiyo?????!!!!PUTIN amesema hivi vita vinavyoendelea nchini Ukraine haviwezi tena kutokana na misaada anayopewa Ukraine kutoka kwa nchi 120 elewa USA ina nchi 51 pamoja na Alaska ambayo Mpuuzi Russia alimuuzia . Hii ni pamoja na NATO .
Boss wenu Biden siku hizi anawasilimia nyie Wana NATO kwa salamu hiiMbona awali alisema atashambulia kila nchi itakayotoa msaada
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kama sio mateka anayetambulika basi atakuwa ameuawa lakini mwili haukupatikana ama kutambuliwa ama huyo mtu ametoroka mapigano... Are missing.. or have been killed
Haya mashindano ya hizi silaha za maangamizi ni hatarishi sana kwa uwepo wa Dunia yetu, yanaweza kuiunguza Dunia kama vile wale binadamu wa kale kabisa walivyoiunguza Mars yao, wakapotea wote - no records behind.View attachment 2405106
View attachment 2405107
China introduced a missile defense system similar to the Israeli Iron Dome, but immediately installed on a mobile chassis