Bila samahani - siangalii sana ITV. Kuna ubaya wowote?Samahani mkuu mbona unaongea kama yule reporter wa ITV nchini DRC
KGB habari yao sio ndogo hata hawa CIA na MOSSAD nao sio wakipolepole ila naamini wataja shtuka wazee wapo mgongoni na mchezo umeisha naamini mrusi anaenda na maji nina imani sana na muisrael kumrudisha yule waziriNdugu kufanya assasination ya kiongozi wa nchi sio rahisi. Tena kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi.
Usidhani hii ni Congo ambapo Wabelgiji na Wamarekani CIA walipoona Patrice Lumumba hawasikilizi wakatoa order apotezwe kwenye ramani wakamuua kikatili wakishirikiana na Mobutu Seseko wakamchoma kwenye acid na kubakiza jino lake moja walilolirudisha majuzi apa!!!
Sio rahisi mkuu. Kwanza unaijua KGB au FIS..asee
Kwa kukadiria asilimia 90 ya viongozi wa Russia wanamsapoti Putin na huwezi kumkaribia hivi hivi tu.
Tuishi humu
Fahali wawili wanapopigana nyasi ndo zinaumia.
Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini!!!
Ndo maana USA na miguvu yake alipopeleka uso pale Vietnam peke yake alipigwa ngumi moja ya ndoige akarudi damu zinavuja puani
Anajuta sana! Hivi kwa utaratibu huo alio kua ameanza inaamana baada ya muda ukrain ilikua inafutika kabisaYap! Russia inahitaji rais mwingine. Akili za Putin hazikumwezesha kujua kwamba ukila na kipofu usimguse mkono. Mrussi Alijitwalia mikoa 4 kiulaini na Zele akajinyamazia tu-kapotezea lakini sasa Mruss akajisahau na kukiuka ule msemo "Ukipewa shubiri Usichukue pima" na akataka kujiongezea mikoa mingine akidhani kwamba jamaa(Zele) ataendelea kukaa kimya au kupotezea kama mwanzo. Dah! Kumbe hapo ndipo alibugi step. Sasa Inakula kwake Mrussi. Hakuna rangi ataacha kuona.
........Kwa kukadiria asilimia 90 ya viongozi wa Russia wanamsapoti Putin na huwezi kumkaribia hivi hivi tu.Ndugu kufanya assasination ya kiongozi wa nchi sio rahisi. Tena kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi.
Usidhani hii ni Congo ambapo Wabelgiji na Wamarekani CIA walipoona Patrice Lumumba hawasikilizi wakatoa order apotezwe kwenye ramani wakamuua kikatili wakishirikiana na Mobutu Seseko wakamchoma kwenye acid na kubakiza jino lake moja walilolirudisha majuzi apa!!!
Sio rahisi mkuu. Kwanza unaijua KGB au FIS..asee
Kwa kukadiria asilimia 90 ya viongozi wa Russia wanamsapoti Putin na huwezi kumkaribia hivi hivi tu.
Tuishi humu
Fahali wawili wanapopigana nyasi ndo zinaumia.
Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini!!!
Haswa ndiyo lengo lilivyokuwa. Ingeweza kubaki ni Ukraine lakini Ukraine ya Urussi au tuseme ni jimbo mojawapo katika majimbo yanayounda Taifa moja la Urussi.Anajuta sana! Hivi kwa utaratibu huo alio kua ameanza inaamana baada ya muda ukrain ilikua inafutika kabisa
Mbona akili ya Putin mnaichukulia kawaida sana! Hizi ni akili za kina Muhoozi wa UgandaHuyu mzee vipi tena? Hii si SMO jamani?
Putin signs law to mobilize Russian citizens convicted of serious crimes
By Uliana Pavlova, CNN
Published 9:41 AM EDT, Sat November 5, 2022
Russia is recruiting convicts from prisons to fight the Kremlin war in Ukraine
05:34 - Source: CNN
CNN —
Russian President Vladimir Putin has signed a law to conscript citizens with unexpunged or outstanding convictions for murder, robbery, larceny, drug trafficking and other serious crimes under the Criminal Code of the Russian Federation to be called up for military service to mobilize.
This makes it possible to mobilize hundreds of thousands of people who have been sentenced to probation or have recently been released from colonies who were previously forbidden to serve.
Serious waanze hao wanaopigana huko Ukraine na Urusi...Ukisoma baadhi ya comments za wadau humu, dah! Kungekuwa na uwezekano kwamba ukishaingia tu kwenye nyuzi za JamiiForums unaanza kusikia sauti za watu kwenye mjadala, sijui ingekuwaje!
Kuna mdau mmoja anasema kwamba Russia ni jambazi na Ukraine ni mvamiwa. Kwamba Ukraine kama mvamiwa inampasa kutii maagizo ya jambazi ili asiuawe kwa maana pesa inaweza kutafutwa ila uhai ukipotea haurudi.
Kama una sense of humor, lazima utajikuta unaangua kicheko, na utajikuta unashangaza ama unakera watu walioko karibu yako.
Mimi nina swali moja tu: je, utajuaje kama nia ya huyo jambazi ni pesa tu? Je, utafanya nini kama huyo jambazi ana kusudi kamili la kukuua, ama vyote viwili (pesa na uhai wako)?
Wengine wanatumia maoni ya mtu kama Elon Musk kwenye mijadala ya geopolitics. At least, ni sahihi kumtumia Musk kwenye mijadala ya tech. Huku kwingine amekuwa akitafuta attention tu, kisha baadaye anaibuka na kubadili kauli ama anaishia kusema anashambuliwa na "bots" mtandaoni.
Tuweni serious!
Mimi nina swali moja tu: je, utajuaje kama nia ya huyo jambazi ni pesa tu? Je, utafanya nini kama huyo jambazi ana kusudi kamili la kukuua, ama vyote viwili (pesa na uhai wako)?Ukisoma baadhi ya comments za wadau humu, dah! Kungekuwa na uwezekano kwamba ukishaingia tu kwenye nyuzi za JamiiForums unaanza kusikia sauti za watu kwenye mjadala, sijui ingekuwaje!
Kuna mdau mmoja anasema kwamba Russia ni jambazi na Ukraine ni mvamiwa. Kwamba, Ukraine kama mvamiwa inampasa kutii maagizo ya jambazi ili asiuawe kwa maana pesa inaweza kutafutwa ila uhai ukipotea haurudi.
Kama una sense of humor, lazima utajikuta unaangua kicheko, na utajikuta unashangaza ama unakera watu walioko karibu yako.
Mimi nina swali moja tu: je, utajuaje kama nia ya huyo jambazi ni pesa tu? Je, utafanya nini kama huyo jambazi ana kusudi kamili la kukuua, ama vyote viwili (pesa na uhai wako)?
Wengine wanatumia maoni ya mtu kama Elon Musk kwenye mijadala ya geopolitics. At least, ni sahihi kumtumia Musk kwenye mijadala ya tech. Huku kwingine amekuwa akitafuta attention tu, kisha baadaye anaibuka na kubadili kauli ama anaishia kusema anashambuliwa na "bots" mtandaoni.
Tuweni serious!
Nimeuliza swali dogo tu!Serious waanze hao wanaopigana huko Ukraine na Urusi...
Nadhani hukusoma Fasihi...maana ungejua tamathali za semi na vipengele vyake.
Kwa hio mtu akisema fata nyuki ule asali na wewe utaenda kichwa kichwa?
Wewe unadhani Ukraine inavofanywa sasa hivi angekubali kuachana na mpango wa kujiunga NATO na kushirikiana na USA mpakani mwa Urusi hao warusi wangevamia?
Warusi wamevamia kujihami ila hio vita ingemalizwa kidiplomasia kama wangekua serious
Nia ya Urusi inajulikana
Hataki mpakani mwake USA na NATO wake wamkaribie
Ukraine anajifanya anajua sana kawaalika wakae kwake na kumtishia mrusi uhai wake na ndio maana urusi ikachukua sheria mkononi
ALL IN ALL
The country is being destroyed to dust
Na Zelenski na mkewe wanapiga picha za majarida na kuishi vizuri tu
Wanaopata shida ni wananchi wa kawaida na nchi itachukua mda mrefu sana kurudi kawaida.
Huyo Zelenski angeweza kuzuia haya kama angeachana na wamarekani.
Sikio halizidi kichwa na Ukraine haezi kamwe kumtunishia misuli mrusi (huu ndo ukweli usiopingika) akifanya hivyo basi ndo ujue huyo jamaa anayepigana na jambazi sugu liliochoka maisha
Litamchoma bisibisi na kumkata mapanga...anaeza kulinda hizo mali anazogombea lakini kwa gharama kubwa sana ...hayo majimbo si ndo wanataka kujitenga na ukraine ata ivyo?? Why loose your limbs for someone who doesnt even want to be with you?
Think!
........Kwa kukadiria asilimia 90 ya viongozi wa Russia wanamsapoti Putin na huwezi kumkaribia hivi hivi tu.
Hili mbona lipo wazi? yan huwezi kuwa mteule wa rais halafu usimwunge mkono rais aliyekuteua ule mema ya nchi na utawala wake. Kwa hiyo ukisema 90% ni sahihi. Lakini Kumbuka wananchi ndio wenye nchi. Rais asipoungwa mkono na Wananchi atapata shida sana katika Utawala wake. Itabidi atumie nguvu za ziada ili aendelee kuwepo. Putin amesababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara wakubwa wa nchini kwake, Shughuli nyingi mawizarani na Taasisi nyingine za utoaji wa huduma zimezorota. Katika hali hiyo, Muathirika mkubwa zaidi ni Mwananchi tena yule wa chini. Je, atamsapoti Putin? Si ni kila siku atakuwa akimwombea Putin yamkute mabaya i.e. aondoke madarakani?
Jibu jepesiNimeuliza swali dogo tu!
Je, utajuaje kama nia ya huyo jambazi ni pesa tu? Je, utafanya nini kama huyo jambazi ana kusudi kamili la kukuua, ama vyote viwili (pesa na uhai wako)?
Nami pia nimetumia fasihi vilevile!
Sasa, nauliza swali hilohilo directly.
Wewe umejuaje kuwa nia ya Urusi ni NATO kutomkaribia pekee? Je, Ukraine ifanye kitu gani kama nia ya Urusi ni zaidi ya hicho ukijuacho?
Sisi wengine tulioko nje ya vita ukiwemo wewe, unaweza kuwa na uchungu na Ukraine kuliko wananchi wenyewe wa Ukraine waliomchagua huyo Zelenskyy kuwa rais wao?
Hàkuna kitu hapo huyo waziri.Zile KAMIKAZE zinazozurura huko mpaka wazipige kwa fimbo hawana air defense?KGB habari yao sio ndogo hata hawa CIA na MOSSAD nao sio wakipolepole ila naamini wataja shtuka wazee wapo mgongoni na mchezo umeisha naamini mrusi anaenda na maji nina imani sana na muisrael kumrudisha yule waziri
Kwahiyo, pointi ya msingi ni kuwa tayari kujitetea kwa lolote, sio?Mimi nina swali moja tu: je, utajuaje kama nia ya huyo jambazi ni pesa tu? Je, utafanya nini kama huyo jambazi ana kusudi kamili la kukuua, ama vyote viwili (pesa na uhai wako)?
Kwanza ni lazima/sharti ujue huyo jambazi hajaja hapo kwako kukusalimia. Tambua kwa uhakika kabisa kwamba wewe sio ndugu yake. Elewa hajafika hapo kwako kwa bahati mbaya. Ana lengo.Utalitambua lengo lake kwa kusikia kile anachokuamuru (hakuombi) ufanye. Akikuamuru lala chini sharti utii chap. Lakini na wewe lazima umsome kwamba kwa hali alokuja nayo (yuko single au kundi, ana silaha gani n.k.) na lengo lake unaweza kujitetea? Wewe una nini karibu unachoweza kukishika kukitumia... Ukiona unaweza kujitetea na unammudu - Chap unaliamsha.
kwanin yeye aone halal kuvamia nchi iliyo huru kiutawala ila asione sawa nchi aliyoivamia kupewa msaada?Mkuu hakuna nchi isiyoomba msaada duniani hata usa aliomba allied kumshambulia Iraq ila hili la kupandishiwa na Biden ni tofauti kabisa Rais kumkaripia Rais au wewe umeona ni sawa tu hilo
Au hii Habari ilikupita
sasa kwann yeye anaona haki kuvamia nchi ya watu na kuua , kuiba na kubaka raia wema ila kwann aone uchungu meli zake kulipuliwa tena zikiwa katika eneo ambalo sio lake analikalia kimabav , Aache kulia kulia , ukorof aliutaka mwenyewBalozi wa uingereza nchini Urusi aliitwa wizara ya mambo ya nje ya urusi na kukabidhiwa ushahidi wa jinsi Uingereza ilivyohusika kwenye jaribio la kushambulia kituo kikubwa cha meli za kiviuta cha Urusi kilichoko Crimea!! Hadi leo Uingereza imekaa kimya imeshindwa hata kukanusha kama ilivyokuwa inakanusha kabla ya kukabidhiwa ushahidi!!
Naam.Kwahiyo, pointi ya msingi ni kuwa tayari kujitetea kwa lolote, sio?
jiuliz kwann China hatangaz hadharan kupeleka silaha kwa warusi waliovamia UkraineHivi unafahamu kwa nini mpaka leo Israel haijaungana na mataifa ya Israel kutoa silaha kwa Ukraine au kusapoti vikwazo dhidi ya Urusi? Uliza uambiwe!! Zelensyky amneililia sana Israel impe defense system yake lakini ikamtolea nje!! Kwa habari ya Urusi na Israel Urusi ameshika kwenye mpini na Israel kwenye makali katika uwanja wa vita kwenye anga la Syria!!