Sio kwamba ndo litaheshimika zaidi kwa kupigana na mataifa zaidi ya 40 kwa mgongo wa Ukraine?Ahsante sana kwa mtazamo wako na tunauheshimu pia.Na kwa mtazamo wangu pia huko mbeleni Jeshi la Russia litadharaulika sana kwakuwa uhalisia umejionyesha si Jeshi lenye uwezo wa kupigana kqa kiwango kikubwa kama tulivyokuwa tuna aminishwa kabla ya hii vita.
Irrelevant questionsMkuu mambo vp? Kwa yaliyotokea, Embu niambie umeyaelewa malengo ya Russia? Anataka nini? Ni kwann hakupeleka drones kherson badala yake akaharibu miundombinu nje ya eneo wanajeshi wake wanaposhambuliwa? Halafu ni kwann Ukraine hapewi misaada ya kuweza kulipiza kisasi ndani ya Urusi?
Ndio maana niko pamoja na RUSSIA kila idara ingawaje lengo kuu nje ya yote ambalo haliepukiki niku demilitari hio UKRAINEUrusi huwezi sema anashindwa maana hata haijulikani anashindwa nini.
Urusi anataka kufuta jeshi la Ukraine? Kuzuia Ukraine isijiunge NATO? Kuchukua sehemu ya ardhi ya Ukraine? Kuwalinda warusi wanaozungumza kirusi pembezoni mwa Ukraine?
Tunajifanya tunajua ila ukweli hatujui Urusi anachotaka. Tunasubiri suprice tu. Nani alijua kuwa alipotangaza demilitarization angerudi kushikilia ardhi?
Nani alijua kuwa baada ya kupiga kura na kukalia maeneo na kusema sasa hapa ni Urusi atakayegusa ameigusa Urusi angefanya analofanya sasa baada ya Kherson kuguswa? Badala ya kupeleka drones Kherson kazipeleka sehemu tofauti kabisa na kaharibu haribu kweli.
Kwa ufupi hatujui anachotaka. Huenda hata Kherson haitaki akaiacha, au akaipiga bomu au anaitaka na akaongeza kikosi. Hatujui.
Au huenda hiyo ardhi kaichukua kama colateral ya kukubaliana terms pale atakapotaka kusitisha vita. Au anawavuta awashushie kitu kizito... HATUJUI. Tunachojua ni kuwa anaiharibu ardhi ya Ukraine.
Na tusiwe wepesi kusema Urusi ni dhaifu, tutakuwa tunajidanganya. Tujiulize, USA/NATO wanampa silaha Ukraine, ila hawampi kwa kiwango cha kumwezesha kuipiga Urusi ndani ya nchi yake. Kwanini iwapo Urusi yeye analipua apendavyo?
Ukraine imepewa silaha baada ya kuvamiwa...Kumbuka jeshi la Ukraine lina kila technical support kutoka NATO since 2014,Ukraine hata wachukue 200 yrs hawawezi kuja kubwa na jeshi la kuiyumbusha Russia.The only solution ambayo western & Ukraine wanaweza wakafanya ili kukabikiana na Russia ni kuweka Silas za Nuclear hapo Ukraine na hilo haliwezi kuja kutokea maana ndio utakuwa mwisho wa Taifa hilo.
Cleanup ikifika watadakwa wote kama kukuWarussi walio baki kherson wanavaa nguo za kiraia View attachment 2413389View attachment 2413391
Litadharaulika sana kwakuwa linapigana na Ukraine.Hiyo ya kupigana na Nchi 40+ ni porojo zenu.Huo uwezo wa kupigana hata na UK tu hana ije kuwa hizo Nchi zote.Sio kwamba ndo litaheshimika zaidi kwa kupigana na mataifa zaidi ya 40 kwa mgongo wa Ukraine?
[emoji16][emoji16][emoji16]Tangu siku ya kwanza sikuwahi kuelewa Putin na siyo Russia anataka nini Ukraine na nina uhakika hata wengi waliopo Kremlin sidhani kama na wao wanamwelewa,rejea ushauri wa yule Kamanda kabla ya hii vita na jinsi alivyomblast kwa hasira baada ya kutopenda alichoshauliwa.Hii vita inapiganwa tu blindly kutegemea na Bwana Putin siku hiyo anataka nini otherwise asingekuwa anahangaika kila mara kubadilisha hata makamanda wanaoendesha hii operation.
Ukraine anapokea msaada kulingana na uhitaji wa wakati huo,utakubaliana na mimi kuwa misaada iliyotolewa March to June si sawa na inayotolewa sasa hivi.Hapa tumshangae zaidi Putin maana ndiyo kiumbe pekee anaejua nini anakitaka Ukraine.
US na washirika wake watosha, Israel nyie tulieni tu Putin tayari yupo kwenye red corner minundu kibao usoni.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
‘Impossible’ for Israel to Militarily Supply Ukraine – MoD
Israel’s outgoing defense minister Benny Gantz said that the country does not possess the production capabilities in order to provide air defense systems to Ukraine.
“It is clear that even if it was decided that we change our policy, it is impossible to empty our supply of air defense systems,” Gantz told reporters. “We are checking every day what can be done and how we can expand our aid, but we must not forget that NATO stands behind Ukraine.”
Subscribe to RTView attachment 2413465
warn't inscribed to you. They re inconceivable to you.Irrelevant questions
Kwa hiyo bila silaha kutoka hizo nchi 40 Ukraine ingekuwa inapigana kwa kutumia fimbo?Litadharaulika sana kwakuwa linapigana na Ukraine.Hiyo ya kupigana na Nchi 40+ ni porojo zenu.Huo uwezo wa kupigana hata na UK tu hana ije kuwa hizo Nchi zote.
Nyie wachafuzi wa jf mna vituko kwel kwel aseeeMe nadhani si huruma Ila Russia alifanya kosa la kum-underestimate adui yake na hili kosa ndo lililomgharimu mpaka kuja kushtuka kashachelewa wakati huo adui yake akaongezewa misaada. Kumbuka hata Marekani na washirika wake hawakutarajia kilichotokea CIA ilisema Ukraine itaanguka ndani ya wiki mbili-tatu na kwamba Russia itakua imeshalimaliza jeshi la Ukraine. Putin nae kwa mbwembwe akaja kwenye TV akatangaza wanajeshi wa Ukraine waweke silaha chini na wampindue Rais wao sababu kama wakiendelea kupigana warusi hawatakua na huruma kwao.
Ujue baada ya kilichotokea Afghanistan ile Marekani kuondoka tu,Taleban wakakamata nchi fasta baada ya wanajeshi wa Afghan kukimbia na zana zinyi za Marekani kudakwa,Marekani ilikua inasita kuipa Ukraine zana zake nzuri nzuri kidogo wakihofia zitakamatwa na warusi lakini kama ulifatilia mwanzoni baada ya Majeshi ya Urusi kushindwa kuiteka Kiev ndipo misaada ikaanza kumiminika walianza na kupeleka Howitzer M777 ,Himars zikaingia mwezi julai hapo ndipo kivumbi Kwa Russia kikaanza wakaanza kupoteza miji. Na kwa Kasi hii anayoenda nayo Ukraine,Urusi ana kibarua kizito.
"There is no greater danger than underestimating your opponent.”
Sun Tzu, Chinese Military Strategist.
Lakini hili tulikua tunalisisitiza tokea awaliKwa jinsi mambo yanavyokwenda hata ukiwauliza Pro Russia wa hapa JF nini hasa malengo ya hii vita kwa Russia,hakuna mwenye jibu la moja kwa moja
Wote tulipaswa kuwa kama wewe. Halafu Unaponda ukiona si sawa, kama ni sawa unasifia.Hii vita inayumbisha watu ni balaaa.
Unashangilia sana hata wiki kua upande wako unasogea vitani hijakaa SAwa wanaanza kupelekewa motooo.
Kuna muda pro Russia wanajimwambafy humu kikigeuka wanabaki pro Ukraine wanajimwambafy.
Wengine tunasubiri mshindi