Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
nlipoona unasema Urusi nzima itakuwa imezungukwa na NATO nkasema humu hamna akili baba , yaan.hujui hata mipaka ya Urusi na Wap NATO inaishia , halaf upo hum kukaza fuvu kuongea ujinga eti Ukraine yalifanyika mapinduz , hata kama yalifanyika mapinduza yanamuhusu nn Urusi , mbona Ukraine hajajihusisha na mauaji ya wapinzan huko Urusi ? Nenda ka update akil yako bdo ndog sana , unacholishwa unakuja nacho bila kupembua kwa akili yakoHuyo poroshenko aliingiaje madarakani ndo ujiulize.
Anyway wewe unataka tu ubishi na unakataa facts.
Tukubali kutokukubaliana
baba Huna akili , Swala la Urusi kutotaka kuwa krb na NATO inabid awe anaishi na majiran vzr sio kulia kulia hlf anawavamia majiran na kupora ardhi zao wkt anajua mlango wa pili yupo adui yake , unaponivamia na sina uwezo wa kukukabili unategemea nn , acheni uchizy tumieni akili zenu vzr sio kushabikia bila reasoningShida ya mrusi kuwa karibu na NATO ni ya mda mrefu sana
Ukumbuke Urusi wana mlengo wa ujamaa na huku NATO ni ubepari.
Hii milengo haiwezi kupatana hata siku moja.
Ndo maana baada ya vita ya pili ya dunia kulikua na COLD WAR.
Ndo maana NATO wanamkaribia Urusi na Urusi hataki kuwa karibu nao.
Ukifatilia historia utajua zaidi
Mfano miaka ya 1960's Urusi alitaka kuungana na Cuba aliye karibu na USA. Na kama wangeungana basi angeweka mitambo yake ya mabomu Cuba kama vile ambavyo NATO hufanya baada ya kuwa nchi ni mshirika.
Marekani waliwehuka na kuwa vichaa. Ilikua ni mgogoro mkubwa sana
Jiulize kwa nini Marekani hakutaka Cuba ajiunge na Urusi ndipo utakapojua kwa nini Urusi kafanya aliyofanya iwe sawa au isiwe sawa hizo ndo facts ukizikataa ni kwa hasara yako mwenyewe
Mkuu unaishi dunia gani??? "Ukraine asingepigana Vita" ????? Urusi ilianza kushambulia mji mkuu, walishindwa wakapaswa kurudi (baada ya kuacha milima ya maiti za watu raia) - kwa nini Ukraine isingejitetea???Washajua kushindana na urusi hawawezi, mwanzo walisema hakuna mazungumzo mpaka urusi itoke kwenye maeneo aliyoyachuchukua Kwa nguvu lakini Leo wanasema wanamuachia Ukraine achague mwenyewe, hii kauli ingesemwa toka mwanzo Ukraine asingepigana Vita,
Ila urusi ina matakwa yake kwamba maongezi yote yasihusishe maeneo mapya yaliyojiunga na Russia
ndo ujiulize kwann Urusi haez pata ushawish bila mtutu ila wenzake hawatumii mtuu , swala la LIBYA ni vichaa tu ndo mtawalaumu wazungu wkt nyiny waafrika wenzake mlikuwa kimya na kibaya mlifurahia anguko tena hasa hao majiran zake , pia Iraq waasia walikwua kimya wote ina maana hayo mataifa yote yameangushwa na dunia nzima maana mliwaacha pekee na mnataka na Ukraine pia tuwaache pekee yao nyiny ni viumbe gan hamuwez ku evolve , hata zinjanthropus ali evolve , kila siku mnataka tubakie na kasoro zile zile tukiwaita MASOKWEHH tutakuwa tumekosea ?Weka Iraq,Libya,Vietnam na Afgahanistan bhana.
Usiweke vilainishi
Sasa nan aliivunja kama sio Urusi mwaka 2014 baada ya kuivamia na kupora Crimea , nyiny watu kichwan ni sifur hamna tofaut na mazombie mkilishwa matango hamumeng'enyi na akili zenu kubeba tu kama ilivyoUnajua Vizuri kuhusu Minsk agreement??
baba Huna akili , Swala la Urusi kutotaka kuwa krb na NATO inabid awe anaishi na majiran vzr sio kulia kulia hlf anawavamia majiran na kupora ardhi zao wkt anajua mlango wa pili yupo adui yake , unaponivamia na sina uwezo wa kukukabili unategemea nn , acheni uchizy tumieni akili zenu vzr sio kushabikia bila reasoning
And those who were seen dancing were thought to be insane by those who could not hear the music.
Friedrich Nietzsche
Je USA aliivamia Cuba ? kama anavyofanya URUSI pili hiyo haimpi Urusi kuvamia Ukraine , maana Urusi kaanza kuwaonea majirani zake tangu zaman sana hata kabla ya uwepo wa NATO , mwaka 1940 Stalin anafanya mauaj ya kimbari huko Ukraine , tuambie na hii pia ilikuwa kujibu alichofanya USA huko CUBA au libya au Iraq , Somalia ? tunakemea sio kwavile tunaunga mkono uchafu ww west bali tunakemea sabab hii tabia inazid kukuaa kesho China nae atafanya hv hv atadai mbona Urusi mliwaacha wavamie UkraineUkitaka kujua kwa nini anaogopa, Kasome “Cuban missile crisis” .. ambapo Cuba ilimualika Russia na Silaha zake. USA hakukubali na Ali kosa Amani kabisa. Mpaka wakaingia kwenye mgogoro
hii inampaj Urusi uhalali wa kuvamia Ukraine ? mnakosea kisa USA ilikosea ,USA ndo kipimo cha makosa , taifa lisilojitambua kama hili lisilotambua mazur na mabaya mpk USA wafanye , taifa la hv linaeza kuwa SUPERPOWER ? au ndo kutaka kuvaaa boxa ya Big Ross kwny mwil wa Dr ShikaMbona Amerika iliogopa wakati Cuba ilipokuwa karibu na Russia na Russia kuweka makombora yake ya nuclear?
Unadhani ni kwa nini?
Vipi kama Russia akiweka makombora yake ya nuclear Mexico unadhani Amerika itakuwa tayari kuvumilia hilo?
Anashindwa nn kupeleka kama aneza wavamia majiran bila sabab na anategema majiran wabakie Neutral , uzombie wenu huu upo muda mtakuja jicheka wenyewWanajizima data vijana wa Hollywood. Kila Superpower anaogopa Preemptive strike inayotokea jirani Kwani Response time inakuwa ndogo sana.
Imagine Russia akaweke Nukes zake Mexico zielekee USA.
Hawatalala waaHollywood yaan
NARUDIA TENA BABA ZIFUATE AKILI ULIPOACHA , niambie Mwaka 2014 baada ya Urusi Kupora Crimea taifa gan lilikuwa limepanga kupeleka nyuklia Ukraine na taifa lipi lilikuwa kwenye misuguano na Urusi , au mwaka 2008 Urusi alipoivamia Georgia na kupora jimbo moja , je ni taifa gan la magharibi lilikuwa lina mgogoro na Urusi ? Tuliupinga ukaburu wa SA leo hii waafrika mnautetea ukaburu wa Urusi dhidi ya majirani zake , Urusi ndo taifa pekee lenye makoloni ndan ya Ulaya mpk sasa hv hlf nyiny wahanga wa ukolon leo hii mnashabikia taifa la hv , TUKIWAITA MAZOMBIE MNATUKANA WKT NDO AKILI ZENU ZIPO IVO , MAKOSA YA MAGHARIBI SIO KIPIMO CHA KUSEMA LIPI TUFANYE NA LIPI TUSIFANYE , NI UKICHAA KUUA SABABU MAGHARIBI WALIUA PIAMtu yoyote anayekejeli wengine ana asili ya dharau na hasira zisizo za msingi.
Ndugu embu toa maoni yako kuhusu mgogoro wa makombora wa Cuba miaka ya 1960's ambayo USA hakutaka Mrusi awe karibu yake
Kama Cuba alitaka kujilinda na kuamua kushirikiana na Urusi kwa nini hakuachwa afanye anavitaka na Marekani walipinga vikali.
Hawa Capitalists na Communist ni maadui wa milele hawawezi kuwa majirani
Ndo maana urusi haez kukubali nato wawe mlangoni mwake maana wale ni wazee wakuchukua nchi za watu
Ndo maana unaona hao West Europe walizunguka dunia nzima kunyanganya ardhi...Africa ikigawanywa kwa hao NATO huku USA wakija kuchukua watumwa kwenda kutumika huko America
Hawa wa ulaya wametawala kwa mabavu dunia nzima na Urusi hataki hayo yamfikie
Vita zote za dunia zimeanzishwa na NATO na Marekani huwa anakuja kumalizia kazi.
Hawa NATO asili yao ni uhaini na ufisadi huwa ni kweli wanatumia uongo na hadaa kutawala wengine
Ndo maana waliwapa waafrika pombe na nguo ili wasaini mikataba kuwa makoloni yao
Na ndo wanatumia hio mikataba kuungana na hizo nchi ndogo za ulaya huku wakimfata mrusi.
MRUSI anaeza kuwa kakosea
Ila unapodili na watu wa aina hio sidhani kama alikua na option ingine
Watapigana ila mwishoni wote watapata hasara.
THERE IS NO ONE WHO IS RIGHT IN A WAR ONLY WHO IS LEFT!!!
Wananchi wameshachoshwa wameona vikwazo vimesababisha maisha magumu, wamekua wanashinikiza serikali zao kuachana na ufadhili wa vita Ukraine.