LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kuna ndege, us tech, na meli na askari wa kisiri siri wachache ndio.. ila sio wanaofanya mashambulizi ardhini.. ground combat

Hata hao wanaofanya mashambulizi ardhini wapo lakini kama NATO forces!
 
Hivi wewe kweli unaamini hakuna askari wa kimarekani ndani ya UKRAINE? Wamerekani hawawezi kusema openly kuwa askari wao wako ndani huko! UKRAINE wasingeweza kumdindia Putin namna hiyo peke yao mpaka sasa
Marekani hawezi kupeleka askari wake kuchinjwa. Lazima ahakikishe wana vifaa, silaha na kila kitu kwa vya quality ya jeshi lao.
 
Huu uzi unatembea sana. Nyie warusi na wa NATO wa jf mnajitahidi kuleta updates.
Watanzania wengi hatuna akili za kujifanyia maendeeleo, tunapoteza muda mwingi kubishana Yanga na Simba.

Vita tushaigeuza Yanga na Simba, tubishane tu, hatuna akili za kijifanyia ya maana.

Digital world imetutoa kwenye kubishana vijiweni imetuingiza kwenye kubishana viganjani. Kazi Iendelee.
 
Marekani hawezi kupeleka askari wake kuchinjwa. Lazima ahakikishe wana vifaa, silaha na kila kitu kwa vya quality ya jeshi lao.
Wako hapo jirani tu,mda si mwingi mziki utaanza.

Mrusi anajua ndo mana kaanza kuomba poo.

Ukraine hana ubavu kupambana na Mrusi,ye ni chambo tu.

Mda si mwingi NATO wakiongozwa na US watamvaa Putin na kumsindikiza mpaka kijijini kwao.
 
Kigamboni hawana kambi USA
 
Nchi tajwa Hapo ,wengi ni magaidi wanauana wao kwa wao.Ukreini wanapambana na adui aliyetoka nje !

Hujui ulijualo eti magaidi ndio ulivyodanganywa hivo na media hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…