mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Kwa iyo unatakaje?Kama Moskva walivyosema imepata hitilafu kidogo ya Moto halafu baadae ikazama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi proRussia si ndo mlikua mnabisha humu Ukraine walivyosema wameipiga Moskva kwa Makombora,baadae mkaumbuka baada ya Russia kusema Meli imezama.
Base kule Crimea ilivyobutuliwa mkasema madhara kidogo baadae picha za satellites zikawaumbua,ndege tisa zilikua zimelipuliwa wakati Russia ilisema hakuna madhara yyte makubwa [emoji38]
Wameambiwa na Marekani waonyeshe readiness for talks,sio uamuzi wao,taarifa tunazo mkuu.π¨π¨π¨President of Ukraine Volodymyr Zelensky announced his readiness for negotiations with Vladimir Putin
The Ukrainian president warned that the failure of the talks would speak of a "third world war."
He also noted that Ukraine should use any format and any chance for a diplomatic solution
The sudden change of tone should not deceive anyone. Zelensky is a puppet in the hands of more experienced and cynical players who will seek new concessions from Russiaβ‘β‘β‘
Kwenye kila mwanajeshi mmoja wa Urusi aliyekufa basi nyuma yake kuna wanajeshi 5 wa Ukraine waliokufaUkraine imegeuka kuwa kaburi la askari wa Urusi[emoji848]
...
Nov.13 update on russian losses in the warView attachment 2415290
Hivi unaamini taarifa kutoka Cocaine Pushers was Ukraine kweli Basi hata wewe una shida.Ukraine imegeuka kuwa kaburi la askari wa Urusiπ€
...
Nov.13 update on russian losses in the warView attachment 2415290
ProRussia mtatukana kila matusi lakini kweli ndio huu Putin kaelemewa.Mngefuta huu ushauri wa Zelensky mambo yasingefikia hapaπ€Hivi unaamini taarifa kutoka Cocaine Pushers was Ukraine kweli Basi hata wewe una shida.
Hivi unaamini taarifa kutoka Cocaine Pushers was Ukraine kweli Basi hata wewe una shida.
Rudi kasome comment yangu vizuriUmefuatilia wapi!? Rais bora anataka kuchukua Kagera.
Taja ubora wake.
Ndo ile meli iliyopigwa siku ileHivi team Putin si walisema hizi Meli zimepata minor damages,sasa mbona Leo zinavutwa kama Passo [emoji23]
[emoji298]οΈ On the side of temporarily occupied Sevastopol (Crimea), a warship similar to Admiral Makarov (ed. frigate of the Russian Navy, part of the Black Sea Fleet) is being towed. We are waiting for the official information.
[emoji117] Follow @Flash_news_ua
Mkuu ProRussia wana ule ubishi wa vijiwe vya kahawa wa Simba na Yangaπ€£Hivi team Putin si walisema hizi Meli zimepata minor damages,sasa mbona Leo zinavutwa kama Passo π
β‘οΈ On the side of temporarily occupied Sevastopol (Crimea), a warship similar to Admiral Makarov (ed. frigate of the Russian Navy, part of the Black Sea Fleet) is being towed. We are waiting for the official information.
π Follow @Flash_news_ua
Kama Urusi wanashindwa vita mbona Marekani wamewaambia Ukraine waonyeshe nia ya mazungumzo na Urusi?Halafu akili zingine hizi,kama mmeshikiwa akili vile,sasa anayeshindwa vita anashikilia maeneo ya adversary wake!!!??? Acheni umbumbumbu.Kama mnaona Russia kashpindwa Vita kwa kuwa ame-withdraw kutoka Kherson si kweli.Issue ya Kherson ni tactitical mkuu,katika vita ni kawaida kabisa.Urusi wameona hawataweza ku-supply troops across River Dnipro hasa kwa vile American troops tayari wana-close in Kherson.So the best option was to withdraw from Kherson,and then shell it from across the River,while having the River as a buffer.A very intelligent millitary move indeed.ProRussia mtatukana kila matusi lakini kweli ndio huu Putin kaelemewa.Mngefuta huu ushauri wa Zelensky mambo yasingefikia hapaπ€
....
Zelensky: Njia pekee ya kusalimika kwa wanajeshi wa Urusi ni kujisalimisha
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema katika hotuba yake ya jioni kwamba shambulio la kombora kwenye bwawa la Krivoy Rog halitaokoa ari ya wanajeshi wa Urusi. "Waligundua kuwa amri ya Urusi ni ya wastani, na kwamba wanatarajiwa kushindwa nchini Ukraine katika pande zote. Urusi...www.jamiiforums.com
Huna lolote. Punguza mihemko.Rudi kasome comment yangu vizuri
Watu wa Pro Russia wanaishi kwenye Self Denial,Hivi team Putin si walisema hizi Meli zimepata minor damages,sasa mbona Leo zinavutwa kama Passo π
β‘οΈ On the side of temporarily occupied Sevastopol (Crimea), a warship similar to Admiral Makarov (ed. frigate of the Russian Navy, part of the Black Sea Fleet) is being towed. We are waiting for the official information.
π Follow @Flash_news_ua
Uache ubishi usio na maana kwa kupinga kitu kilichotokea.Kwa iyo unatakaje?
Watu kama nyie IQ zenu zipo chini sana. Unatafuta mke kwenye mtandao. Shame on youRudi kasome comment yangu vizuri
Anataka diploma apate kitongaWatu kama nyie IQ zenu zipo chini sana. Unatafuta mke kwenye mtandao. Shame on you
View attachment 2415410