Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani kuna paragraph umeongea Pumba eti Scotland ijitenge na Uingereza kwa mtutu wa Bunduki..

Pro Russia Mnaa kili Matope sana
 
Kwakuwa ni mawazo yako tena umeyatoa tu hapa Jamvini acha tuyaheshimu lakini hata ungekuwa na access ya kutoa ushauri kwa Putin angekushangaa sana maana kichwani kwake huo mpango haupo na wala haufikirii kamwe.
 
Hawa wanaume ndio wanaenda Valhalla kukabithiwa bikira zako kama sitini hivi kwa kila mmoja, halafu bikira zenyewe ukitoboa leo kesho inakuwa sealead tena. Ukae ukijua hakuna Gate pass bomba ya kwenda peponi kama kufia ukipigania ukweli.
 
Private Military company zipo na zina operate duniani kote
Ni legal hata kwa [emoji631] ukiwa na $500,000 unaanzisha kampuni yako

Kwa [emoji636] pia unafungua tu kama hela zipo ni kama security company ila hii ya jeshi ni mbinu zaidi na wanaajiriwa nje

Nakumbuka hata wale SAS wastaafu walipata kazi Iraq na walikuwa wanalipwa hela ndefu sana wakianzia na 5m sh kwa siku kwa mtu mmoja

Wajeda hao, ndio maana mnaambiwa huwa hatustaafu [emoji1] [emoji1787]
 
Kwahiyo unadhani ikitokea Vita ya nyuklia hayo masilaha yote ya nyuklia yatatumika?! Ni silaha chache tu ambazo zitatumika na mchezo utakua umekamilika maana silaha za sasa zina nguvu mara elfu ya zile zilizotumika wakati wa World war II.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…