Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Alisikika Gaidi Zelensk baada kubanwa kwa kipigo Cha paka mwizi toka kwa Wanajeshi wa Russia View attachment 2411545
Supapawa namna gani tena. Sasa wamlete jenerali nani maana huyu lipualipua wa miji kaamua kuhamisha vikosi kujibanza upande mwingine wa Dnipro. Ukraine ilivyotangaza shambulizi supapawa wanakimbia sasa
 
Himars zinasogea zaidi, maana yake hadi sasa majimbo 2 yamerudi Ukraine
Donesk nayo inarudi any time soon
Hawaondoki Kherson nzima, wanaenda Western bank ya Dnipro. Ingekuwa vigumu kwao kufanya supply kuvuka mto, na itakuwa vigumu kwa Ukraine kuvuka mto kurudisha eneo hilo. Na bado Russia wana defensive lines hapo walipojibanza kama kundi la wanamgambo kumbe supapawa uchwara
 
Na uhakika wa wao kuvuka mto ni mdogo sababu ukraine inaendelea washambulia.
 
Mkuu, kheson city centre si Iko mikononi mwa ukraine,?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwasababu ndio uloiongelea hapo MKUU namie nikataka kujua kuhusiana na hio tuuu
Huko kwengine najua KHERSON MAURIOPOL zimeanza shule kwamtaala wa RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na mitaala ya shuleni mshapeleka
20221106_231623.jpg
 
Hawaondoki Kherson nzima, wanaenda Western bank ya Dnipro. Ingekuwa vigumu kwao kufanya supply kuvuka mto, na itakuwa vigumu kwa Ukraine kuvuka mto kurudisha eneo hilo. Na bado Russia wana defensive lines hapo walipojibanza kama kundi la wanamgambo kumbe supapawa uchwara
Nimesikia mshauli wa rais wa Ukraine akisema kuwa bado Urusi hajaondoka kherson na Ukraine haiwezi kuingia kwenye mtego wa kijinga ulitegwa na Urusi.
 
Na uhakika wa wao kuvuka mto ni mdogo sababu ukraine inaendelea washambulia.
Mambo ya kuvuka mto wasahau. Lile ni jeshi dogo sio China ile. Ukishaona jeshi linajenga defensive lines kuweka trench, pillboxes na anti tank ditches ujue hilo ndio underdog. Halina ndoto ya kusogea mbele bali kulinda kilichopo
 
Ila Mimi nahisi huu utakua ni mtego. Na Ukraine hawezi kujinasisha kijinga hivyo.
Kama ingekuwa mtego isingetangazwa officially na waziri wao wa ulinzi.., waziri wa ulinzi kutangaza kwamba majeshi yamejiondoa sehemu flani kumbe ni mtego.., sidhani kama hiyo inawezekana [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya kuvuka mto wasahau. Lile ni jeshi dogo sio China ile. Ukishaona jeshi linajenga defensive lines kuweka trench, pillboxes na anti tank ditches ujue hilo ndio underdog. Halina ndoto ya kusogea mbele bali kulinda kilichopo
Inasemekana kuna wanajeshi zaidi ya 20,000 hapo kherson, hivyo artillery za ukraine zinafanya kazi sana hapo kwenye huo mto. kuna uwezekano mkubwa wengi wasivuke.

Nimeona Mauripol wameanza weka defence kwa kuchimba na kuweka pyramids
 
Back
Top Bottom