Russia kila anaposhindwa huwa anakuja na hizo 'tactical reasons' hata kule mji wa Lyman alikuja na hizi hizo sababu.Hakuna jipya sisi tunajua kakimbia.Russia mwameelezea tactical reasons za kusogea pembeni.
Kijeshi imeeleweka ila kwa wanazi wanaassume wameshinda vita.
Vita ina moves nyingi.
Let’s see
Sasa supply kuharibika si ndiyo kushindwa kwenyewe au unadhani alipenda ziharibike.Kashindwa vita au kaondoka Eneo hilo kuepuka maana ya Bwawa la maji??…
Ameswitch frontline mzee.
Sababu nyingine ni Supply lines zimeharibika.
Basi Sawa Ukraine wameshinda vita
Mizigo iliyotumwa hivi karibuni kutoka US, Norway nk zinatosha sana kwa ulinzi wa anga la Ukraine hao Izrael kwanza hakuna nchi inaitwa Israel history inaitambua Palestine kama nchi, Izrail ni mavamizi tu kama hao kina putinWaziri wa Ulinzi Benny Gantz alisema Jumatano kwamba Israeli haiwezi kusambaza mifumo yake ya ulinzi wa anga kwa Ukraine kwa sababu haina uwezo wa kutosha wa uzalishaji wa ziada.
Hii ni mara ya kwanza kwa mamlaka ya Israeli kuja na maelezo kama hayo kwa kukataa vifaa vya kijeshi kwa Kyiv.
Hapo awali, msimamo wa Israel ulielezewa na nia ya kutoegemea upande wowote katika mzozo huo kwa hofu kwamba uwepo wa Urusi katika nchi jirani ya Syria ungeathiri usalama wa nje wa Israel.
"Ni wazi, hata kama tutaamua kubadilisha sera yetu [ya kusambaza silaha kwa Ukraine], haiwezekani kufuta hifadhi zetu za mifumo ya ulinzi wa anga," Gantz alisema.
"Tunaangalia kila siku nini kifanyike na jinsi gani tunaweza kupanua usaidizi wetu, lakini hatupaswi kusahau kwamba Ukraine inaungwa mkono na NATO." "
Israel imekuwa ikiipatia Ukraine misaada mikubwa ya kibinadamu, ikijumuisha utoaji wa madaktari wake na vifaa vya matibabu vya uwanja wa kijeshi. Siku ya Jumatano, Benny Gantz alihakikisha kwamba usaidizi huu utaendelea.
Mtasubir sana na hiyo mitego yenu ya kimandongaUzi utaenda Kasi kesho ngoja usiku huu tumalize kazi kwanza maana mtego wa panya umewekwa.
Tukubaliane kuwa upo sahihi,sasa je katika yale majimbo 5 yaliyochukuliwa na Russia mangapi mangapi mmisha yakomboa??Nawashangaa sana Pro Russia wanaojichekesha eti Ukraine ataingia mtego wa Russia awe fooled. Wote wanaoamini hivi ni wapuuzi tu na wasiofuatilia mambo.
Kwanza katika upande wenye Intelligence kubwa katika hii vita basi ni Ukraine sababu anasaidiwa na partners wake ambae ni manguli wa intelligence. Kina Us, Uk Canada na Nato wote hao wakipata taarifa wanawapa fasta incl option on what to do. Bado kuna jirani zake hao kina Poland wanapata za field kabisa wanafikisha taarifa.
Sasa yeye Ru anategemea nani? Iran, N.korea? Hao wote wachovu sanasana ni yeye anahangaika mwenyewe ndio maana unaona Tangu vita ianze akijisahau kidogo tu anapewa pigo takatifu watu wanatulia wanamsikilizia anakurupuka kurusha makombora hovyo kama kichaa.
Endeleeni kusubiri huo mtego mliotega mtaona matokeo yake.
Mkuu kwani hiyo Kherson imerudishwa kuwa sehemu ya Ukraine?"Kherson will be Russian forever" - Putin
Well forever lasts only a month in Putler's mind[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa una ndoto weshindwa kuirudisha hiyo cremea toka 2014 na wameshindwa kurejesha hata jimbo 1 kati ya yale 5 Leo ndio wataweza kurudisha cremia.Kiukweli ukraine inafanya vema ila bado mziki upo upande wa pili wa kherson uliotebganishwa na dnipro river ,hapo ukraine akishinda bas crimea itakua mikononi mwa ukraine.Mungu barik Ukraine katika hii vita ngumu
hao Izrael kwanza hakuna nchi inaitwa Israel history inaitambua Palestine kama nchi, Izrail ni mavamizi tu kama hao kina putinMizigo iliyotumwa hivi karibuni kutoka US, Norway nk zinatosha sana kwa ulinzi wa anga la Ukraine hao Izrael kwanza hakuna nchi inaitwa Israel history inaitambua Palestine kama nchi, Izrail ni mavamizi tu kama hao kina putin