Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kadri Putin anavyozidisha mikwara ndivyo dunia inavyozidi kumshamgaa..,hili suala la kufurushwa huko kheson lisingekuwa na uzito sana kisingefanyika kile kiinimacho anachoita referendum..,watu tunashangaa inakuwaje taifa linalojiita super pawer linashindwa kulinda ardhi yake iliyojimilikisha!?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ubabe wa kizamani ule ni ngumu kuufanya kukiwa na wanajeshi wazalendo yeye kaamua kupeleka wanywa gongo jeshini kawaokota mtaani daah inasikitisha sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…