Kuna ndege, us tech, na meli na askari wa kisiri siri wachache ndio.. ila sio wanaofanya mashambulizi ardhini.. ground combat
Hata hao wanaofanya mashambulizi ardhini wapo lakini kama NATO forces!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ndege, us tech, na meli na askari wa kisiri siri wachache ndio.. ila sio wanaofanya mashambulizi ardhini.. ground combat
Marekani hawezi kupeleka askari wake kuchinjwa. Lazima ahakikishe wana vifaa, silaha na kila kitu kwa vya quality ya jeshi lao.Hivi wewe kweli unaamini hakuna askari wa kimarekani ndani ya UKRAINE? Wamerekani hawawezi kusema openly kuwa askari wao wako ndani huko! UKRAINE wasingeweza kumdindia Putin namna hiyo peke yao mpaka sasa
Yani putin, jeshi la urusi na KGB hawajui ila wewe unajua kaka? 🙆Hili linaelekea kuwa lina ukweli kabisa, Putin anapigana na NATO bila kujijua kupitia wale waliojifanya ni Volunteers ama veterans sema tu hawajajitangaza rasmi...
Kuivamia Marekani? Lini? Kwa kutumia nini? Kwa jeshi gani?Osama Bin Laden aliweza lakini
.
HahahaStory za Kusimuliwa
Tunaongoza 🥳🥳Tusiposhangilia ulitaka tufanyaje:
Hatuna huwezo wa kuathiri maamuzi ya Marekani, Umoja wa Ulaya, Uchina Wala Urusi...
Kwani siyao bhanaWatumie tu
Watanzania wengi hatuna akili za kujifanyia maendeeleo, tunapoteza muda mwingi kubishana Yanga na Simba.Huu uzi unatembea sana. Nyie warusi na wa NATO wa jf mnajitahidi kuleta updates.
Wako hapo jirani tu,mda si mwingi mziki utaanza.Marekani hawezi kupeleka askari wake kuchinjwa. Lazima ahakikishe wana vifaa, silaha na kila kitu kwa vya quality ya jeshi lao.
Ukiona picha za majeshi ya America kule Afghanistan, Iraq Syria n.k ni zaidi ya hii pichaInaumiza sana ila hakuna haja ya kuangalia kwa muda mrefu ikiwa una machozi ya karibu au hisia za aina yoyote...
Tunaongelea Russia na Ukraine mkuu, although kuna kitu nataka tuelewe.Ukiona picha za majeshi ya America kule Afghanistan, Iraq Syria n.k ni zaidi ya hii picha
Kudhalilika=Kudharilika.Kudharirika ❎ , Kudhalilika✅
Rucifer ❎, Lucifer ✅
Kigamboni hawana kambi USAMkuu,Marekani ana Military base Rwanda.Hapo Chagos jirani yetu ipo kubwa sana.
Mauritania ipo.na Kigamboni.
Ya Djibout ni kwaajili ya Waarabu huko Iraq.
Kwahiyo wanachagua tu kikosi kikapige wapi kutokana na umbali.
Huko saa hii vyombo ndio vinapelekwa.
Mrusi anaona kama amemaliza vita.
Jamaa NATO ndio kwanza wanajiandaa.
Wako hapo Poland wanafunga mitambo.
Baada ya hapo utaskia mziki wake huyo Putin aandae makao mapya.
Nchi tajwa Hapo ,wengi ni magaidi wanauana wao kwa wao.Ukreini wanapambana na adui aliyetoka nje !
zipo wapi mbona hukuanzisha uzi wako kama unazo ????weka hapa tuone..Ukiona picha za majeshi ya America kule Afghanistan, Iraq Syria n.k ni zaidi ya hii picha